vyama

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha Vyama vya Siasa kujua kama vina mvuto na vinapendwa na wananchi ni hivi hapa

    oi
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

    Huko Magu, Dkt. Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Udiwani kuwa akichaguliwa anawatelekeza wananchi. Dkt. Magufuli amewaambia hawatishi, anawaambia ukweli kuwa wasipomchagua watajuta kisha akaendelea kuongea Kisukuma.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo tafsiri ya Rais Magufuri ya "Maendeleo hayana vyama"

    Tumuombee maana maendeleo hayana vyama. Miradi ya maendeleo inachangiwa na watanzania wote kwa kulipa kodi bila kujali vyama vyao
  4. JamiiForums Tanzania Mgombea urais wa CCM JMT na mgombea mwenza wako niwaombe muvae busara akilini mwenu, huu ni uchaguzi mkuu wa vyama vingi!

    Kusema kweli mgombea urais wa CCM na mgombea mwenza naona wanakoelekea siko, busara zinawatoka kwa kasi ya ajabu. Wameanza kutoa kauli za kuudhi tena zenye kiwango cha juu mno. Kitendo cha mgombea urais wa CCM wa JMT kutoa kejeli kwenye majimbo ambayo yaliongozwa na upinzani ni cha hovyo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uandaliwe mdahalo wa wagombea Urais wa Vyama vya Upinzani wanaompa changamoto Rais Magufuli

    Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli. Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kama wagombea wengi wa Vyama mbali na CCM wameenguliwa na wote kupingwa kuliko mwaka 2015, tatizo ni nini hapa?

    Mwaka 2015, kwenye uteuzi wa wagombea udiwani na wabunge mambo yalikuwa kama ifuatavyo: 1. udiwani, rufaa zilikuwa 223, nyingi zikiwa za CCM (83) na Chadema (87). Hakuna mgombea wa udiwani wa CCM aliyekatwa, wakati wale wa vyama vingine waliokatwa walikuwa 11, na wengi wao (9) ni Chadema...
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu hili la Vyama vya Ushirika umedanganywa na sisi umetudanganya

    Juzi ulivyokuwa mwanza uliongelea kuhusu wakulima wa pamba kukopwa Pamba yao na wanunuzi binafsi wa Pamba. Naona mkuu haukuwepo nchini muda mrefu. Naomba nikusaidie. 1. Msimu wa pamba 2019/2020 hakuna mfanyabiashara aliyenunua Pamba moja kwa moja kwa mkulima, pamba ilinunuliwa na halmashauri za...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Somo la bure kwa Vyama vya Upinzani mwaka huu

    Vyama vya upinzani vimeegemea kuamini kuwa wananchi wanaichukia sana serikali ya CCM kutokana na mambo mawili: mzunguko wa pesa kupungua mitaani, na serikali ya CCM kuwabana sana watu wafuate sheria na kusimamia sana raslimali za nchi bila kuwasikiliza watu wa nje. Hizo ndizo mada za...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani za Uchaguzi za Vyama Vikuu vya Siasa

    Wanabodi salam! Ninaomba kwenye huu uzi tujadili kuhusu ilani za vyama vya upinzani hasa vile ambavyo tayari vimeshatoa ilani zao. CDM wao tayari wameshatoa ilani yao na sera yao kubwa ni UHURU HAKI NA MAENDELEO. ACT Wazalendo wao pia walizindua ilani yao jana yenye sera kubwa.ya "KAZI NA...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya upinzani vijifunze ujazaji fomu kwa wagombea wao kutoka CCM

    Najua ni ujinga na upuuzi kwa NEC kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani kwa makosa madogo madogo katika ujazaji wa form. Lakini pamoja na hilo, vyama vyote vya upinzani vinalo la kujifunza hapa. Unaweza kujiuliza, mbona wagombea wengi wa CCM form zao hazina matatizo? Iko hivi; - Baada tu ya...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wangu katika ufunguzi wa kampeni wa vyama vikuu vitatu, CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo

    UCHAMBUZI WANGU KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI WA VYAMA VIKUU VITATU,CCM,CHADEMA NA ACT WAZALENDO. Leo 12:50hrs 30/08/2020 Miaka yote ya uchaguzi Mkuu,Wapinzani walitambaa na kashfa za ufisadi kama ajenda yao kuu ya kuwaambia Watanzania,utakumbuka kashfa ya Ufisadi wa Kagoda,Meremeta, Epa,2005...
  12. JamiiForums Tanzania Kuenguliwa kwa wagombea kuwe funzo kwa Vyama vya Siasa

    Nimewasikia Viongozi wa vyama vya Siasa wakipaza sauti na kuwahamasisha wananchi waandamane nchi nzima kupinga kuenguliwa Kwa wagombea wao. Unawezaje kumconvince MTU akampambanie MTU ambaye sio chaguo lake? Zamani wananchi ndio walikua wanawaomba watu wakawawakilishe kutokana na mahitaji...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mtazamo wangu, naona Ndugu Tundu Lissu amejawa Chuki na visasi

    TATHMINI YANGU KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI WA VYAMA VIKUU VITATU,CCM,CHADEMA NA ACT WAZALENDO. Leo 10:15am 30/08/2020 Vyama vya siasa nchini Tanzania vimeanza safari ya kampeni kutangaza sera kwa Watanzania kuelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani, Watanzania watakwenda...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu unaonesha upinzani utakuwa mkali sana kati ya Vyama vya Upinzani

    Kulingana na hotuba chache nilizopotia kuelekea Uchaguzi huu ujao wa mwezi Oktoba,2020 nimebaini kuwa upinzani utakuwa katika kumbo la kupingana wenyewe kwa wenyewe na siyo kuonesha uhai wao wa kukiwajibisha chama kinachotawala. Wagombea wa upinzani wameshaanza kuchafuana wenyewe kwa wenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa vijana wa leo ijue historia ya vyama vingi awamu ya pili baada ya uhuru

    Ni vizuri kwa vijana ambao hawakuwepo mwaka 1991 wakati wa kongamano la mageuzi Diamond Jubilee wakasoma hii habari na kugundua kwanini upinzani hauna nguvu kwa Tanzania ukilinganisha na nchi nyingine. Kama tulisambaratika baada ya miezi tu je tutafika kweli tulikodhamiria kufika pale...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe kusema No Lissu, No Election ni dharau kwa Vyama vingine vya Siasa

    Ndugu zangu, Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa nipa siku hii ya leo. In a nutshell, Post ya Mh. Mbowe kwenye twitter ni matusi kwa vyama vingine vya siasa nakuviona ni second class political parties. Kwani uchaguzi huu ni CCM vs CHADEMA? Mbowe amekuwa msemaji wa Vyama vingine vya Siasa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Simon Sirro akutana na Wadau wa Uchaguzi 2020, aitaja JamiiForums na Mitandao mingine kama changamoto ya Uhalifu wa Kimtandao sababu ya Teknolojia

    Ikiwa imebaki miezi michache kufikia mwezi Oktoba, mwezi ambao uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 utafanyika nchini, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro, leo Agosti 19, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na Tume ya Taifa ya...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Viongozi wa vyama vyote na viongozi wa dini mkutane kujadili mada moja tu-haki katika uchaguzi huu. Baada ya hapo muwaombee wagombea wote

    Waheshimiwa Viongozi wetu wa vyama na Wagombea, Waheshimiwa viongozi wetu wa Dini zote, Wadau wa uchaguzi. Amani iwe kwenu. Wapendwa viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa vinavyogombea urais mwaka huu, kwa unyenyekevu mkubwa ninaomba kutoa pendekezo kwenu, ikiwapendeza mkaufanyia...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yatoa siku 2 kwa Vyama vilivyopata changamoto kutambulisha Wagombea wao baada ya Watu wasioteuliwa kuchukua fomu za Uteuzi

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo zimejitokeza kutokana na vyama vya siasa kutokujipanga na kuweka utaratibu mzuri wa Wagombea wao kuchukua fomu za Utezi Tume imesema kutokana na hilo watu ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Suluhu ya wananchi kupata wawakilishi wao badala ya wale wa vyama, 'Mgombea Binafsi' ni LAZIMA

    Vyama vya siasa vimepewa mamlaka makubwa kikatiba kuliko Wananchi katika kuchagua wawakilishi wao, ingawaje wana uwezo wa kutowachagua hao wateule wa vyama. Sababu ni kupindua maamuzi ya baadhi ya wananchi wakati wa kura za maoni kwa vigezo ambavyo wananchi hawapewi mrejesho, na kutopewa taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…