Ili kujua Tathmini ya Uhai wa Vyama vyote, kila chama kipewe siku ya kujaribu mitambo, polisi walinde raia tu, kusiwepo hotuba

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF.

Kwa kuwa vyama vyote vilisinyaa na kukosa bashasha na kuweka siasa pembeni ili kupisha Magufuri afanye kazi yake ya kuleta maendeleo.

Vyama vyote viliitikia ingawaje kunavingine vilikuwa haviafiki na kuishia kuwa na migogoro na police. Wengine walifikia hatua ya kufungwa na wengine kulipishwa mafaini.

Kuna vyama vingine viliunga juhudi lakini hata yote ilikuwa ni kwa ajiti ya kuona kama nchi itasonga mbele.

Huu ni wa kuondoana au kubakizana. Kwa hali hivyo, bila buguza kila chama kitest mitambo kwa kuitisha mikutano ya furaha kutambuana. Pasiwepo siasa wala hotuba kwani police ambao wanasimamia amani wana weza wakapata sababu.siku hivyo inaweza kupewa jina. Mfano CCM Day, CHADEMA Day, CUF day, NCCR day hii itaondoa hisia ya vyama vya upinzani kufa na itaonyesha upinzani upon ndani ya mioyo ya watu
 
Hawawezi wakaruhusu hili litokee. Tusubiri tu kipyenga kikipulizwa kila chama kiwe huru kufanya kampeni hata chini ya mwembe
 
Kuna chama kitapika pilau, kitasomba watu kwa malori, kitaita akina Diamond na hamonizer na bado watu hawatajaa.
 
Wana JF.

Kwa kuwa vyama vyote vilisinyaa na kukosa bashasha na kuweka siasa pembeni ili kupisha Magufuri afanye kazi yake ya kuleta maendeleo.

Vyama vyote viliitikia ingawaje kunavingine vilikuwa haviafiki na kuishia kuwa na migogoro na police. Wengine walifikia hatua ya kufungwa na wengine kulipishwa mafaini.

Kuna vyama vingine viliunga juhudi lakini hata yote ilikuwa ni kwa ajiti ya kuona kama nchi itasonga mbele.

Huu ni wa kuondoana au kubakizana. Kwa hali hivyo, bila buguza kila chama kitest mitambo kwa kuitisha mikutano ya furaha kutambuana. Pasiwepo siasa wala hotuba kwani police ambao wanasimamia amani wana weza wakapata sababu.siku hivyo inaweza kupewa jina. Mfano CCM Day, CHADEMA Day, CUF day, NCCR day hii itaondoa hisia ya vyama vya upinzani kufa na itaonyesha upinzani upon ndani ya mioyo ya watu
CCM watasomba watu kwa malori
 
Back
Top Bottom