vyama

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya uchaguzi inasemaje juu ya mawakala wa vyama vya siasa?

    Nawaombeni Ndugu zangu mnieleweshe juu ya Sheria ya Uchaguzi inasemaje juu ya mawakala ya Vyama vya Siasa kwenye vituo vya kupigia kura. Leo nimemuona mgombea fulani wa Chama fulani akisema kuwa hakitaeleweka kuhusu mawakala wao kama hawataapishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliwasimamie kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole kuwa na staha kwa viongozi wenzako kutoka vyama vingine

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kampeni za uchaguzi huu na mmoja wa watu wanaoshiriki sana kwenye kampeni ni Humphrey Polepole. Mimi si mwanachama wa CCM lakini nadiriki kusema Polepole ni mkomavu kwenye mambo ya siasa na ni hazina kwa chama chake cha CCM. Ila kuna kitu kimoja...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo wajieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini Maalim Seif (ACT) alimuombea kura Tundu Lissu (CHADEMA)

  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukosefu wa hela ya kupiga kampeni wageuka neema kwa vyama vikubwa nchini

    Njia pekee ya kukabiliana na gharama za uchaguzi ingekuwa kutoa ruzuku na misaada kwa vyama vya siasa nchini. Kukosekana kwa hela ya kumudu gharama za kupiga kampeni imesababisha vyama vidogo kuviunga mkono vyama vikubwa kwenye mbio za uchaguzi. Kama kungekuwa na ruzuku ya kupigia kampeni TLP...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania TRA, NEC na Msajili wa vyama watuambie hili bango kama limesajiliwa na kulipiwa kodi

  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

    Naibu wa msajili wa vyama vya siasa Dkt. Nyahoza amesema vyama vya siasa vinavyojipanga kushirikiana vimeshachelewa. Nyahoza amesema muda uliowekwa kisheria kwa vyama vyenye nia ya kushirikiana kuingia mkataba wa kisheria umeshapita hivyo hakuna ushirikiano utakaoruhusiwa kwa sasa. ======...
  7. JamiiForums Tanzania Pemba: Vyama sita vya siasa vyalaani vurugu za Alfajiri ya leo, waomba msaada wa IGP baada ya wananchi kukatwa mapanga

    Mgombea Urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir(Demokrasia, makini): Katika barua yetu ya tarehe 15 kumuomba msajili wa vyama vya siasa pamoja na IGP, tulimuelezea kwamba, kuna baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hapa nchini kwetu Zanzibar, wameanza tabia ya kuanza kuwashajihisha wanachama wao au...
  8. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani

    Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF. CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20 tokea sasa. Imechukua siku 20 tu CCM kuivunja ACT-Wazalendo vipande viwili na kumnasa Zitto Kabwe...
  9. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa ndio wawakilishi na watetezi wa wanyonge. Fikirieni suala la makazi nafuu mijini

    Vyama vya Siasa ndiyo wawakilishi wa wananchi, ndiyo sauti ya wengi. Katika sera zenu wengi wameongelea Afya ya Jamii, maji, umeme, elimu, kilimo, biashara, nk. Wananchi ambao ni wapiga kura wenu, hasa wanaokaa mijini wengi ni wenye kipato chini ya Tsh 500,000 kwa mwezi. Wengi wako kwenye...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

    Ilani za vyama ni mawakilisho ya mahitaji ya Wananchi kupitia vyama vyao vya siasa. Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu chukueni ilani za vyama vyote vya siasa chukueni humo yale yanayoonekana Yana mantiki na yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe. Wapeni wakuu wa Idara na Taasisi husika...
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 ILANI ZA UCHAGUZI: Hizi ndio Ilani za uchaguzi za vyama vyote kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 - 2025

    Watanzania Tusomeni ilani ya vyama vya siasa, tusije kusema hatukuambiwa au hatukona ILANI YA UCHAGUZI CCM https://www.ccm.or.tz/website/ilani/ILANI YA CCM 2020.pdf ILANI YA UCHAGUZI CHADEMA Account Suspended ILANI YA UCHAGUZI ACT - WAZALENDO Tunachokisimamia ILANI YA UCHAGUZI CUF...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama pinzani badilikeni, uchaguzi ni matangazo wekeni picha za Wagombea wenu mitaani

    Hili suala si la kulifumbia macho ama kulidharau, ukipita kwenye kona mbali mbali za jiji la Dar utakuta ni picha tu za wagombea wa CCM ndio zimetawala mji mzima lakini Vyama Pinzani hakuna kabisa mabango yao ya kampeni mitaani. Hali hii inawafanya wananchi wengi kuona kama vile vyama pinzani...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Mahera: Tume inaweza kuwafungia kufanya kampeni wagombea wa vyama wanaosambaza matusi badala ya sera

    Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu ya Vyama vya Upinzani kutomuunga mkono Lissu, CHADEMA walivunja makubaliano ya kugawana Ruzuku kuvipa Vyama vyote vya UKAWA

    2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu. Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuwaengua baadhi ya wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha kumewaongezea umaarufu maradufu wagombea hao

    Siyo siri kuwa hizi njama zilizofanywa na hawa wasimamizi wa majimbo, ambao ni makada waaminifu wa CCM, kuwaengua kihuni wagombea wa vyama vya upinzani, kwa wingi na baadaye Tume ya uchaguzi kuwarejesha, kutakuwa kumewaongezea umaarufu mkubwa hao wagombea wa upinzani Ni lazima hivi sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba imeshampa Ushindi Mgombea wa CCM kabla ya Uchaguzi, Vyama vingi Kiini macho

    Kuna sababu zaidi ya 99% kua mgombea wa CCM amepewa ushindi na katiba ya JMT kwa sababu za msingi zifuatazo, labda wananchi waamue wenyewe kutokujali katiba hii. SABABU ZENYEWE 1. Mwenyekiti wa CCM na mngombea wa Urais ndiye anayewateua mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na makamishna...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa Chama cha CUF, Prof Lipumba atema madini kupitia kipindi cha Dakika 45

    Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mahojiano katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kupitia...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Viongozi wa Vini kwanini wanamdhihaki Mungu kwenye mikutano ya Kisiasa?

    Ninaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hawa Viongozi wa Dini ambao huongoza dua na maombi kwenye mikutano ya kisiasa. Ninachojua mimi ni kwamba, hawa ni viongozi wanaoongoza waumini wenye itikadi tofauti ndani ya madhehebu yao, chaajabu ni kwamba ukisikiliza Sala na maombi yao unakuta badala ya kua...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tume itapoteza nini ikiruhusu watu wote ambao waliomba kugombea kwa vyama tofauti wagombee bila kujali masharti?

    Ndugu zangu, Kuna mambo kadhaa ambayo yanaendelea katika uchaguzi huu ambayo naona ni hatari sana kwa mustakabali wa demokrasia yetu. Wagombea wengi sana wameenguliwa na tume kwa vigezo mbalimbali ikiwamo swala la idadi ya wadhamini, kukosea kujaza fomu katika maeneo machache na sababu nyingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…