Waafrika wanapenda na wanaona ufahari sana kula Mikate, Soseji, tambi, Sambusa, Pizza, Wali, biriani, Chips, crips, Shawarma na vyakula vingine vingi kutoka sehemu mbalimbali za dunia ila huko kwingine duniani hawana muda na ugali, githeri, jollof, fufu, injera, chips mayai na vyakula vingine...