vurugu

Paulo Twaakyondo
No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Heche: Tunatambua kuna baadhi ya viongozi wenzetu (CHADEMA) wanatumika katika kuchochea hizi vurugu

    Kwa kufuatilia press za Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche sijapata kusikia hii taarifa ya Heche kukiri kuwa kuna baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanhusika kuchochea kufanya vurugu bali wakati wote CHADEMA na viongozi wake wamekuwa wahanga kwa kukanamizwa...
  3. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Mdau ameongezea ufafanuzi kuhusu tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi

    Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina… Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamanda Banga: Madereva bajaj msikubali kushiriki vurugu Disemba 9, nendeni mkafanye kazi

    Kamanda habari ikufike 9Dec ni maandamano ya amani hata wewe unakaribishwa sana na si vurugu kama ulivyotooha wewe! =============== Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe ACP. Mahamoud Hassan Banga amewataka Madereva Bajaji mkoani Njombe kuwakataa baadhi ya Watu wanaohamasisha kushiriki katika vurugu...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Ikongo: TEC wamehusika kwa asilimia 90 kuratibu vurugu za tarehe 29 Oktoba

    https://youtu.be/B5pHrjsXXDM?si=YrhU152Q9lyY-CLR
  6. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kwamba maandamano yatakuwa ya amani Serikali haiwezi kukubali..lazima ichomeke wafanya vurugu ili ipate uhalali wa kuyatawanya

    Naona wengi wanasema eti yatakuwa ya Amani kwamba watashika mabango na kutembea tuuu mpaka ikulu bila kugusa mali ya mtu!! Aiseee.. Kwanza tuelewe : maandamano ya amani nchi hii yanayokubalika labda yawe kwa ajili ya kumpongeza mama! Mfano ile kampeni ya mama asemewe! Kinyume na hapo hakuna...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nitaunda Tume ya Maridhiano na Upatanishi ‘baada ya kujua kiini cha vurugu’

    Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwamposa kama ni Nabii wa Mungu wa kweli mbona alimuombea rais Samia na vurugu zikatokea?

    Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu. Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala., Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu? Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wajasiriamali Dar es Salaam wahimiza vijana wenzao kulinda amani na kuepuka vurugu

    Hizi ni propaganda na miradi ya Serikali, sidhani kama ni akili zao timamu :COFFEE: Vijana kwa sasa tunapanga Disemba 9 kudai haki ------------- Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum DAR inamshikilia Charles Gisima kwa Tuhuma za Kuchochea uvunjifu wa amani

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 DC Ilala ahimiza ujenzi upya wa Ofisi zilizoharibiwa wakati wa Vurugu Oktoba 29

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao kuharibiwa. Akizungumza wakati wa kufanya tathmini ya maeneo yaliyoharibiwa, Mpogolo alisema kuwa Serikali...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Shoo: Tumesikitishwa na Matukio yaliyotokea Oktoba 29, vurugu hazijawi kuleta amani

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo, amesema vurugu katika Taifa lolote hazijawahi kuleta amani, akirejea machafuko yaliyoshuhudiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu akiwaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa bidii...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  14. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Maandamano au vurugu?

    Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu? Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu? Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au? Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  16. Keynez

    JamiiForums Tanzania Nafanya zoezi kubwa la kuwatambua waliochochea vurugu

    Niliwahi kuonya kuwa maandamano kama yale ya 29/10/2024 yangepata ugumu kufanikiwa kwa sababu wanaopanga walitangaza muda mrefu na kuwapa upande wa pili muda na nafasi ya kujipanga kwa Plan A, B, C hadi D. Nina theory moja ambayo ninayo na naendelea kuifanyia kazi inayosema kuwa baada ya vyombo...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania KISAIKOLOJIA :ALIYESHIRIKI KUHARIBU MALI NA KULETA VURUGU ILIYOPELEKEA VIFO HATOISHI KWA AMANI

    Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho. Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho. Hilo ni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  19. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Waliochochea vurugu washughulikiwe

    Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za kuhamasisha kwenye majukwaa ya kisiasa. Wanasiasa na wanaharakati wote washughulikiwe mara moja Ili...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawataki kukubali kuwa upendeleo wa familia zao na ufisadi umesababisha vurugu?

    Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa. Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa. Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka. Ufisadi, kujipendelea, wizi wa mali za umma, kudharau wananchi na kuwaona wajinga ni balaa kwa taifa
Back
Top Bottom