vurugu

Paulo Twaakyondo
No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Polisi, Serikali, CCM mmepokea vipeperushi vingine wenzetu? Tumepata vya Maandamano, vya Vurugu 77 mmetoa wapi?

    Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi? Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta...
  2. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Jeshi halitalinda yeyote muandamanaji ukitoka tu wewe ni mfanya vurugu na utadhibitiwa kwa mujibu wa sheria

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya watu au makundi yanayohamasisha vurugu nchini, likisisitiza kuwa halitasita kuchukua hatua stahiki za kisheria kudhibiti ghasia na uvunjifu wa amani kwa kushirikiana na mamlaka za kiraia. Katika taarifa rasmi kwa umma iliyotolewa leo...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi: Changamoto hazitatuliwi kwa kurushiana Mawe, kufanya Vurugu bali kwa kukaaa pamoja, kuongea na kusahihisha kama Watanzania

    Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki. Kasema Baraka ambazo ametuwezesha Mwenyezi Mungu Pumzi inatuwezesha kufanya shughuli mbalimbali za...
  4. Soul21

    JamiiForums Tanzania Asante katambi kwa kupunguza vurugu za kisiasa nchini

    Mimi ni kijana amabye duka langu la simu mwaka jana lilivunjwa na kuibiwa na hata kupata hasara ya milion hamsini. Kelele za siasa zimeendelea kufanya hata sisi wafanya biashara kutokuweza kutulia na kuwa na amani kwa sababu ya harakati za kisiasa ambazo haziishi na kuturuhusu kufanya kazi na...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Atakayehamasisha vurugu hatabaki salama. Vyombo vya dola vimejipanga

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Kauli hiyo ameitoa katika kipindi hiki ambapo maandalizi ya Maonesho ya Biashara ya...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tazama jinsi Mtanzania alivyofanyiwa vurugu na wasauzi

  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu sio polisi, hana ushawishi hata kwenye ukoo wake anawezaje kutishia waandamanaji kama sio anachochea na kuleta vurugu na taharuki.

    Hamjambo! Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu; 1) Mfalme/Rais. Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja. Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tuchagua mazungumzo badala ya vurugu

    TAFAKURI. Saba Saba ni Sherehe ya Kitaifa, Sio Siku ya Vurugu na Maandamano Haramu Tarehe Saba mwezi wa Saba ni siku takatifu katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hii ni siku ya Siku kuu ya Biashara ya Kimataifa ya NchiniTanzania, yenye chimbuko kubwa la kihistoria tangu...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Brenda Rupia :CHADEMA agenda yetu ni kuanzisha vurugu

    Kumekuwa na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Instagram, ikimuonesha Mkuu wa Kitengo cha Habari wa CHADEMA, Brenda Rupia, akitoa kauli ambazo zimefasiriwa kuwa chama hicho kina ajenda ya kufanya vurugu. Katika chapisho hilo, mwandishi amedai kuwa:"Huyu ni msemaji wa...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwandambo: Naona Watanzania tumeichoka amani tunataka tuingie kwenye vurugu kwa kuwasikiliza wachochezi

    Clemence Mwandambo ametoa kauli kali akidai kuwa baadhi ya Watanzania wamefikia hatua ya kuichoka amani na badala yake wanaelekea kutaka vurugu kwa kusikiliza watu anaowaita wachochezi. Naona Watanzania tumeichoka amani. Yaani hatuitaki amani... tunataka tuingie kwenye vurugu kwa kuwasikiliza...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Zanzibar 2001: Historia ya Maumivu

    👉 Matukio ya vurugu yaliyotokea Zanzibar baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 ni miongoni mwa matukio yaliyoacha maumivu makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Mgogoro huo ulitokana na mvutano mkubwa wa kisiasa ulioibuka baada ya matokeo ya uchaguzi kupingwa na baadhi ya wadau wa kisiasa...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama kinachojali raia wanyonge kwa nini kisitenge hata bil 300 kufidia wafanyabiashara waliothirika na vurugu za Oktoba 29?

    Hapa nazungumzia wafanyabiashara wadogo na wa kati ambao walipoteza mitaji yao. Mtu alikuwa na mtaji kama wa mil nane au kumi na sababu ya ufisadi wa CCM vurugu zikatokea. Inakuwaje mnajitengea tril moja kujilipa kwa ajili ya safari lakini mmesahau kusaidia watu walioathirika na ufisadi wenu.
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe: MBOWE ndio mpangaji wa vurugu zilizomuondoa Msigwa CHADEMA. Mbowe alitaka pia awafute akina Lissu, Heche!

    Mzee wangu Peter Msigwa, Wewe una Kura yangu , nihesabu 100% kua Mimi Carlos The Jackal ni Shabiki yako. Mimi na akili yangu, Huwa simshabikii Mtu ndezi ndezi . Msigwa una uwezo, sitaki kukupimisha na watu ambao ni wanachadema na ofcoz hata nikikupimisha NAO , WEWE NI MSHINDI. Karibu...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kutoka kwenye mahusiano bila vurugu?

    Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha. Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake. NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza...
  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

    Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema. Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
  16. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Vurugu zilizotokea ziongezwe kwenye somo la historia ya Tanzania na maadili.

    Huu ni mtazamo wangu binafsi Kwakua Tanzania haijawahi kushuhudia vurugu za aina yeyote suala hili lingeongezwa kwenye somo la historia ya Tanzania na maadili ili kuonesha chanzo cha vurugu ,namna ya vurugu zilivyomalizika,jitihada za serikali zilizochukuliwaa. Lakini pia elimu kwa vijana...
  17. L

    JamiiForums Tanzania John Heche inatakiwa akamatwe na kuunganishwa kwenye kesi za Lissu kwa kauli zake zilizochochea vurugu za uchaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, John Heche Inapaswa kwa sasa asiwepo Mitaani,inapaswa awe ndani ,inapaswa awe kwenye ulinzi mkali wa Magereza ,inapaswa awe kwenye Mfululizo wa mahojiano na kujibu mashitaka ya kauli zake za kuchochea vurugu wakati wa uchaguzi,anapaswa kuunganishwa katika kesi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Stephen Wasira: Waliofanya Vurugu wapatikane na kukamatwa Ndipo Tufanye Maridhiano

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa ujumbe wa Mheshimiwa Stephen Wasira Makamu Mwenyekiti wa CCM MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania WASIRA: Waliosababisha vurugu wapatikane ndipo tuingie maridhiano

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia vyombo vya haki watu waliohusika na vurugu zilizosababisha madhara vikiwamo vifo. Amempongeza...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Si kweli Vurugu za Oktoba 29 zilisababishwa na 'Gen Z' ni sababu za Wazee kushindwa kuwajibika

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025. "Vilevile swala la ukiukwaji wa haki za binadamu, Tume...
Back
Top Bottom