vurugu

Paulo Twaakyondo
No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa kwa kutusi Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29

    Jeshi la Polisi nchini limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kusambaza matusi na maudhui ya kudhalilisha, wakiwemo waliolenga wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 na baada ya uchaguzi. Watuhumiwa hao wamekamatwa katika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Chama cha democrat kimegeuka kuwa chama cha vurugu kutokana na wao kutengeneza alliance na ideas za ukomonisti, trans fury (ushoga) na itikadi kali

    DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma. Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi. Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu. Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Vurugu Zilizopangwa Oktoba 29

    Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Senegal waliokamatwa kwenye vurugu za AFCON 2025 Morocco wakana mashtaka

    Mashabiki 18 wa soka wa Senegal waliowekwa jela kwa kosa la kuingia uwanjani wakati wa fainali ya fujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kule Rabat mwezi Januari 2026, wamekana kuhusika na kosa lolote. Awali Februari 2026, mahakama nchini Morocco iliwahukumu mashabiki hao kifungo cha...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka, umekosa haya? Mahakama ni chombo huru na muhimu, omba kadi ya CHADEMA lakini sio kuhamasisha vurugu

    Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Israel: Hotuba za chuki ni chanzo cha vurugu nchini, tuzipige marufuku

    Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine. Aidha ametoa...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaiangalia Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Uchaguzi 2025 kama kipimo cha uwajibikaji

    Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za 29.10.2025, hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar

    Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar. Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja? Nawaza sana.
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Uhuru bila mipaka ni vurugu, lakini mipaka kwenye uhuru ni udikteta

    CCM hupenda kusema "uhuru bila mipaka ni vurugu" kuashiria kuwa hakuna uhuru usio na mipaka. Na CCM hutumia msemo huo kuhalalisha matumizi ya nguvu dhidi ya wanaowapinga kisiasa. Lakini CCM huficha sehemu muhimu ya msemo huo inayosema "mipaka kwenye uhuru ni ugandamizaji". Dhana hizi mbili...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tume imeelemewa na shuhuda za kweli. Sasa hawataki tena ziende hewani moja kwa moja

    Kwanza iliundwa kimkakati sana Hakukuwa mjumbe hata mmoja nje ya cycle yao.. Wajumbe wote ni makada watiifu wenye maisha mazuri kupitiliza Pili jina lililopewa lilimaanisha kuinasua serikali na tuhuma za mauaji na kuwasakizia wananchi kuwa ndio walifanya vurugu Uongo hupanda lift bali ukweli...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mke asimulia alivyompoteza mume wake vurugu za Oktoba 29,2025

    Simanzi imetawala wananchi walioathiriwa na vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 waliposimulia walichoshuhudia katika matukio hayo, wakieleza walichoshuhudia baadhi ya waathirika wa matukio hayo wakiwemo waliopigwa risasi wao au waliofiwa na wapendwa wao na...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania tujitathmini kwa utulivu baada ya vurugu za Oktoba 2025

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Kuna watu wameishiwa hoja wamegeuka kuwa vyama vya vurugu, wamepoteza mvuto

    Kuna watu wameishiwa hoja wamegeuka kuwa vyama vya vurugu, nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya demokrasia na katiba yetu inatutaka hivyo na chama cha mapinduzi tunaheshimu demokrasia ya vyama vingi sasa kunawatu wameishiwa hoja, hawaaminiki na watanzania, hawana ushawishi wamepoteza mvuto...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Waliokua wanahoji michango ya chadema walikua sahihi, leo msibani vurugu zimezuka

    https://x.com/_zack255/status/2013876086342373410?s=20
  18. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Vurugu za Oktoba 2025 zimebadili taswira ya Tanzania duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia...
  19. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania Yashtakiwa katika Mahakama Ya Afrika Mashariki Kwa Vurugu na Dosari za Uchaguzi wa Oktoba 2025

    Wanasheria Tito Magoti na Bob Chacha Wangwe kupitia Kesi Na. 59 ya mwaka 2025 wameishtaki Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), wakilalamikia vitendo vya ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Amani bila haki ni sawa na kusitisha vurugu kwa muda tu

    Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
Back
Top Bottom