vurugu

Paulo Twaakyondo
No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wassira asema CHADEMA iliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni Sangara. Asisitiza Serikali 3 ni mwiko

    Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo. Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee wanaovaa sare za kijani Zitto Kabwe alimpinga vikali na kumwambia Operesheni Sangara ililenga...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Zinapokutana vurugu za bunduki na ubaguzi wa rangi, "Black Lives Matter" inakuwa kauli mbiu ya bure nchini Marekani

    Kwa mujibu wa takwimu kutoka tovuti ya "Gun Violence Archives" ya Marekani, tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mjini Buffalo, New York, tarehe 14, limekuwa tukio la 198 la mauaji ya watu kwa kutumia risasi nchini Marekani mwaka huu, na pia ndilo baya zaidi kwa mwaka huu. Kijana mzungu mwenye...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Vatican yalaani vurugu za Israel katika mazishi ya mwandishi wa habari

    Mwakilishi wa Vatican Nchini Jerusalem, Monsignor Tomasz Grysa ameijia juu Israel kwa kukiuka makubaliano ya miongo kadhaa ya kutetea uhuru wa kidini la mwaka 1993, baada ya kufanya vurugu katika mazishi ya mwandishi wa Habari Shireen Abu Aqla. Askari wa Israel waliwapiga waombolezaji...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vurugu zazuka Kanisani la KKKT Dayosisi ya Konde Mbeya, Ibada yavunjika, Polisi wakamata viongozi

    Wakati mgogoro ukizidi kufukuta kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Aprili 17, 2022 baadhi ya waumini wa usharika wa Mbalizi wamemzuia mchungaji wao, Atupele Mlawa kuingia kanisani na kusababisha kuvunjika kwa ibada. Kutokana na vurugu hizo, Jeshi la Polisi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania RS Berkane yapigwa faini kwa vurugu Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC

    Ama kwa hakika huu ni msiba mkubwa wa tatu kwa watoa bahasha za khaki na wapokeaji wa bahasha hizo , mana msiba wa kwanza ulikuwa goal la SAkho kuwa goala bora la week wakati makanjanja yakiwa yanajaribu kuwaridhisha maboss wao watoa bahasha za khaki walidai ni offside Pigo la pili ni yule...
  6. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Ist namba DBH kwa milioni 7 tu

    Bei ya kulenga kabisa hii chombo haina tatizo lolote. ipo mawasiliano, Dar. njoo ukague gari 0713096076 CHANGAMOTO ZAKE Imepauka Rangi Bampa linahitaji marekebisho kidogo, like 40,000 Tshs. Picha ninazo hizi tu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu na masikilizano vinaweza kusaidia kuondoa vurugu duniani

    Tarehe 2 ya mwezi Oktoba kila mwaka ni siku ya kimataifa kutokuwa na vurugu (The International Day of Non-Violence). Siku hii ilichaguliwa na Umoja wa Mataifa kwa lengo la kueneza ujumbe wa kutokuwepo kwa vurugu duniani, kupitia elimu na uhamasishaji. Lengo kuu ni kujenga utamaduni wa kuwepo kwa...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

    Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali. Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo la kisiasa...
  9. Area 56

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo cha vurugu za mwaka 2001 kule Zanzibar?

    Wakuu wa jukwaa hili, sisi vijana wenu tunaomba mtujuze ni nini hasa kilijiri mpaka kukatokea vurugu kubwa hasa kule visiwani mwaka 2001 na kupelekea wengine kupoteza maisha! Natanguliza shukrani...
  10. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  12. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ecuador: Waliofariki baada ya kutokea vurugu ndani ya magereza wafikia 27

    Idadi ya wafungwa waliofariki baada ya kutokea vurugu ndani ya gereza magereza mawili nchini Ecuador imefikia watu 27 huku serikali ya nchi hiyo ya pwani ya Magharibi mwa Amerika Kusini ikilazimika kutangaza hali ya hatari. Rais wa Nchi hiyo, Guillermo Lasso ameagiza kutumia kila linalowezekana...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ikileta vurugu, CCM itakuwa ndiyo chanzo kwa kukataza mjadala

    Kuna kitu ambacho CCM hawataki kutuambia - sababu za kuiogopa sana Katiba mpya. Tunachoona na visingizio tu kwamba Katiba mpya italeta vurugu, mara ooh tunashughulikia uchumi kwanza. Kwa nini na kwa vipi watu kujadili Katiba mpya kulete vurugu? Na Katiba mpya na uchumi vinaingilianaje? Kwani...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

    Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia. Tafiti za kisayansi...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi waingia mitaani kudhibiti vurugu zinazohusiana na Rais Zuma kufungwa

    Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma Wanajeshi wame;azimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hiz Katika Jimbo ambalo Zuma...
  16. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

    Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30. Baada ya kuchoma...
  17. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Bei za mafuta zimelenga kudhoofisha uchumi na kuleta vurugu nchini

    Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda. Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana hali naiona siyo nzuri sana. Kushuka kwa kodi pamoja na kupanda kwa gharama za maisha italeta...
  18. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

    Leo nimeamka na kuwaza kwa machungu sana na maumivu moyoni nikikumbuka vurugu zilizotokea kati ya shule niliyokuwa nasoma Umbwe Sec na Lyamungo Sec 2009, vurugu zilizoacha vifo, majeraha na uharibifu. Shule mbili zilizopo katika wilaya mbili tofauti (Moshi Vijijini na Hai), zilizopo katika jamii...
  19. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

    Mwanzo mwanzoni nikiri kuwa nimefuatilia na bado naendelea kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kuna jambo, lakini, nimeliona kwa haraka. Ni kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa adhabu kwa makosa ya barabarani kwa waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda na bajaji...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

    Mkuu wa magereza mkoani Arusha afande Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mh Lengai Ole sabaya aligoma kuoga na kufanya vurugu gerezani. Afande Mwanagwa amesema Ole Sabaya alipokelewa vizuri na hakuna tatizo lolote gerezani. “Alipokelewa vizuri tu hakuna vurugu...
Back
Top Bottom