Kwenye Ibada ya leo. Baba Mtakatifu Papa Leo ameziombea Tanzania na Sudan na kueleza mamia ya watu wameuwawa nchini Tanzania kutokana na vurugu za Uchaguzi
Samia elewa tu we jiapishe ila inyeshe mvua liwake jua sio tu sisi Watanganyika bali dunia nzima haitakuacha salama kwa kutuua Watanganyika...
Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es Salaam, limedhibiti vurugu zilizokuwa zinafanywa na baadhi ya watu katika eneo la Ubungo Kibo kuanzia saa 4:00 asubuhi hii ya Oktoba 29, 2025.
Watu hao walianza kufunga Barabara ya Morogoro kwa kupanga mawe na kuyarushia mawe magari yaliyokuwa yakipita...
Kuna wakati kama haki hakuna na wanapaswa kutoa haki awazitoi hizo haki ni lazima itumike nguvu ya ziada ili haki ipatikane. Kwahiyo msiseme ni machafuko ni katika harakati za kutafuta haki na usawa.
====================
Wazazi Mkoani Mtwara wametakiwa kuzungumza na vijana wao juu ya umuhimu wa...
Mwananchi alikitolewa katika mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Oktoba 22, 2025, baada ya kudaiwa kuzungumza kwa sauti kubwa ndani ya mahakama wakati kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ikiendelea
Hardtimes create tough men
Machafuko na vurugu za kisiasa, ukosefu wa elimu sahihi ya dini,elimu ya kiraia na mateso ya kijamii(uongozi) vilizalisha kizazi cha vijana wenye hasira waliokua kutokana na mazingira magumu vikapelekea makundi haya kuzaliwa si kwa misingi ya Qur’an.
Asili ya vikundi...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe Wakili Albert Msando amesema Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imejipanga kuhakikisha amani na utulivu vinatawala katika kipindi chote cha kuelekea uchaguzi mkuu ujao ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu.
Mhe Msando amezungumza hayo kwa niaba ya Mkuu wa...
Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
Jana ilikua siku yangu ya tatu Kupiga Pombe, mara mbili zilizopita nilijaribu nyumbani...
Nikatoka na mshkaji, mda wa kurudi nikawakuta jamaa flani kijiweni ndio nikaanza kuwachokoza (mashuhuda wanadai nilikua nawapiga piga mateke huku nikiwaambi nina mda sijapiga mtu), niliyekua naye anasema...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime amesema Jeshi la Polisi nchini limejipanga na viashiria vyovyote vya vurugu nchini
"Tukiona moshi unafuka hatutasubiri moto uwake tutachukua hatua "
Misime ameyazungumza hayo kwenye Mkutano wa Wadau wa...
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.
Ongeza orodha
Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande...
Ndani mtiti nje mtiti. Ndivyo tunavyoweza kusema, baada ya ukumbi wa Shabani Mloo wa Chama cha Wananchi (CUF), uliotakiwa kutumiwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi wa chama hicho ili kupitisha ilani na kuteua majina ya wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kugeuka uwanja wa ngumi.
Mtiti...
Wakuu
IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi.
Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu
Source: Uhondo TV
Katika video inayosamba katika mitandao ya kijamii kuna vurugu ambazo zimetokea katika kivule wakati kura za maoni ndani CCM zikiendelea leo Agosti 4, 2025.
Katika siasa, kuna nafasi ya mjadala. Kuna nafasi ya upinzani wa hoja. Na kuna nafasi pia ya kuchochea taharuki isiyo na majibu jambo ambalo linaweza kugharimu maisha ya watu wasiokuwa na hatia.
Miezi kadhaa iliyopita, Tundu Antipas Lissu mmoja wa viongozi wakuu wa upinzani kupitia chama cha...
Nipo tayari niishi karibu na makanisa ya waroma, wauteri, wasabato, n.k. lakini sio ya walokole.
Nakumbuka dalali alinipeleka siku ambayo kumetulia sana, nilipaelewa mahali hapo nikalipia kodi miezi 6 na dalali nikampa hela yake, maisha yakaanza.
Kanisa lilipofunguliwa hakuna rangi ambayo...
Kwa kinachoendelea hivi sasa na vijana kwa ubishi mkashindwa kumsikiliza Gachagua akiwaonya juu ya mauji kutokea katika hizi vurugu
Wakina Martha Karua mpo kimya, waokoeni Hawa vijana dhidi ya kadhia hii inayoendelea.
Vurugu sio suluhu ya mnachokitafuta, bado mna nafasi ya kutatua matatizo...
Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.