J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo dhana ya ushindani wa kisiasa. Anasisitiza kuwa siasa za kidemokrasia lazima zijengwe juu ya mjadala wa...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo, amelaani tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia mamlaka na ushawishi wao kwa waumini kuhalalisha migogoro na migawanyiko ndani ya mataifa yao.
Leo, ambaye ni Papa wa kwanza kutoka nchini Marekani, ameyasema hayo kupitia ujumbe wa kurasa nne...
Wanadai kuna Polisi waliouwawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao.
Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika vurugu za Oct 29. Baadhi yao walikuwa mashabiki wakubwa wa Rais Samia na CCM. Mfano mzuri ni Sharifu...
My people,
Machafuko ya Maandamano na Athari Zake: Mifano ya Nchi Tofauti Duniani
Maandamano ni njia mojawapo ya wananchi kueleza maoni yao, kudai haki, au kupinga maamuzi ya serikali. Hata hivyo, pale maandamano yanapokosa mwelekeo wa amani, yanaweza kubadilika na kuwa machafuko yenye madhara...
Wanaukumbi.
WATANZANIA WAMEKATAA VURUGU.. WATANZANIA WAMEKATAA MAANDAMANO..WATANZANIA WAMECHAGUA AMANI.... 📌
Tulipokuwa tunasema watu walikodishwa kufanya vurugu na uasi tarehe 29 Oktoba 2025 wengi walikuwa hawataki kuelewa na walikuwa na mashaka na kauli zile. Tuliposema wamekodiwa mamluki...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa...
Waandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu.
HAO WANAOSEMA WATACHOMA MALI ZA WATU HATUPO NAO KABISA.
HAO NI MAMLUKI WANAOTUMWA KUTUHARIBIA MAANDAMANO YETU YA AMANI.
Note: Hata kama ikitokea baadhi ya waliotumwa na Watawala...
watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili.
Sisi tutawazibua masikio na kuwafukuza au kuwakamata D9
Habarini za Jioni Ndugu wana JF.
Kwa pamoja wote tunao litakia mema taifa letu tuungane kukataa vurugu zisizo na tija kwa maslahi ya wachache wanaotumiwa kuliharibu taifa letu tulilolirithi kutoka kwa Babu zetu. Kupigana, kuvurugana, kutukanana na kutoheshimiana si utamaduni wa watanzania na...
Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa.
Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania.
Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.
Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara...
"Hatutotaka tena vurugu hizo za tarehe 29, zitokee Tena katika mkoa wetu wa Arusha. Tumejipanga, tutahakikisha tunawalinnda watanzania, tunawalinda wananchi, tunawalinda watalii"
Amos Makalla, mkuu wa mkoa wa Arusha akizungumza mbele ya waziri mkuu Mwigulu Nchemba leo Novemba 30, 2025
Wameendelea kushupaza shingo, Mbele ya Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, Mkuu wa mkoa wa Arusha Amos Makalla anasema kile kilichotokea tarehe 29 haikuwa maandamano bali vurugu.
"Katika taarifa yangu niliyokukabidhi, nimeeleza athari za vurugu za tarehe 29, katika taarifa yangu kuanzia page ya kwanza...
Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
Kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama visimuonee haya mleta vurugu yyte nchini, Dunia inatuangalia na kutathimini UBORA wa Majeshi yetu.
Sasa si muda wa kuwachekea Hawa vibaka na panya road ambao wanatishia amani ya nchi yetu.
Tanzania ionyeshe Dunia kuwa hakuna nafasi ya kufanya vurugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.