vpn

  1. Jamiiforums.com Inapatikana Bila VPN kwakutumia Operamini

    Wakuu kama heading inavyojileza nimejaribu kuingia JF.com, kupitia app ya Operamini naona inakubali vyema kabisa. Hivyo basi Kwa wale wenzangu wasiotumia VPN na wenye limited bundles tutumie Operamini
  2. Tusaidiane VPN ya Halotel wakuu

    Wakuu habari zenu Mwenye nayo Naomba tusaidiane VPN ya halotel kwa ajili ya free Internet
  3. R

    Akili matope ni hii, unaifungia JF halafu wewe mwenyewe unaingia kwa VPN

    Kama siyo akili matope ni nini? Afadhali matope hii ni akili mavi ya mkorogo na mkojo
  4. Tuisaidie JF yetu, tusambaze elimu ya matumizi ya VPN

    Wakuu, Inaonekana platform yetu pendwa bado imezuiliwa ingawa kifungo hicho kiliondolewa rasmi zaidi ya mwezi mmoja sasa. Bila VPN hutoboi... Tuunganishe nguvu zetu ili kuwafahamisha watu wengi zaidi jinsi ya kuingia JF, kama jinsi akina Erythrocyte walivyopotea mwanzoni, yaani tuhakikishe...
  5. Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  6. M

    Mtandao wa Tiktok umefunguliwa, sasa unaweza kuperuzi Bila VPN

    Baada ya kifungo cha zaidi ya mwezi moja, Mtandoo wa Tiktok umefunguliwa rasmi na mtumiaji anweza kutumia bila kutumia njia mbadala kama matumizi ya VPN. https://www.jamiiforums.com/threads/tiktok-yafungiwa-tanzania-bila-vpn-uwezi-kutumia.2398433/
  7. Jamiiforum ukweli usemwe kufuta matukio sio kwamba serikali inawepanda mbona mumerudishwa kwenye VPN.

    Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja. Vituo vya polisi kuanzia vidogo na vikubwa kila napo pita vilikuwa vimezimwa taa na wamjiweka gizani usiwaone na maarufu ya bangi...
  8. K

    Figusi tayari: TikTok haipatikani Tanzania hata uweke VPN

    Naona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook. Tanzania yangu nakupenda
  9. Naombeni VPN za uhakika

    Kuelekea kesho huenda huduma za internet nchi zikazimwa hivyo wadau naombeni VPN ya uhakika mapema kabisa.
  10. PostGE2025 Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi, Karibuni wote tuendelee kuenjoy zaidi na zaidi

    Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia...
  11. Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena?

    Wakuu, Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia. Shetani gani tena huyu? Binti wa zamani
  12. Wakuu vipi huko Tanzania, JF mnaipata bila pipieni au bado haipatikani?

    familia mlioko TZ vipi JF mnaipata vyema huko? Maana burn yao walisema inaisha leo, au bado hamuipati mpaka mhame nchi? Maana serikali yetu hii bila kukumbushwa hamna kazi hapo.
  13. JF itatoka kifungoni lini nimechoshwa na VPN

    Jamani ee tutafunguliwa lini??
  14. Ukiondoa Droid VPN, ni VPN gani nyingine ambayo iliendelea kufanya kazi October 29 na kuendelea?

    Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet kutolewa Dar na Arusha kwa nia ya long range point to point radio links kama tulivyo ahidiwa, lakini nivema...
  15. Tiktok, Twitter, VPN, P*rn Sites zafunguliwa rasmi Tz. Ama TCRA aliyekuwa night shift amejisahau?

    Nimeamka leo asubuhi VPN yangu ikawa imejizima nilipolala. Kabla sijaiwasha kwa bahati mbaya nikawa nimebonyeza notification moja ya Twitter. Heeeh, cha kushangaza ikafunguka, narudi nyuma na kurefresh TL yangu nashangaa kila kitu kinafanya kazi bila shida. Nikaingia Tiktok nako vilevile, kila...
  16. M

    Matumizi ya VPN humaliza chaji ya simu haraka na hupunguza ubora wa battery

    Ni elimu tu Simu ambayo inaweza kukaa chaji siku nzima, ukiwasha vpn chaji inashuka kwa speed kali sana, Ukiendekeza matumizi haya kwa muda mrefu unaua battery Kwa wimbi hili kubwa la matumizi ya vpn hata unaponunua simu used hakikisha unajiridhisha na ubora wa battery
  17. Itakuwa unfair kwa TRA kuchukua kodi kwa watu wanaofanya biashara kwenye site ambazo unahitaji VPN uaccess

    TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100 Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
  18. Tiktok yafungiwa Tanzania, bila VPN uwezi kutumia

    Tiktok imeungana na X (Twitter) na JamiiForums, rasmi hii mitandao uwezi kutumia bila VPN
  19. ipi ni vpn nzuri kutumia kwenye PC

    Wakuu Ipi ni vpn ipi nzuri kutumia kwenye PC ila iwe ya free nitakuwa na Iboost na bando
  20. R

    GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…