Mtandao wa Jamiiforum sasa upo hewani bila VPN, baada ya kula Ban kwa miezi kadhaa
[. We jamaa vpi Tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huenda aiseMkuu, vipi tena. Au uliposti uzi huu tangu mwezi wa pili mods wakauzuia na leo ndo wameuachia?
Maana VPN tumeshaisahau.Huenda aise
Nilijua tu! 😂Mods waliuzuia, leo ndio wameachia