Mkurugenzi wa Miundombinu wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa ripoti ya ESG ya mwaka 2026.
Vodacom Tanzania has released its FY2026 ESG Report, where by emissions are down 24%, with two million litres less diesel burned after 1,808...