viwanja

  1. Bago255

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa viwanja kutumia mfumo wa Tausi

    Naomba kuuliza wanaJF, Hivi unaweza kununua viwanja kwenye mfumo wa Tausi na kikawa na migogoro?
  2. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuuziwa kiwanja ambacho kina mgogoro?

    Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua, Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa...
  3. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mpiji Magoe

    Viwanja viwili vinauzwa mpigi magoe Unashuka kituo kinaitwa Machimbo Ukubwa Mita 20/20 vipo viwili Kila kimoja bei Mln 5.5 Kipo kiwanja kingine Cha Mln 5.5 Maongezi yapo kidogo 0775 179905
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Watu wengine huko wanalalamika kwanini Watanzania Mnajaza Viwanja vya CCM

    Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio wao Mkubwa katika Kampeni hizo " Wananchi wa Mkoa wa Singida, kila Wilaya nilipoingia wananchi ni...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Producer maarufu nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.

    Wakuu, moja kati ya watayarishaji bora wa muziki wa bongo wa bongo fleva nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni. Master J anadai kutokana na hadhi ya viwanja alivyonavyo kwa sasa, anauwezo wa kikiuza kila kimoja kwa milion mia tatu.
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kigamboni Tundwi Songani

    Viwanja Viwili Vinauzwa. Mahali: Kigamboni Tundwi Songani. Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu. Ukubwa wa Eneo: SQM 1449. Bei: Tzs Milioni 35. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345 au...
  7. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Miradi ya viwanja kigamboni Puna

    Miradi mipya Kigamboni – Puna inapatikana kuanzia milioni 3 kwa kiwanja cha 20*20 meters, yaani sqm 400. Viwanja vinapatikana kuanzia ukubwa wa sqm 400 hadi 2000. Puna Beach Plots Kigamboni ipo umbali wa km 38 kutoka Ferry, km 35 kutoka Daraja la Nyerere, mita 500 kutoka barabara kuu na mita...
  8. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  9. Think2

    JamiiForums Tanzania Leo Agosti 26 ni siku ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Mwanza katika viwanja vya Nyamhongoolo

    Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo . Kila kitu kitakuepo kama ●Pombe ●Nyama choma ●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira ●Na burudani za...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Taifa Stars kupewa Viwanja, Golikipa kuvuta Toyota Crown Asiporuhusu goli

    Kuelekea mchezo wa michuano ya CHAN kati ya Taifa Stars dhidi ya Morocco utakaochezwa leo Agosti 22, 2025 katillka dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Mkuu wa mkoa huo Mhe. Albert Chalamila ametangaza zawadi na motisha zitakazotolewa na uongozi wa mkoa kwa kishirikiana na wadau mbalimbali ili...
  11. Sonship

    JamiiForums Tanzania VIWANJA VINAUZWA KIBAHA,KILUVYA NA KIBAMBA

    VIWANJA VINAUZWA Kibaha Kwa Mathiasi Nyumbu Jeshini 20x20 Milion 7 Kibaha Maili Moja Mwanalugali 20x20 Ml 7 Kiluvya Kwa Komba 20x20 MLN 16 Kibamba Kibwegere Kwa Kinega 20x20 Milion 7 Kiluvya Madukani Vya Km 3-5 Milion 8 Karibuni Wadau wa Ujenzi 0775 179905
  12. arcoiris

    JamiiForums Tanzania Wenye viwanja Safari City arusha kuna jambo

    Wenye viwanja Safari City arusha kuna jambo tunahitaji kuongea, embu tujuane kwanza, ishu muhimu sana
  13. Sonship

    JamiiForums Tanzania Viwanja Bunju Mabwepande

    Viwanja vinauzwa bunju mabwe pande Vipo kwenye eneo la ekari 1 Umeme na maji yamefika site Vinakatwa ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei mln 4.2 Mita 20x25 bei mln 4.5 Mita 20x30 bei mln 5 Pia size unayotaka utauziwa 0775 179905
  14. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na Ardhi za bei nafuu?

    Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na ARDHI ZA BEI NAFUU ( MASHAMBA kwa ajili ya KILIMO NA VIWANJA kwa UJENZI WA NYUMBA ) Ukinitajia top 3 yako inatosha .
  15. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Kigamboni Puna viwanja kuanzia million 3

    Kigamboni Puna Site cleaning Jamani ndugu wateja Site imenyooka sana hii usafi on point Barabara zimechongwa Alafu bei sasa ni kitonga sana Usichelewa ukakuta sold out Tunawajali ndio maana tunawapa vitu bora SQM moja cash 7500 SQm moja installments 9500 Unaweza kuanza na 350000 tsh...
  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
  17. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
  18. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

    Uzi TAYARI. #YNWA #YANGA_BINGWA
  19. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Mradi wa viwanja kigamboni Puna kuanzia million 3 viwanja vina ukubwa wa SQM 400 -2000

    Kigamboni PUNA ya MOTO🔥🔥🔥 Karibu blchomes estates ujipatie viwanja maeneo ya kigamboni Puna ✅PUNA BEACH PLOT Mita 650 kutoka site mpaka beach 20,000 kwa sqm 1 malipo ya cash Unaweza kuilipa ndani ya miezi 3 22,000 kwa sqm 1 malipo ya kidogokidogo Unaweza kuilipa ndani ya miezi 15 ✅PUNA...
  20. D

    JamiiForums Tanzania tungekuwa na rais wa kueleweka viwanja vya mpira vingekuwa atleast 5-10 by 2027,

    I will be short our current president is cause of failures of chan and afcon to host more games in tanzania. kenya is hosting twice the number of games as us. With an unvisionary president for 2027, we could have solved the field problems in our league as AFCON offers us the opportunity to...
Back
Top Bottom