Nimeona wanatoa masharti na vigezo vinavyokinzana.
Baada ya kulipia gharama ya maombi TAMISEMI wakatuma ujumbe kwamba lipa malipo ya awali 25% ya gharama yote halafu ndio umalizie malipo yaliyobaki ndani ya muda uliowekwa.
Lakini kipindi natuma maombi ya ununuzi kuna masharti tena yameandikwa...
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona...
Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu.
Hivi hatua tatu za miguu nd barabara ije kujengwa njia za watembea kwa miguu, taa za barabarani, two lane road au ndo mwanzo wa bomoa...
Leo nilikuwa Ofisi ya wauzaji wa viwanja kampuni ya " VIWANJA TANZANIA "
posta mpya
Mtaa wa Ohio, Nyumba ya Maarifa, ground floor. Jirani na IT Plaza, inatazamana na ATCL.
unaweza kuwachek wanaviwanja sehemu mbali mbali ndani na nje ya Dsm
viwanja vya biashara
viwanja vya makazi
sea view...
🏡 VIWANJA LINKUP TZ 🏡
KIWANJA SAHIHI ● MAHALI SAHIHI
Unatafuta kiwanja Dar es Salaam au Pwani?
Sisi tunakuunganisha na kiwanja sahihi kwa urahisi!
✔ Viwanja vilivyopimwa
✔ Hati na nyaraka halali
✔ Bei nafuu sana
✔ Maeneo mazuri na yanayokua kwa kasi
📍 Maeneo:
Kimara, Mbezi, Kibamba, Kiluvya na...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025 kuhusu uuzwaji wa viwanja katika eneo la Pangani lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha.
CPA Charles Kichere amesema Viwanja 168...
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona...
Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
Anonymous (f714)
Thread
ajira
changamoto
haki
jkt
madeni
mamlaka
muda mrefu
ndege
vijana
viwanjaviwanja vya ndege
Kwa wale ambao bado wanahitaji maeneo kwa ajili ya kujenga makazi,karibu sana kwa mara nyingine.Viwanja vipo Kisesa Mikoroshoni.Kutoka Lami barabara ya Mwanza-Musoma ni shilingi 1000/= tu kwa pikipiki mpaka viwanja vilipo.
Bei ya kiwanja ni 1,700,000/= mpaka 2,000,000/= kutegemea na ukubwa wa...
Nimefuatilia mechi kadhaa hasa msimu huu2025/26 na msimu uliopita wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara, kumekuwa na ongezeko la mechi zinazochezwa usiku ili kuruhusu urushaji wa moja kwa moja kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na wadhamini na watangazaji.
Lengo...
Tunauza viwanja ni viwanja vizuri sana vipo kigamboni kibugumo 15kwa20 bei milioni 18, mita 15kwa15 milioni 15na mita 14kwa13 milioni12. Kwa mawasiliano 0659962452;
Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma.
Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma...
Viwanja Viwili Vinauzwa.
Mahali: Kigamboni Tundwi Songani.
-Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu.
-Kiwanja namba 509,510 vyote kwa pamoja vinauzwa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1378 na SQM 1449.
Bei: Tzs Milioni 35 (Vyote Viwili). Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Hatimiliki.
Gharama...
Tanzania
Benjamin Mkapa Stadium (Dar es Salaam)
Ujazo: 60,000
Gharama: $90M (Initial Construction), $12M (Renovations)
Maendeleo: Renovations finalizing
Vyanzo: IPP Media (https://www.ippmedia.com/the-guardian/business/read/special-report-2024-05-23-185807), Wakala wa Majengo Tanzania – Paul...
Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
Baadhi ya wananchi wamevamia eneo la bonde la Buyuni Kata ya Buyuni wilayani Ilala- Dar es Salaam na kupima viwanja kinyume na utaratibu.
Eneo hilo lipo ndani ya Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni. Ni bonde linalotenganisha mtaa wa Serikali Buyuni na Kigezi na ni bonde ambalo lipo nyuma ya Zahanati...
Viwanja vinauzwa
Location Madale njia ya msumi.
Mita 200 kutoka kwenye viwanja hadi barabara kuu ya Madale.
Kila kimoja ni milion 65
Viwanja vipo Vinne unaweza kuunganisha zadi ya viwili au kununua vyote Kwa pamoja.
Viwanja Vina ukubwa wa sqm 800
Vimepimwa ni kwenda kufatilia hati miliki yaani...
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.