Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,975
- 5,111
Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee,
Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua,
Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa kiwanja chake ni kidogo na amjenga nyumba imejaa eneo lote hakuna hata pa kugeuka, nilimpotezea but hadi leo hatuna maelewano mazuri
Umewahi kukutana na kadhia yoyote inayohusisha kiwanja/Plots?
Share experience ulifanikiwa vipi kumaliza changamoto yako, tuambie tujifunze