viwanja

  1. Think2

    JamiiForums Tanzania Leo Agosti 26 ni siku ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Mwanza katika viwanja vya Nyamhongoolo

    Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo . Kila kitu kitakuepo kama ●Pombe ●Nyama choma ●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira ●Na burudani za...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Taifa Stars kupewa Viwanja, Golikipa kuvuta Toyota Crown Asiporuhusu goli

    Kuelekea mchezo wa michuano ya CHAN kati ya Taifa Stars dhidi ya Morocco utakaochezwa leo Agosti 22, 2025 katillka dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Mkuu wa mkoa huo Mhe. Albert Chalamila ametangaza zawadi na motisha zitakazotolewa na uongozi wa mkoa kwa kishirikiana na wadau mbalimbali ili...
  3. Sonship

    JamiiForums Tanzania VIWANJA VINAUZWA KIBAHA,KILUVYA NA KIBAMBA

    VIWANJA VINAUZWA Kibaha Kwa Mathiasi Nyumbu Jeshini 20x20 Milion 7 Kibaha Maili Moja Mwanalugali 20x20 Ml 7 Kiluvya Kwa Komba 20x20 MLN 16 Kibamba Kibwegere Kwa Kinega 20x20 Milion 7 Kiluvya Madukani Vya Km 3-5 Milion 8 Karibuni Wadau wa Ujenzi 0775 179905
  4. arcoiris

    JamiiForums Tanzania Wenye viwanja Safari City arusha kuna jambo

    Wenye viwanja Safari City arusha kuna jambo tunahitaji kuongea, embu tujuane kwanza, ishu muhimu sana
  5. Sonship

    JamiiForums Tanzania Viwanja Bunju Mabwepande

    Viwanja vinauzwa bunju mabwe pande Vipo kwenye eneo la ekari 1 Umeme na maji yamefika site Vinakatwa ukubwa kuanzia Mita 20x20 bei mln 4.2 Mita 20x25 bei mln 4.5 Mita 20x30 bei mln 5 Pia size unayotaka utauziwa 0775 179905
  6. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na Ardhi za bei nafuu?

    Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na ARDHI ZA BEI NAFUU ( MASHAMBA kwa ajili ya KILIMO NA VIWANJA kwa UJENZI WA NYUMBA ) Ukinitajia top 3 yako inatosha .
  7. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Kigamboni Puna viwanja kuanzia million 3

    Kigamboni Puna Site cleaning Jamani ndugu wateja Site imenyooka sana hii usafi on point Barabara zimechongwa Alafu bei sasa ni kitonga sana Usichelewa ukakuta sold out Tunawajali ndio maana tunawapa vitu bora SQM moja cash 7500 SQm moja installments 9500 Unaweza kuanza na 350000 tsh...
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
  9. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Siku 7 zatolewa kwa wamiliki wa viwanja Kigamboni kuvifanyia usafi au kutozwa faini, utaifishaji au umiliki wa viwanja husika kufutwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
  10. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

    Uzi TAYARI. #YNWA #YANGA_BINGWA
  11. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Mradi wa viwanja kigamboni Puna kuanzia million 3 viwanja vina ukubwa wa SQM 400 -2000

    Kigamboni PUNA ya MOTO🔥🔥🔥 Karibu blchomes estates ujipatie viwanja maeneo ya kigamboni Puna ✅PUNA BEACH PLOT Mita 650 kutoka site mpaka beach 20,000 kwa sqm 1 malipo ya cash Unaweza kuilipa ndani ya miezi 3 22,000 kwa sqm 1 malipo ya kidogokidogo Unaweza kuilipa ndani ya miezi 15 ✅PUNA...
  12. D

    JamiiForums Tanzania tungekuwa na rais wa kueleweka viwanja vya mpira vingekuwa atleast 5-10 by 2027,

    I will be short our current president is cause of failures of chan and afcon to host more games in tanzania. kenya is hosting twice the number of games as us. With an unvisionary president for 2027, we could have solved the field problems in our league as AFCON offers us the opportunity to...
  13. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Njia ipi bora ya kununua viwanja -Arusha?

    Ndugu zangu habari. Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo. 1: Manispaa / ofisi za ardhi 2: Kwa mtu binafsi 3: madalali au makampuni yanayojihusisha na kuuza viwanja. Asanteni
  14. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  15. GURUJI

    JamiiForums Tanzania Viwanja Makongo Juu na Goba

    Je, umekuwa ukitafuta kiwanja kwa Ajili ya makazi au biashara maeneo ya Makongo juu, Goba na Madale? Viwanja vyenye ukubwa tofautii tofautii vizuri vinapatikana kwa Bei nzuri kulingana na maeneo hayo. Makongo juu: Sqm 500 70m. Sqm 500 75m Sqm 600 120m Sqm 300 40m. Goba Kuanzia 30m na...
  16. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Viwanja vingi vya world cup hali zao ni mbaya baada ya michuano kuisha

    mbaya zaidi kuna taarifa baadhi ya uwanja wanauza siti za uwanja kwa mataifa yanayozitakahttps://youtu.be/gzc9b6MP39o
  18. Sonship

    JamiiForums Tanzania VIWANJA VINAUZWA KIBAHA- VISIGA MADAFU

    VIWANJA VINAUZWA KABAHA VISIGA MADAFU UMBALI DK 5 KWA VIGUU TOKA STAND UKUBWA 20X20 MLN 3.5 PIGA SIMU 0775 179905
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee aliyesaidiwa kupata Viwanja na Hayati Magufuli yadai imeporwa eneo hilo na Kamishna wa Ardhi Dar

    Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Viwanja sita vya ndege Iran vyalipuliwa

    Jameni tosha sasa Myahudi.... Mapema asubuhi ya Jumatatu, Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilishambulia viwanja sita vya ndege katika maeneo ya magharibi, mashariki, na katikati mwa Iran, jeshi hilo lilisema. Jeshi liliongeza kuwa mashambulizi hayo yalisababisha uharibifu kwenye barabara za...
Back
Top Bottom