viwanja

  1. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania House for sale,located at Makumbusho,price Tsh950m, negotiable

    #sale LUXURY 4 BEDROOMS MANSION FOR SALE ☀ ASKING PRICE::: 950,000,000 Tshs ☀ PLOT SIZE : 456 SQM ☀ CLEAN DOCUMENT TITLE DEED ✨ Location:: MAKUMBUSHO ✔️ 4 Bedrooms Fully Ensuit ✔️ 2 Sitting Room Area ✔️ Kitchen ✔️ 2 Public Toilets ✔️ Private luku. ✔️ Dawasco Water Service Available ✔️...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Viwanja viwili vinauzwa Kibaha Visiga-Madafu

    Nauza Plots Kibaha(Visiga-Madafu) ziko Mbilil,zimeungana kilometa 3 kutoka lami Morogoro road(Kituo cha Madafu). zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai. Umeme na Maji vyote vimefika. Panafikika kiurahisi kabisa(Lami) Jumla ya square meter 1388. Zina Hati Miliki ya Wizara. Bei (zote mbili...
  3. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi 50+ tumeondolewa katika ajira ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kwa uonevu, Mamlaka za juu zitusaidie

    Mimi ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kimsingi tuliingia hapo kipindi cha Ukaguzi wa ICAO Mwaka 2023, kutokana na idadi ndogo ya Wafanyakazi wa TAA, Taasisi iliona ni Muhimu kuajili watu ili kuongeza nguvu katika vitengo mbalimbali ikiwepo security. Tuliitwa Vijana...
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hati miliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hati miliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  7. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Ghorofa linauzwa,kariakoo daressalaam tanzania,bei ni billion 2.5,maongezi yapo

    GHOROFA LINA UZWA LOCATION:KALIAKOO MTAA WA KIUNGANI STREET Kuna vyumba 10 floor no 1 Floor no 2 Ina vyumba 10 Ground floor Ina flem 10 Mbele zipo flem 3 nyuma zipo flem 7 Na kuna Godown 1 Eneo lite lina SQm 290 BEI NI Bilion 2.5 tish maongezi kidogo sana Mtaa mzur sana kwa biashara yeyote ile...
  8. Dudukwe

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Mbeya Mjini.

    Habari za Pasaka wanajukwaa, SIjawahi kuona kiwanja cha 5M au chini ya 10M kinauzwa Maeneo ya mbeya mjini. Kila siku naona vya 40M tu na kuendelea. Kama kuna kiwanja chenye bei hiyo niliyoitaja mbeya CBD tujuzane wakuu, maana vipato vinatofautiana NB. 1. Kuwe na barabara inafika. 2. Kama ni...
  9. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Viwanja vizuri vinauzwa,loliondo-kilimahewa, Kibaha(Pwani)

    ....
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuzindua viwanja viwili vikubwa nchini

    Hata ufanye nini, ukubwa haujifichi. Kuna timu ilipelekwa huko katikati ya mashamba ya alizeti eti kuzindua uwanja ambao kwanza hauna hata majukwaa na matokeo yake wageni rasmi waliloana tepetepe, kamvua tu kadogo kakasitisha mechi. Wakati huo huo, Simba imepewa heshima ya kuzindua viwanja...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua mashamba na kukata viwanja kisha kuuza

    Habari. Hii ni biashara nzuri sana hasi ukiwa na mtaji. Mtaji wake unapaswa uwe na pesa ya kununua kuanzia heka 1. Mfano ukinunua heka 1 kwa shilingi million 22, eneo hilo(Kibaha) viwanja vinauzwa kuanzia million 3.5 vya mbele na vya nyuma ni million 3.3, kwenye heka 1 unaweza toa viwanja 10...
  12. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hati miliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania ZAIDI YA VIWANJA 7,550 VIMEPIMWA

    ZAIDI YA VIWANJA 7,550 VIMEPIMWA Katika kipindi cha mwezi Julai, 2024 hadi Februari, 2025, Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi imepima viwanja 7,550 katika Mikoa ya Morogoro, Tanga, Kilimanjaro, Dodoma na Njombe. Kwa upande wa upangaji wa miji, michoro ya mipangomiji yenye...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Jeshi Lugalo ihamishwe serikali ipime viwanja vya makazi eneo hilo

    Hiyo kambi ipo kitambo sana enzi hizo mji unaishia Magomeni na Oysterbay, Sinza ilikuwa mashamba ya miwa na mpunga. Lugalo ilionekana ni nje ya mji. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi ila ile kambi kuwa pale ni kero tu. Kwanza huku Kawe watu wanaishi kwa hofu tu, kila mtu anajifanya ni...
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hati miliki. Bei: Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  16. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Iwambi

    Viwanja vinauzwa Iwambi, vipo viwanja 15 @ sq 25000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CCM kulazimisha mkutano ufanyike stendi na kusimamisha shuhuli wakati viwanja vipo ni kukosa akili.

    Hawa ccm naona kwa sasa watu wamewachoka jana kahama waliamua kulazimisha mkutano wao na wasira ndani ya stendi ya shinyanga kahama ambayo inashuguli nyingi za watu. Mabasi yalilazimisha kupaki nje ya stendi ili kusubiri wateja wao. Sasa cha kujiuliza wakati kahama kuna kiwanja kikubwa ambacho...
  18. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbeya mjini

    Viwanja vinauzwa Mbeya mjini. Kila @25,000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  19. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni njia ya fun city kituo njano

    Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania siyo nchi ya viwanda, kila uchao serikali inanyanganya mashamba na kuyakata viwanja, kesho watu watalima wapi? ajira zao zitatoka wapi?

    Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja. Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
Back
Top Bottom