viwanja

  1. JamiiForums Tanzania Ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi na kutoza kodi ya viwanja na nyumba. Je, wananchi wameandaliwa?

    Kwakuwa suala la maendeleo halisubiri muda, na kiongozi wa taifa Rais Samia alisema wazi kwamba hatuwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka. Swali lililopo kwa sasa, kuhusiana na ugawaji na ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kwa ajili ya sensa; ni je, wananchi wamepewa elimu ya kutosha...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

    Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii Jambo la kusikitisha...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Arachuga Dogo Janja yuko wapi simsikii hewani?

    Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni. Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu. Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn sasa simsikii hewani na kwa jinsi sasa hivi kulivyo na radio nyingi kila wilaya lkn huyo dogo...
  4. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja safi kabisa- (Mbezi - Msumi mwisho) Milioni10 tu!

    Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja. Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho. Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha. BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo( Desturi yetu watanzania lazima tuongee na tuelewane.) Kwa wenye kuhitaji mawasiliano - Direct...
  5. JamiiForums Tanzania Faida Na Changamoto Za Kuuza Viwanja Au Nyumba Bila Kuwa Na Dalali

    Kuuza bila Dalali ni mauzo ya mashamba, viwanja na nyumba ambayo yanafanyika bila kuhusisha dalali kati ya mwenye nyumba na mnunuzi. Hivyo huwezi kulipia ada ya dalali wa nyumba na ardhi. Kwa kawaida, mauzo ya aina hii hufanyika kwa wawekezaji ambao wanaanza kuwekeza katika nyumba, viwanja na...
  6. JamiiForums Tanzania Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Hello wanajukwaa, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tupeane connection za maeneo ambayo kuna viwanja au mashamba makubwa kwa bei nafuu kwaajili ya uwekezaji au ujenzi. Mimi binafsi niko Dar, natamani sana kupata eneo au shamba lenye rutuba nzuri angalau ekari 10 pembezoni...
  7. JamiiForums Tanzania Nizingatie nini napotaka kununua kiwanja kutoka kwenye kampuni ya kuuza viwanja?

    Kuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo. Nataka kujua ni vitu gani vya kuzingatia ili nisiishie kulia maana hapa mjini hapaaminiki siku...
  8. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Senegal wazawadiwa pesa na viwanja

    Senegal imemzawadia kila mchezaji wa timu ya taifa ya kandanda zawadi ya pesa taslimu na mashamba kufuatia ushindi wao katika Kombe la Mataifa ya Afrika. Kila mchezaji wa timu alipokea zaidi ya $87,000 (zaid ya TSH milioni 200) na kiwanja katika mji mkuu, Dakar, na katika mji jirani wa...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  10. JamiiForums Tanzania Anzia hapa Ili kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na majengo

    Kila eneo kwenye maisha hutegemea sana kitu hiki ili uweze kujenga mafanikio makubwa sana na ya kudumu. Kitu chenyewe ni mtazamo wako. Huu ndio msingi wa kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ukiwa na mtazamo hasi, utakuwa unashindwa kila wakati mpaka ukate...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge wakiwa nje ya viwanja vya Bunge

    Unaweza kuwatambua wabunge wetu waliopo pichani?
  12. JamiiForums Tanzania Mambo Saba (7) Unayotakiwa Kufanya Ili Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Kwa Kuwekeza Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali. Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato kiongezeke mara mbili kilivyo sasa. Mambo 7 Ya Kuzingatia Ili Uongeze Kipato Mara Mbili. MOJA. Mtazamo...
  13. JamiiForums Tanzania Bashungwa, John Paul Wanga hafai kuendelea na ukurugenzi, ukiacha Jimbo la Musukuma, mradi wa viwanja Buwelu East alitapeli,Waziri wa ardhi fuatilia

    John Paul Wanga, ni sehemu ya ukoo wa magufuli, amelalamikiwa sana na Mbunge Musukuma kwa ufisadi katika halmashauri yake, lakini alipokuwa Ilemela, kilikuwa na mradi wa Buswelu East wa viwanja, walitapeli kwamba watapeleka barabara,maji, umeme, vyote havipo, na tunaambiwa Hela nyingi...
  14. JamiiForums Tanzania Viwanja hivi vipanuliwe

    Kutokana na na hadhi ya majina yake, nashauri viwanja hivi vipanuliwe na viboreshwe keundana inayoendana na hadhi majina yake: (1) Uwanja wa Karume - Dar (2) Uwanja wa Sokoine - Mbeya (3) Uwanja wa Nelson Mandela - Sumbawanga (4) Uwanja wa Kawawa - Kigoma (5) Uwanja wa Ali hassan mwinyi -...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta viwanja Moshi Mjini, budget ni Million 3

    Habari ya leo, Naomba mnisaidie kujua maeneo gani kuna viwanja vizuri kwa Moshi manispaa Budget ni Million 3 mpaka 4 Asanteni.
  16. JamiiForums Tanzania Ni nini kitatokea iwapo nitashindwa kumaliza kulipia Kiwanja?

    Kwa miaka ya karibuni kumeibuka Kampuni kadhaa zinazojihusisha na uuzaji wa Viwanja kwa njia ambayo wanamruhusu Mnunuaji kulipia kwa awamu au kidogokidogo. Wengi watakwambia ulipe kiasi fulani mwanzo kisha utaendelea kulipia kiwango kilichobaki ndani ya miezi sita au mwaka au kwa makubaliano...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kampuni ya upimaji na uuzaji wa viwanja ya Cdqlink investment company

    Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamelimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi ya kuwasiliana kwa namba za simu tuu. Kampuni inajitanabaisha kua...
  18. JamiiForums Tanzania Swali kuhusu viwanja vinavyouzwa na halmashauri zetu.

    Imagine umenunua kiwanja mwezi wa sita na hujamaliza kukilipia na kwenye barua yao wametia mkwala usipomaliza mpaka baada ya miezi kadhaa wanakiuza je inawezekana? Na unatakiwa ufanyaje Ili kuweka zuio? Au ni bit tu?
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  20. JamiiForums Tanzania Ifike mahala SIMBA NA YANGA muhame nyumbani kwa wazazi mkajenge VIWANJA VYENU LOL!!!!

    Apa Tanzania sijui tuna pepo gani Ivi ni kweli vilabu vikubwa kama simba na yanga wanashindwa kumiliki hata uwanja kama wa Azam jamani hiii mbona ni haibu Sana Watanzania.... Kazi ni kuongea maneno tu mitandaoni!!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…