viwanda

  1. JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Samia Dubai: Viwanda vinne kujengwa nchini, kuzalisha ajira zaidi ya 3500

    Historia ya uchapakazi na kujituma ni kati ya mambo mengi yanayotoa tafsiri ya uongozi wa Rais Samia Suluhu. Baada ya ziara yenye mafanikio makubwa Barani Ulaya na katika Falme za Kiarabu, Haya ni baadhi ya makubaliano ya ujenzi wa viwanda nchini kufuatia juhudi za Rais Samia kuvutia wawekezaji...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda na Total wamechagua Mombasa port badala ya Dar port kupokea mizigo kutoka Ulaya ya kujenga viwanda vya mafuta vya Uganda

    Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta. Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ninaiomba TBS isimamie ubora wa vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya wachina hapa nchini

    Wananchi wengi kwa sasa wanatumia vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya Wachina hapa nchini lakini jinsi inavyoonekana vigae hivi havina ubora unaohitajika na havidumu kwa muda mrefu tofauti na vigae vinavyotoka Spain, Uturuki na Italy. Ni vyema sasa Tanzania Bureau of Standards(TBS)...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito. Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe. Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muheshimiwa SSH mteue Prof. Madam Geraldine Arbogast Rashel wa GPSA kuwa waziri wa Viwanda na Biashara.

    Muheshimiwa SSH na raisi wangu najua upo kwenye majukumu mazito ya kujenga taifa. Hata hivyo kutokana na watendaji toka taasisi za Elimu ya juu kutanguliza nadharia kwenye utendaji mfano maandiko na machapisho badala ya kuboresha mifumo na kutumia rasilimali na nguvu wanazozikuta kwenye sehemu...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya ikishirikiana na Wizara ya Viwanda ituletee kiwanda cha chanjo ya COVID-19

    Moja ya mapendekezo ya Tume iliyomshauri Mhe. Rais kuleta chanjo ilikuwa ni kujenga kiwanda cha chanjo kwa haraka. Napena kusisitiza kuwa pendekezo hili namba 7 lifanyiwe kazi kwa uharaka ule ule ili nchi isiingìe kwenye deni lisilo la lazima.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nipongeze Serikali kwa jitihada za Viwanda

    Lazima tuweke utamaduni wa kupongeza. Uwekezaji umeongezeka na kwenye hili hakuna ubishi. Lakini cha kufurahisha ni kwamba uwekezaji umeongezeka wakati bado kuna Covid. Hii imetokana na uwezo mkubwa wa mawasiliano kutoka juu yaani Raisi wetu amekuwa mtu mzuri kwa mawasiliano ukilinganisha na...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ya viwanda - Pan Paper’s Sh500m unit starts operation

    The billionaire Rai family has commissioned a second Sh500 million paper machine at the Webuye-based Pan African Paper Mills that is set to double its current production to 40,000 tonnes per year as it aims at full revival. The plant has been operating with only one production line since it...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini sukari imekuwa ghali saaana wakati viwanda vipo nchini vya kutosha?

    Ndugu zangu wana jamvi wenzanzangu, wtz wenzanzangu, habari za asubuhi,, nitumsini langu mko poo Leo napenda tujadili sukari kidogo, niliwahi kusikia ni marufuku kuagiza sukari nje ili kulinda maslahi ya mlaji Hilo ni tamko la serikali kupitia waziri mkuu na waziri mwenye dhamana pia aliekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais Samia Tanzania ya viwanda imeota mbawa

    Tangu aape kuwa Rais wa sita wa Tanzania ni kama hajui kuwa ilani ya CCM inataka Tanzania iwe ya viwanda mpaka kufikia mwaka 2025 ili kuongeza ajira na uzalishaji nchini. Kwa sasa umeme unasuasua na kuongeza gharama za uzalishaji je nani ataanzisha kiwanda? Ameruhusu ungizwaji wa bidhaa holela...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Heko wadau.. Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele .. Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali hususani viwanda . Tulikuwa na Rais ambaye alikuwa anajigamba Sana Kuwa Rais wa viwanda lakini ndani ya...
  14. JamiiForums Tanzania Viwanda Vidogo Katika Level ya Kimataifa

    Kwenye masoko ya kimataifa, kuna bidhaa nyingi ambazo hazitengenezwi na viwanda vikubwa. Mifano michache ni pamoja na spare parts mbalimbali za magari, mipira, viatu, na nguo za kuvaa. Kwa nini Tanzania hatutoboi katika viwanda vidogo vya namna hiyo na kuingia kwenye masoko ya dunia...
  15. JamiiForums Tanzania Wapangaji wa chumba kimoja Ulaya zama za Viwanda zilipoanza

    Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Profesa Mkumbo ajivua sera ya viwanda 100 kila mkoa

    Picha: Prof. Mkumbo Waziri wa Viwanda na Biashara, Profesa Kitila Mkumbo amesema suala la viwanda 100 kila mkoa siyo mpango wake na halipo kwenye Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hata hivyo amesema kazi kubwa ni kusimamia ujenzi wa viwanda kila mtaa na kuanzisha ukanda maalumu wa viwanda...
  17. JamiiForums Tanzania Njia pekee na ya msingi ya kudhibiti plastiki ni kuhimiza au kuunga mkono viwanda vya kurejeleza taka za plastiki

    Ni dhahiri ya kuwa kwa sasa Dunia inashuhudia vilio kila kona juu ya kero na balaa linalosababishwa na taka za plastiki. Na kama ilivyo kwingine Nchi yetu nayo haijanusurika na janga hili, kila Mtu mzima anashuhudia hatua mbaya tuliyofikia ikisababishwa na taka hizi za plastiki. Ni vyema sasa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Afrika Mashariki ya awali ulikuwa Tanzania Siasa, Kenya Viwanda na Uganda Elimu

    Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977. Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano. Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu Je, tumebadilika? Jumaa kareem!
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini tuna viwanda vingi vidogo Tanzania: Kumbuka hivi navyo ni viwanda

    Tukianza kwa kufahamu viwanda jinsi vilivyo chambuliwa. Tuna manufacturing industries (viwanda vikubwa vya utengezaji). Retail industries (viwanda vidogo vya reja reja ). Alafu tuna viwanda vingine ambavyo havipo kwenye makundi hayo mawili( rest of the world industries) Kwa jina la kiswahili...
  20. JamiiForums Tanzania Viwanda vinavyouza vinywaji kwenye chupa za plastiki vinatakiwa kuwajibika na uchafu wa chupa hizo

    Baada ya rambo kuondoka mjini, sasa uchafu uliotamalaki ni chupa za plastiki. Za maji, soda, juisi nk. Nilisikia serikali ina mpango wa kuwawajibisha wenye viwanda lakini sijajua ikoje. Uchafu huu umesambaa sana hasa kwa miji midogo ambako hakuna waokota makopo. Itafutwe namna Wazalishaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…