viwanda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Viwanda vingi vya Netherlands vyafungwa kutokana na kutohimili bei ya nishati ya Urusi

    Cc: let the caged bird sings, Uturiki yaripoti kuwa viwanda mbalimbali nchini Netherlands vinafungwa kwa 'fujo' (wingi) kutokana na bei ya nishati kuongezeka zaidi. Hiyo ni kutokana na Urusi kuamua kuzinyoosha nchi za EU kwa kuwanyima gesi yake. Gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa zaidi kiasi...
  2. Ottician

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mdororo Sekta ya Ngozi: Changamoto za kusadikika na mikakati ya kujinasua

    SIKIA HII Tanzania ni nchi ya pili kwa mifugo mingi barani Afrika nyuma ya Ethiopia.Uwepo wa mifugo mingi ni fursa kubwa ya kuwekeza na kukuza biashara ya ngozi. Tuko wapi? ,Licha ya kuwa na fursa hii Tanzania ni nchi ya kumi na moja kwa uuzaji wa ngozi nje na uwezo wake ukiporomoka kila...
  3. Chode kanju

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania haijachelewa kuufikia uchumi wa Viwanda

    Tanzania Haijachelewa Kuufikia Uchumi wa Viwanda Tanzania ya Viwanda ni sera iliyopewa kipaombele sana na Raisi wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli akiamini kupitia uwekezaji na maendeleo ya viwanda ndio njia pekee itakayoiwezesha Tanzania kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi yatakayo...
  4. U

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na changamoto za ukuaji wa viwanda vidogo vidogo

    Viwanda vidogo vidogo ni miongoni mwa sekta muhimu ambazo zinasaidia saaana kutatua changamoto za uhaba wa ajira na kukuza uchumi wa mtanzania mtu mmoja mmoja. Mfano wa viwanda hivyo ni kama uselemala, ufundi kushona na vingine vingi. Viwanda hivi vidogo kama endapo vikawekewa mikakati ya...
  5. tamsana

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

    Kazi iendelee! Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS. Sijui nini...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wa mapinduzi ya viwanda nchini Tanzania?

    HISTORIA FUPI YA MAPINDUZI YA VIWANDA Nchi nyingi duniani zilizo endelea zimepitia mapinduzi ya viwanda, na mapinduzi hayo yalihusisha hatua, michakato na pia hatima mbalimbali ambazo zilipelekea nchi nyingi barani ulaya kafanya maaumuzi tofouti tofauti ili kukidhi uhitaji wa viwanda ambavyo...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa viwanda vya kubangua korosho na neema kwa Watanzania

    Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za majadiliano na Serikali ya Vietnam kujenga viwanda vitakavyobangua Korosho hapa nchini (Tanzania) ili kuiongezea thamani badala ya kuiuza ikiwa ghafi kama inavyofanyika kwa kiasi kikubwa hivi sasa. Taarifa kutoka Kituo cha uwekezaji...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambavyo ni magodauni na magofu

    Hivi ni baadhi tu ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bahati Mbaya vingi ni magodauni na magofu vijana inawezekana mmesahau 1. TANGANYIKA PACKERS - usindikaji,upakiaji na usambazaji wa nyama ya ng'ombe. Kiwanda hiki kilikuwa Kawe na kingine mkoani...
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza EPZA wapewe kiwanda cha urafiki, kuna viwanda kama 50 ndani ya urafiki havifanyi kazi

    Mtu akiambiwa kiwanda cha Urafiki anaweza kuzani ni kakiwanda tu, ila ukiingia ndani ndio utaelewa nini maana ya kiwanda, yaani ndani ya Urafiki kuna majengo ya Viwanda kama 50 hivi, yaani magodown yaliyo mule ndani, kila godown ni kama kiwanda kikubwa kabisa, yaani ni hatari. Halafu...
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa Luhansk wamesema kuwa vikosi vya Urusi vimeingia katika eneo la viwanda la Sievierodonetsk baada ya kuanzisha mashambulizi makubwa

    Akizungumza Jumanne, Meya wa Mji wa Luhansk, Serhiy Haidai amesema mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki wakati ambapo vikosi vya Urusi vinajipanga upya baada ya kuongeza shinikizo na kusonga mbele kwenye miji miwili. Haidai amesema kiwanda cha kemikali cha Azot ndiyo pekee katika eneo...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Hotuba ya Bajeti za Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda 2022/2023 tafadhali

    Jamani wananzengo. Naomba mwenye hizo documents namuomba ikiwezekana atuwekee hapa au anipe hata inbox nitashukuru sana.
  12. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania VITA YA UKRAINE: Urusi yazingira kitovu cha viwanda

    Kramatorsk. Vikosi vya Russia vinavyohusika katika mapigano makali mashariki mwa Ukraine vimeuteka mji wa kimkakati wa Lyman na kuzingira kituo kikuu cha viwanda, Moscow imedai. Hata hivyo Ofisa wa Ukraine amekanusha kuwa mji wa Severodonetsk ambao ni kitovu cha mapigano makali ya wiki...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli. Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad. Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa! Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
  14. Dantefx

    JamiiForums Tanzania Viwanda na kampuni zinazopatikans Mara

    Habari wakuu samahan naomba kujua je Mara Kuna viwanda gan au kampuni gani na majina Yao nipo na shida nayo Asanteni
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afungua maonyesho ya viwanda vya kuzalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Alhamisi Machi 24, 2022 alikuwa Mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa maonyesho makubwa ya Viwanda vinavyozalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali. Ufunguzi wa maonyesho hayo yaliyoandaliwa na Kampuni ya Expo...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya Pombe vipewe Ruzuku!

    Ikiwa vyama vya Siasa vinapewa Ruzuku. Iweje sekta inayoingiza Kodi kwa wingi hawapewi Ruzuku toka mfuko mkuu wa Taifa? Tatizo ni Nini? Tumechelewa sana!
  17. MPINGA UKAWA

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanzisha biashara ya kuwauzia maziwa viwanda vinasindika maziwa kama vile Tanga fresh na vinginevyo

    Wakuu nawasalimu Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga fresh ,shambani milk na vinginevyo hata vidogodogo vyenye uwezo wa kuchukua kuanzia lita 50 Hadi 100...
  18. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Samia Dubai: Viwanda vinne kujengwa nchini, kuzalisha ajira zaidi ya 3500

    Historia ya uchapakazi na kujituma ni kati ya mambo mengi yanayotoa tafsiri ya uongozi wa Rais Samia Suluhu. Baada ya ziara yenye mafanikio makubwa Barani Ulaya na katika Falme za Kiarabu, Haya ni baadhi ya makubaliano ya ujenzi wa viwanda nchini kufuatia juhudi za Rais Samia kuvutia wawekezaji...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda na Total wamechagua Mombasa port badala ya Dar port kupokea mizigo kutoka Ulaya ya kujenga viwanda vya mafuta vya Uganda

    Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta. Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu...
Back
Top Bottom