vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tabia hii kwenye vituo vya kutoa huduma za afya haipo sawa

    Habarini, Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika. Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
  2. JamiiForums Tanzania Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

    Super power anafundishwa jinsi ya ku hit Target. Hii ni baada ya mashambulizi ya Russia kwenye soft target nchini Ukraine kupungua wakambembe wazee wakazi wameona watoe darasa kidogo. taarifa ni kwamba. Vyanzo vingi vya Urusi vimeripoti kuwa Ndege mbili za kimkakati aina ya TU-95 zimearibiwa...
  3. JamiiForums Tanzania UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  4. JamiiForums Tanzania Shule 24 zafungiwa kuwa vituo vya Mitihani kwa udanganyifu

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi. Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu...
  5. JamiiForums Tanzania Kumea kwa vituo vingi vya mafuta ni kwa ajili ya kutakatisha fedha zinazotokana na dawa za kulevya na ufisadi wa fedha za umma

    1. Dawa za Kulevya - Biashara imerudi kwa kasi sana. Mimi naishi Kinondoni, naona vijana ambao wameamua kwa dhati kabisa kujiendeleza kiuchumi kupitia biashara hii. Si kwa kificho, mkitaka niwape mbinu za kuwakamata nitawapa. Hawa wanasafirisha sehemu mbalimbali. 2. Ufisadi - Upo wazi, tunaona...
  6. JamiiForums Tanzania Afya: Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari zenu wapendwa. Mimi EN, njoo Arusha/Arumeru nije Kyela Mbeya. DM me
  7. JamiiForums Tanzania Vijue vituo vya Televisheni vya kimataifa vinavyoongoza kwa watazamaji wengi duniani

    1. CNN (US) 2. BBC (UK) 3. DW (GERMANY) 4. ALJAZEERA (QATAR) 5. RT (RUSSIA) 6. SKY NEWS (UK) 7. VOA (USA)
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya kufungua vituo 25,000 vya Wi-Fi ya bure

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi. Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
  9. JamiiForums Tanzania Wabadhirifu 3 tu kati ya 585 walifukuzwa kazi kwa ripoti ya CAG, 384 wakihamishwa vituo

    Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma. Kairuki ameyasema hayo Jumamosi Novemba 5,2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania NIMEMISI FAMILIA TUBADILISHANE JAMANI

    HABARI NDUGU ZANGU WANA JF ...NATAFTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI YEYE AJE MBULU MJI MIMI NIENDE ARUSHA AU KILIMANJARO LAKINI HATA BABATI TAKUA NMESOGEA SOGEA. ASANTEN. Phy & Chem SIMU: 0623450048/ 0746443601
  11. L

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya China-Afrika kufungua vituo vitano Afrika

    Gianna Amani Taasisi ya China-Africa (CAI) ambayo inajihusisha zaidi na utafiti wa masuala yanayohusu uhusiano kati ya China na Afrika imesema inatarajia kufungua vituo vitano barani Afrika ili kusogeza huduma karibu kwa Waafrika. Akizungumza na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika...
  12. JamiiForums Tanzania DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea

    Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu iliyopata zabuni ya kuendesha mradi wa Mabasi hayo itaanza utaratibu huo Novemba 2022. Pia, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji wa DART, Fanuel Karugendo amesema wameipa miezi 6 kampuni hiyo kuingiza mabasi mapya na kwa kuanza...
  13. JamiiForums Tanzania DAWASA: Vituo rasmi vya kuchota maji kwa magari

    Kauli Mbiu: Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka
  14. JamiiForums Tanzania KWELI Ubalozi wa China wakanusha kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania

    Madai Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
  15. JamiiForums Tanzania Eti Makamba nae ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta! Adai hana majibu

    Waziri wa Nishati, January Makamba ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta vinavyojengwa nchini huku akiwaomba NEMC na Ewura taarifa imekuaje? Kama Waziri mwenye dhamana hana majibu tukamuulize nani? Vituo vimeanza kujengwa mpaka vimemalizika na vinafanya kazi hadi leo hajui kwanini...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania China kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania. Ubalozi wa China wakanusha

    BBC. China inadaiwa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya Vanguard imeripoti. Wakiwanukuu watetezi wa Usalama...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo Utaratibu wa vituo vya Mabasi kutoka Dar

    Kutokana na Kukua kwa Jiji la Dar. Ni muhimu kwa Serikali kufikiria namna ya kuwa na Stendi za kisasa za kwenda Mikoani katika Kila Manispaa ya Mkoa wa DSM. Kama tulivyo na Ofisi za Ki-Mkoa za DAWASA, JESHI LA POLISI, TANESCO, TRA nk. Ni wakati sasa kuwa na stendi ya Mikoani katika...
  18. N

    JamiiForums Tanzania NAISAIDIA YANGA: Majina/ramani ya vituo vya yatima Khartoum haya hapa katembeleeni kuiwezesha ile ndagu yenu

    Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2. Ule mtindo wa kutembelea vituo yatima msiogope wandugu, ipigeni leo mkitua hapo mchana. Wahi supermarket kanunueni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kutema moto; leo imeteketeza vituo vya kamandi za jeshi la Zelensky, na miundombinu ya nishati za Ukraine

    MK254 , huyu kamanda wetu mpya Sergei Surovikin ni ukoma aisee... Leo jumanne pia kampelekea moto mkali Zelensky kama nyongeza ya kisasi juu ya vitendo vyake vya kigaidi vya kulipua daraja la Crimea. Mvua za makombora ya leo zimechoma vituo vya kamandi za jeshi la Zelensky na miundombinu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Dar: Utata vifo vya vijana watatu, kuna nini vituo vya polisi?

    Utasikia mtuhumiwa alijinyonga. Utasikia alikimbia na pingu akapigwa risasi. Utasikia alitii bila shuruti... Sasa hawa nao ilikuwaje? 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…