Huduma za afya vituo vya Serikali inakatisha Tamaa, viongozi wa mikoa na Wilaya hata kusimamia huduma zitolewe mnasubiri Rais?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
875
4,101
Nani amewahi kwenda kupata huduma kituo cha Afya kipya kilichopo Kimara? Jaribuni kwenda pale kituoni mkae morning to evining mtajionea Hali ya utoaji huduma ilivyo mbovu.

Nina rafiki yangu anaishi jirani, nikifika huwa napenda Sana kufanya tathimini ya Afya Tanzania. Ningekuwa Mimi ndiye Waziri wa Afya na kwakuzingatia wingi wa watoa huduma ya Afya wasio na ajira, ningewarudisha wale watoa huduma nyumbani then naajiri watu wenye wito wakuhudumia wananchi.

Lakini Hali hii ipo pia hospitali ya Morogoro Kwa ambaye amewahi kwenda, IPO mawenz Kigoma , IPO sinza na maeneo mengine. Wagonjwa wanapokwenda hospitalini wanavyokuwa treated it's like wameomba kuugua

Ndugu zangu manesi na madaktari; duniani kote tiba namba moja ya mgonjwa ni kauli ya mtaalamu wa afya. Kama tusipowekeza kwenye kauli ya kutoa huduma tusidhani kujenga vituo vya afya kutaondoa maradhi.

Jambo la pili, usafi wa mazingira ikiwemo udhibiti wa makelele. Hospital zote zinazojitambua hakuna uchafu wala kelele.

Jambo la tatu, ni uongozi unaojali wagonjwa na kuthamini walipa kodi.

Vyote hivi tunavikosa; ndio maana mama mjamzito haki yake anapofika kwa nesi nimatusi.

Nini kifanyike; Serikali itoe kibali kuanzia sasa mtumishi anayekiuka kiapo chake na mzembe arekodiwe akiwa anatekeleza majukumu yake na video husika itumwe sehemu maalumu au kwa namba maalumu ya wizara au mkoa husika then hatua zichukuliwe
 
Ningekuwa Mimi ndiye Waziri wa Afya na kwakuzingatia wingi wa watoa huduma ya Afya wasio na ajira, ningewarudisha wale watoa huduma nyumbani then naajiri watu wenye wito wakuhudumia wananchi.
Wagonjwa wanapokwenda hospitalini wanavyokuwa treated it's like wameomba kuugua
Nini kifanyike; Serikali itoe kibali kuanzia sasa mtumishi anayekiuka kiapo chake na mzembe arekodiwe akiwa anatekeleza majukumu yake na video husika itumwe sehemu maalumu au kwa namba maalumu ya wizara au mkoa husika then hatua zichukuliwe
Hakika itasaidia kupunguza kama sio kuondoa kabisa tabia ziizofaa za hawa watoa huduma za afya.
 
Back
Top Bottom