vitisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vita Vya Iran na Vitisho Vya Donald Trump Vya Saa 48

    https://youtu.be/FoGNAGeY-uM?si=pdhjydsSkPd8r8fq
  2. Hatuuchukulii utekaji na mauaji kama vitisho bali ni upumbavu na ujinga unaofanywa na watu wasio na akili

    Hatuuchukulii utekaji na mauwaji kama vitisho bali ni upumbavu na ujinga unaofanywa na watu wasio na akili kwa vile huna akili.
  3. Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  4. Haki, sii vitisho: Maendeleo ya Taifa yayajengwi kwa kutishiana

    Ni dhahiri kuwa taifa letu linapitia kipindi kigumu, ambapo hali ya kisiasa inaendelea kuwa tete na raia wanahitaji kupewa haki zao, si vitisho au hofu. Rais wa Mchogo anaposhindwa kuelewa kwamba wananchi wanadai haki ya msingi ya kuishi kwa amani, maendeleo, na usawa, anaendelea kuathiri zaidi...
  5. PostGE2025 Yanaanzaga makanusho na vitisho ila mfahamu walishapanga serikali ya CCM

    Kuhusu bodaboda wapewe mwisho lita 2 lilikuwa suala kupitiwa wakati wakiwa wanasikiliza maelezo toka kwa wakubwa wao. Makanusho ya serikali ya CCM ni kwamba wanachotaka kukifanya kilisha link na ndio maana wanatoa vitisho kwa njia yoyote. Walikanusha mfumo wa NIDA na CCM na tume ya uchaguzi...
  6. Juhudi za kuzima maandamano ni kubwa sana, kwa sasa hawatumii vitisho baada ya kushindikana kabisa kabisa, hata bunduki zimeshindwa

    Juhudi za kuzima maandamano ni kubwa sana, kwa sasa hawatumii vitisho baada ya kushindikana kabisa kabisa, hata bunduki zimeshindwa.
  7. R

    Naona safari hii hakuna vitisho vya dola au muda bado

    Kuko kimya, hakuna vitisho vya maandamano. Au muda bado?
  8. R

    Larry Madowo aonyesha Jumbe za Matusi na Vitisho anazotumiwa na Watanzania DM

    Mwandishi wa chombo cha habari CNN mwenye uraia wa kenya Larry Madowo ameshare baadhi za ujumbe anazotumiwa DM za matusi na vitisho baada ya kuchunguza na kuripoti mauaji ya kikatili ya waandamanaji yaliyotoke Oktoba 29
  9. PostGE2025 Muda huu wangekua wanapitisha Ma vifaru ,na ma vitisho mengi mengi, nguvu nyingi akili Kisoda. Tutaelewana Dec 9

    Dec 9, wote tutoke, tukadai Haki na Ndugu zetu WALOULIWA.
  10. PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

    Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona. Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji. Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
  11. PostGE2025 Maandamano huwa hayazimwi kwa vitisho vya aina yoyote ile, siyo jeshi wala dini!

    Naona walioko hapo juu mnaendelea kufanya kosa lile lile la kabla 29.10.2025. Kabla ya hayo maandamano mlitumia vyeo vyenu vya Uamiri Jeshi Mkuu, Ukuu wa Mikoa, U-IGP nk kuwatishia waandamanaji, kwamba wakiandamana watakiona cha moto. Mkaanzisha na kupitisha maandamano ya Polisi na Wanajeshi...
  12. Wametoka kwenye vitisho wakaona havifui dafu kwenye maandamano sasa wamekuja na wimbi la mashekhe ubwabwa sasa hawa ndio waziie maandamano?

    Wametoka kwenye vitisho wakaona havifui dafu kwenye maandamano sasa wamekuja na wimbi la mashekhe ubwabwa sasa hawa ndio wazuie maandamano? Ndugu zetu wamekufa kama kuku October 29 alafu mnatuletea hawa mashekhe moto utawaka #D9
  13. Kufuatia vitisho vya Masheikh Kwa TEC, Sasa kama ni Mbwai Wacha iwe Mbwai , Hatutaruhusu UHAI WA KIONGOZI DINI UKRISTO KUGUSWA, 9 Dec ni Maandamano

    Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC. Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha Kanisa ili waingie kwenye huo upuuzi wenu wa MARIDHIANO, Umeshindwa. Hata mchochee Mpasuko wa KIDINI ili...
  14. GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  15. M

    Nawakumbusha Serikali watu hawatavumilia njaa majumbani kwa vitisho vya risasi

    Kufuatia sintofahamu ya kupiga mabomu na risasi kwenye mitaa na kuwatishia watu wasitembee maduka na magenge yamefungwa Watu wanakula akiba ya chakula kilichokuwa nyumbani, kikiisha nawahakikishia watu hawatavumilia njaa, hawatakubali kufa kwa njaa watakuja mitaani bora muwauwe kwa risasi...
  16. M

    Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  17. Tahadhali Kabla ya Hatari, Vitisho vya Usalama, Intel analysis

    Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii... Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali ni kutii Kama sio tatizo ni nini!? Mbona mambo mengi yanaepukika, tuache upumqavu/upu-uzi huo mara...
  18. K

    GE2025 Jimbo la Temeke lagubikwa na rushwa, vitisho na ukiukwaji wa maadili ya chama ktk kura za maoni

    Na Mwanachama Hai wa CCM TEMEKE Utangulizi Kwa masikitiko makubwa na kwa dhamira ya dhati ya kulinda heshima, maadili, na misingi ya haki ndani ya chama chetu, napenda kuwasilisha taarifa hii maalum ya uchunguzi wa awali kuhusu mchakato wa kura za maoni ndani ya Jimbo la Temeke. Taarifa hii...
  19. Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza vita dhidi ya Ukraine hadi pale mataifa ya Magharibi yatakapokubali kujadili amani kwa masharti yake, licha ya tishio la Rais Donald Trump kuiwekea Urusi vikwazo zaidi. MigogoroUlaya Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine...
  20. A

    Hezbullah haitasalimisha silaha zake chini ya vitisho vya Israel

    Mkuu wa Hezbullah anasema kundi la Lebanon bado liko wazi kwa amani, lakini halitasalimisha silaha zake , hadi pale Israel atawacha mashambulizi yake ya anga na kuondoka kusini mwa Lebano, pia walio ahidi USA na Saud Arabia kuijenga Lebanon na kuwachiwa mateka wote wa Lebanon Mkuu wa Hezbullah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…