viti

Viti Levu (pronounced [ˈβitʃi ˈleβu]) is the largest island in the Republic of Fiji. It is the site of the nation's capital, Suva, and home to a large majority of Fiji's population.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Zitto acha kudharaulisha upinzani, wapinzani sio wa kulenga kupata viti 30, 40 au 50 vya ubunge.

    Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshiu autaka ubunge wa Viti Maalum vijana

    Mjumbe wa baraza la Umoja wa Vijana wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam @dorcasmshiu amechukua fomu ya ubunge wa Viti Maalumu kundi la Vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuakisi nyanja ya sayansi na teknolojia, kusaidia vijana kupata fursa mbalimbali na kufikisha hoja za...
  3. jannelle

    JamiiForums Tanzania Bunge linamalizika, je Samani huwa zinabadilishwa, naona fursa ya Viti vile😌

    Mwenzenu nawaza fursa tu, si unajua pesa ya kutegemea mbaya.. haya tuachane na hiyo😊 Bunge hiloo linaenda zake, je huwa wanautaratibu wa kutoa zile Samani zake? Maana ni almost 5 years nadhani wanatumia, kama wanauza tupeni network jamani tukapambanie, hata pcs 100 tu. Kwanza tunapunguza nuksi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Majira yametimia ambapo viongozi watakataa viti vyao…

    Salaam! Ule mwisho uliotarajiwa, unakuja kwa njia ngumu sana na ya kutisha. Ni majira yameruhusiwa kutokea duniani Ili kuwakusanya watu pande kuu mbili. Na pande hizi ni pande mbili za kiimani, SI kidini. Yameruhusiwa majira ya vita, ufunguo wa vita hii ulianza 2020 Corona iliporuhusiwa...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mnaokarabati uwanja wa Benjamin Mkapa, msisahau kuu-pimp kwa kuuwekea urembo/decorations, bustani za nje, viti vya V. i. P viwe leather. Pitch vipi?

    Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza. Pia VIP viti viwe leather. Tusibadili viti tu. N. B. Media house ziombe tour ndani ya uwanja...
  6. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji viti vya plastic

    Wapi naweza kupata viti vya plastic kwa bei ya jumla.. either kutoka kwa supplier au manufacturer. Nataka kwa ajili ya kufanya biashara ya kukodisha vitu, kwenye shughuli mbali mbali.
  7. Small letter

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA hata ikipata viti viwili maalum vya Ubunge vitakuwa vya Mke wa Mwalimu na Kigaila akina mama wengine pambaneni Kwa tahadhari

    Yale ya COVID 19 kule CHADEMA ni ngumu kutokujirudia huko CHAUMMA, Wanawake mnakwenda CHAUMMA Kwa malengo ya viti maalum fanyeni hivyo Kwa tahadhari Sehemu sahihi ni CCM tu.
  8. JOSEPHAT_07

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukodisha viti na maturubai

    Habari Samahani kwa mwenye uzoefu na biashara hii naomba anipe maelezo kuhusu biashara hii 1.Garama ya viti (kuvinunua pamoja na kukodisha) 2.Garama ya turubai (kuvinunua pamoja na kukodisha) 3.Jinsi ya kuendesha na kuitangaza
  9. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Bodi na viti vyake vya toyota hilux vinauzwa

    Toyota Hilux pick up na viti vyake vinauzwa
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  11. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ufungaji wa Viti vipya 62,000 Uwanja wa Mkapa unaendelea, vitakuwa na muonekano wa bendera ya Tanzania

    Zoezi la ufungaji wa viti vipya 62,000 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa linaendelea, ambapo viti hivyo vitakuwa na muonekano wa bendera ya Taifa la Tanzania ambazo ni rangi za Njano, Nyeusi, Bluu na Kijani. Hatua hiyo ni sehemu ya maboresho makubwa yanayotekelezwa kwa lengo la kuboresha...
  13. vnn

    JamiiForums Tanzania Nchi masikini, ina wabunge wa viti maalumu 100+ Afrika tumelaaniwa vibaya! Nini kinazuia katiba isirekebishwe?

  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Fantasy: viti vya mchongo

    Hivi ni viti vya marembo zaidi kuliko vya matumizi ya kila siku majumbani.. Ni sawa na vile vijibwa vya kubebwa kwenye vikapu na mikoba.. Japo kwenye mada hii vinaweza kuwepo vya kutumika kila siku lakini vinaweza visiwe vingi
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

    January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo Sio hivyo iliwafanya HATA...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

    Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Yagawa Ambulance 4 na Viti 50 kwa Wenye Ulemavu

    MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YAGAWA AMBULANCE 4 NA VITI 50 KWA WENYE ULEMAVU Siku ya tarehe 27 Januari 2025, kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Jessica Kishoa: Wanawake wote wa nchi hii tunamuunga mkono Rais. Vyombo vya ulinzi visicheke na yeyote atakayevuruga amani

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi usalama na amani. Aidha, ameahidi kushirikiana naye ili kuhakikisha anapata ushindi katika uchaguzi...
  19. Mdakuzi

    JamiiForums Tanzania CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kwa klabu ya soka ya Sfaxien kufuatia vurugu zilizoibuka baada ya mchezo dhidi ya Simba. Pia, wameadhibiwa kwa kitendo cha mashabiki wao kutupa mafataki uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Cs Constantine. Hivyo, watacheza mechi mbili za nyumbani bila...
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania Shule zimefunguliwa Leo: Viti special Kwa waliomaliza kulipa ADA za shule

    Karibuni!
Back
Top Bottom