Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 789
- 654
Habari Authors.
Bado naamini kwenye eBook business ili mwandishi aweze kufanikiwa kwenye taaluma yake ya uandishi kutokana na kupunguza gharama ya uchapishaji na kutapeliwa na PUBLISHERS. Nimepata wazo la kukutana na waandishi wa dar kwanza iliniwaze kuwaelezea how ebook business works and how to make money on it, naamini mwandishi mzuri kwenye kuandika sana anaweza kufanikiwa zaidi kwasababu hatakuwa hapoti sokoni.
Jana niliona bandiko fb la wandishi kukutana kijitonyama ili kujadili kuhusu kuwa na chama cha wandishi tanzania, ila sikumbuki walisema ni tarehe ngapi, nilitamani sana na mm niwepo niwape hii idea ya ebook business.
Wandishi wengi bado wana mawazo mgando kuhusu biashara ya vitabu, ni kama bado wapo miaka ya 70s kwenye biashara ya vitabu; wengi wamegoma kubadilisha biashara yao kuwa ya kisasa zaidi na kuuza sana nchi nzima. Ila wao wanaamini kwenye kuchapisha na kusambaza mikoani.
Wandishi wengi wanamsemo wanapenda kusema , bongo hayo mambo hayawezekani ndio maana tunakomaa na kuchapisha vitabu, bila kufanya research mtu anasubutu kusema hivyo.
Kuna app nimeona playstore na nikajaribu ku install kwenye simu yangu nione inavyofanya kazi kuhusu ebook, ile app inaitwa uwaridi, wandishi wanauza vitabu ambao ni wanachama wa hicho chama. Kitu ambacho nilishangaa ni BEI YA VITABU. Niliona vitabu vinauzwa 8k hadi 12k, ukishaweka oda unasuburi admin wa system aweze kukuwesha kukisoma hicho kitabu, nikajaribu kuchukua namba moja ya mwandishi kwenye list ya vitabu nilivyoviona kwenye app, nikampigia nikamuliza vipi kuhusu muhitikio wa watu kwenye vitabu vyako, akasema toka nimeweka sijauza niko mbion kutoa vitabu vyangu na kudili na biashara zingine.
Na jamaa alikuwa anauza kitabu kimoja 8k
Sasa softcopy na unasoma kwenye app unauzaje bei kubwa hivyo nani hatanunua? Sometimes inabdi ujigeuze kuwa customer alafu uone kama unaweza kusoma kitabu kwenye simu kwa 8k au 12k.
Nije kwa upande wangu wa EBOOK BUSINESS APP:
Binafsi ningeshauri kila mwandishi auze kitabu sh 3000 tu, ili ku motivate customer kununua sana kwa kuangalia mzunguko na sio bei ya kitabu, ukipenda sana pesa huipati ili ukiangalia mzunguko wa wateja na bei ikiwa chini tengemea mzunguko mkubwa na kibunda cha pesa kila mwezi.
APP itasaidia mwandishi kuuza sana nchi nzima na est africa kama sio africa, wakenya wanajua kiswahili pia wanaweza kununua kupitia APP sio watanzania pekeyake kwa ufupi mtu yoyote dunia anaweza kukununua kitabu chako muda wowote sehemu yoyote, hii inamuongezea mwandishi kujulikana zaidi kupitia kazi zake na kuongeza kipato zaidi kwa kuuza sana.
Njia ya malipo inayotumika ni GOOGLE PAY, njia hii ya malipo inatumia world wide , for that reason inakuwa rahisi mwandishi kuuza kazi zake world wide kupitia APP. Kwa njia hii inampush mwandishi kuandika sana vitabu ili auze sana world wide bila hofu ya kutapeliwa na kusambaa kwa kazi zake online. SAFE 99%
Sifa ya biashara yoyote iliyofanikiwa ni kuuza sana bidhaa au huduma kwa wateja wengi bila kikwazo cha njia ya malipo, kinachowakwamisha wandishi ni hawana elimu ya kutosha kuhusu eBook business. Niliwatolea mfano kuhusu Joel yule mwandishi wa vitabu vya biashara , yeye anawafundisha watu kuuza sana yeye ana struggle kuuza vitabu vyake na inafika mahali anajisell short kwa kuuza eBook whatsapp.
Kuuza eBook whatsapp ni kujisell short, kwa lugha nyepesi wazungu wanasema "SHORT TERM GAIN LONG TERM PAIN", ukishauza vitabu kwa whatsapp jiandae kuwa disappointed kwa kazi zako kusambaa online kila kona, ni sawa na kujenga nyumba mto msimbazi ): . Baadae lazima utoe mlio...
Mwandishi usipojua kutengeneza demand kwenye biashara yako ya vitabu uwezi uza sana kama unauza eBook, wanaochapisha vitabu nadhani wanafanya tu kwasababu hawana elimu ya eBook Business nawajua wanapigwa na publishers ila hawana namna ya kufanya.
ILA KAMA UNAWEZA KUJISIMAMIA MWENYEWE UNAWEZA UKATENGENEZA SUBSCRIPTION EBOOK BUSINESS, WATEJA WAKO WANASOMA VITABU KWA BUNDLE KILA MWEZI. MTEJA ANALIPIA 3000 ANASOMA VITABU VYOTE KWENYE APP, HII ITAKUPAISHA SANA NA KUKUTAJIRISHI HARAKA ZAIDI KAMA UNA VITABU ZAIDI YA 20/100. EASY WAY TO GET RICH..
KINACHOHITAJIKA NI GOOGLE PLAY STORE, DOMAIN NAME & HOSTING , EBOOK APP.
KAMA UNA VITABU ZAIDI YA 100 UMEULA KIULAINI, KAZI YAKO KUWA NI KUWAPA TAARIFA FANS WAKO WALIPIE 3000 WASOME VITABU VYOTE KWENYE APP, HII ZAWAD KUBWA SANA KWA WAPENZI WA KUSOMA VITABU.
UZURI WA GOOGLE PAY NI KWAMBA UNATUMIWA PESA KILA MWEZI KWENYE BANK ACCOUNT YAKO, KILA KITU NI AUTOMATIC KWAKO, KAZI KUBWA KWAKO NI KUANDIKA NA KUPAKIWA KWENYE SYSTEM BASI.
UNAINGIZA PESA UKIWA UMELALA, HAYA NDIO MAISHA AMBAYO DUNIA YA SASA INATAKA. INABDI UFIKE MAHALI U AUTOMATE YOUR BUSINESS.
SLOGAN YAKO IWE SPEND LESS GET MORE..
Neno la mwisho kwa mwandishi, "Mafanikio yako yapo kwenye shughuli zako za kila siku unazozifanya, utafanikiwa kama unabadilisha namna ya kufanya".
Ova.
Kama utahitaji kutengenezea subscription ebook app, njoo chaap kwa namba hii 0652247221. Piga simu kama upo serious , usije whatsapp wala usitume msg za kawaida.
NIPO DAR.