vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania China: Marekani chagua moja unataka vita ama ushirikiano?

    Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake. Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna nafasi ya majadiliano" juu ya Taiwan, kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya China baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni apona COVID-19, ajinadi yeye ni Veterani kwa kuushinda Ugonjwa huo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika taarifa yake Jumapili, alisema kwamba matokeo ya vipimo yalirudi yakionesha kuwa hana Covid na sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

    Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe. ========= In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine. “In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they...
  7. JamiiForums Tanzania Watoto Wanaofanyiwa Ukatili Katika Maeneo ya Vita ni Waathirika Wasio na Hatia wa Vurugu za Watu Wazima

    Watu wengi wanafurahia utulivu na amani katika maisha yao, lakini kuna maeneo mengi duniani ambapo vita na migogoro inaathiri maisha ya watu, haswa watoto. Watoto wanaotendewa ukatili katika maeneo ya vita ni waathirika wasio na hatia ambao wanakabiliwa na madhara makubwa ya kiakili, kimwili, na...
  8. JamiiForums Tanzania Danadana ya kupatikana Katiba mpya lengo ni kuhalalisha mikataba mibovu

    Baada ya Bunge la CCM kupitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World ya Dubai hakuna tena shaka kuwa adui wa taifa hili ni CCM. Kumbe ile dana dana iliyokuwa ikipigwa kuchelewesha upatikanaji wa Katiba Mpya, ilikuwa kuwezesha Tanzania kuingia laini katiba mikataba ya aina...
  9. JamiiForums Tanzania Hadithi Fupi: Vita vya Maji Mengi

    Na: Mwalimu Makoba "NI hadithi kama hadithi za sungura na fisi. Haihusiani na tukio lolote halisi." Sehemu ya Kwanza Hapo zamani za kale watu kutoka mbali waliwavamia Wenyeji. Watu hawa waliwachukua na kuwauza kama anavyouzwa mbuzi mnadani. Ili kujihakikishia Wananchi hawafurukuti au...
  10. JamiiForums Tanzania Wakristo mnatakiwa kuungana na waislamu kwenye hii vita

    Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Propaganda zinashinda vita kwenye uwanja wa medani, case ya vita ya Russia Ukraine

    Vita ni tamu kusimulia kutokana na matendo yake ya kishujaa lakini pia vita ni chungu kuiona kutokana na matukio ya mstari wa mbele yaani kumwaga damu kikatili na kupatwa kwa ugonjwa wa post traumatic stress kwa participants wote wa vita. Leo nataka niwafahamishe vijana wadogo wajue kuwa vita...
  12. JamiiForums Tanzania Hili la Luaga Mpina ni pt2 ya Vita ya Musiba na Membe. Nani yuko nyuma ya pazia?

    Wakuu kumekua na sintofahamu nyingi juu ya sakata la madai ya wanakijiji kudai kutapeliwa ardhi yao na muwekezaji Mbunge wa kisesa Luaga Mpina kuhusu ardhi yenye Ukubwa wa ekari 1000. Mengi yanazungumzwa na mwisho lililoongeza mjadala ni kuwa Waziri wa Fedha Dr Mwigulu Nchemba ndiye Yuko nyuma...
  13. JamiiForums Tanzania Dada zangu, mtatoboa kweli?

    Ukiachilia mbali kwamba idadi ya wanaume duniani inazidi kuporomoka, na kwamba katika hiyo hiyo idadi ndogo iliyopo bado kunawengine wengi wameamua kujikataa na kujifanya wanawake, Lakini bado yanamwagwa haya maroboti. Tena yametengenezwa special kabisa kuwa mke. 'Robot wife' . Huko mbeleni...
  14. JamiiForums Tanzania Ijue sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyopiganwa Sudan kwa sasa

    Tokea mwaka 1958 sudan yameshatokea majaribio almost 36 ya kupindua serekali kwa lugha nyepesi sudan ni moja ya nchi ngumu sana kuiongoza afrika Mwanzon wa miaka ya 2000 kulikua na vuguvugu la waasi darfur rais wa wakati huo omar al bashir alianzisha janjaweed ambao ni kama kikosi maalumu kwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Eti Magufuli alipigana vita na mabeberu, vita ya uchumi, ni vita gani alishinda dhidi ya Western Impelialism?

    Propaganda za akina johnthebaptist and Co. Ltd eti ni shujaa. Ushujaa wake unatoka wapi? eti alipigana vita na mabebebru, alipigana vita ipi na alishinda ipi? Vita gani, Ya Uchumi, kuna bebebru hata mmoja aliondoka akaacha miradi yake? Sana sana we are paying dearly kwa kukurupuka kwake...
  16. JamiiForums Tanzania KKKT Konde yazidi kumuandama Askofu Mwaikali. Yaanzisha vita mpya kudai maeneo

    Picha: Askofu Mwaikali Lile kanisa lililo bomoka vipande vipande, dayosisi la konde limeendelea kumuandama Askofu Mwaikali aliyejitenga na kanisa hilo mwaka jana. Baada ya kuwanyang'anya wafuasi wa mwaikali magari, makanisa sasa ni vita mpya ya kuwanyang'anya kila walichobakiwa nacho warutheli...
  17. JamiiForums Tanzania Mbabe wa vita Zelensky atembelea majeshi ya mstari wa mbele Donetsk

    Mbabe wa vita kwa karne yetu Volodymyr Zelenskyy ametembelea wanajeshi walio mstari wa mbele na kutoa nishati kwa wanajeshi wasiokata tamaa kulinda nchi yao kwa gharama hata kama ni maisha yao. =========================== Zelenskyy visits troops on Donetsk front line Zelenskyy has visited...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine imekata tamaa; sasa inadai mpaka ipewe ndege za kijeshi F-16 ndio iweze kushinda vita yake na Urusi

    Hadi sasa Ukraine imepewa silaha lukuki za mabilioni ya pesa, lakini imedai kuwa HAZITOSHI!!. Walipopewa HIMARS wakasema sasa watashinda, lakini wimbo wa HIMARS hauimbiki tena, wakataka vifaru vikubwa ili washinde. Wakapewa vifaru vya mjerumani LEOPARDS na vifaru vya Marekani ABRAHAMS na vya...
  19. JamiiForums Tanzania Masalia ya vita kuu ya dunia ni haya ya Urusi na Ukraine

    Operation ya Urusi huko Ukraine ni matokeo ya mabaki ya vita vya dunia na sera ya upanuzi wa Irusi ili aweze kufikia pande zote za dunia bila kikwazo. Kitendo cha Ujerumani kuadhibiwa vibaya kipindi kile ndio kilichopelekea rise of dictatorship in Germany hence WW, na sasa ninaiona hii kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Inabidi itumike akili gani kuwaelezea watanzania kwamba vita ya Ukraine na Russia sio ya kuishabikia?

    Habari kwa wanajamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, kwa watanzania wengi (nitasema wengi licha ya kwamba sijafanya utafiti ila naona kwa ninachokumbana nacho mtaani inawezekana wengi wana mawazo hayo hayo) wanaivalia njuga vita inayoendelea baina ya mataifa mawili ambayo kiasili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…