vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Msikilize Papa naye anavyopenda vita

    Papa Francis ambaye ni kiongozi mkuu wa kanisa katoliki lenye makao yake makuu Vatican inaonekana ni mpenda vita sana. Katika tamko lake hapo jana amesema kuna watu wanafanya mchezo na Ukraine.Hapo mwanzo wamewapa silaha na sasa wanazuia. Tamko hilo limetafsiriwa kuwa linalenga moja kwa moja kwa...
  2. Vita Sudan: Mkuu wa Jeshi Burhan adai yuko tayari kwa mazungumzo ya amani

    Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema yuko tayari kukaa meza moja na Mohamed Hamdan Dagalo ambaye ni Kiongozi wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) baada ya pande hizo mbili kuwa katika mapigano makali tangu Aprili, 2023 wakishindana kuongoza Taifa hilo Jenerali Burhan ambaye alichukua mamlaka...
  3. Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  4. Mali yafuta kabisa Sherehe za Uhuru

    Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo. Nchi ya...
  5. Wakati wangu wa kuomba maombi ya nguvu za kutawala, kumiliki, kinga, na kushinda vita zote

    Kuna siri ya ushindi ukifanya maombi ya vita muda huu. Naingia vitani (maombi ya vita) kisha nakuja kutoa darasa kidogo. Nimerudi sasa. Ulimwengu huu unatawaliwa na siri nyingi, na siri hizi ziko kwenye mfumo wa namba. Namba 3,6,9 zina nguvu sana ya kufanya uumbaji wa jambo kimwili na kiroho...
  6. Putin hana mshirika; Korea Kaskazini ni rahisi kutokea vikundi vya kuipinga Serikali kukitokea vita na nchi za Magharibi

    Ushirika wa maana kwa Putin, angalau ni China tu, kwa Kim ni rahisi mno kujitokeza vikundi vya kumgeuka na kusambaratisha Serikali yake kwa haraka. Kim, ni mtesaji wa watu wake! Ni muuaji wa wawananchi wake, maisha mazuri yapo kwa watu wachache sana Korea Kaskazini, Raia hawamtaki Kim, yupo...
  7. M

    Kwanini Jumuiya ya kimataifa isimtumie Kanye West kama msuluhishi vita ya Urusi na Ukraine

    Mzuka Wanajamvi! Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa. Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani. Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na...
  8. Vita Kali niliyoiona na Kuitabiri katika moja ya Threads zangu hapa JamiiForums sasa imeanza na ataumia Mtu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane. “Kama watu...
  9. Vita Kali niliyoiona na Kuitabiri katika moja ya Threads zangu hapa JamiiForums sasa imeanza na ataumia Mtu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane. “Kama watu...
  10. UKraine: Hadi sasa tumewaua Wapiganaji 260,000 wa Urusi

    Urusi imepoteza wanajeshi 260,820 nchini Ukraine tangu ilipoanzisha uvamizi wake mwishoni mwa Februari 2022, Mkuu wa Jeshi la Wanajeshi la Ukraine amedai. Takwimu hazijathibitishwa na ni tofauti sana na ripoti ya Urusi Katika sasisho lake, wafanyikazi wa jumla pia walisema kwamba, tangu...
  11. Kwenye vita huwa tunatanguliza migambo

    Vita ipo kwenye rasha rasha. Hiki ni kipindi cha kutanguliza migambo. Kuna migambo wanakufa kuna migambo wanajaribu kusogea. Jeshi kamili lipo armory linajikoki
  12. K

    UK inaweza kuwa nchi ya kwanza na ya mwisho kupigwa na kombola la Nuclear la Urusi, kaingia kwenye mtego mazima.

    Baada ya kusoma habari hiyo, ni wakati sasa wa kuamini kwamba UK kaingia kwenye mtego wa Urusi na inaweza kuwa ni nchi ya kwanza na ya mwisho kutupiwa bomu la Nuclear kutoka Urusi. Kuitambua Wagner kama kikundi Cha kigaidi maana yake ni kwamba: 1) watataka kuingia mpaka ndani ya Urusi kuwasaka...
  13. Mkao wa Vita: Viongozi wa Kijeshi wa Niger wajiandaa kikamilifu kwa vita

    Katika kuonyesha kwamba uongozi wa kijeshi nchini Niger umedhamiria kupambana na yeyote atakayeishambulia nchi hiyo. Viongozi hao wameanza kuhamishia familia zao Dubai, Bukina Faso na kwingineko. --- There are strong indications that members of the Niger junta have begun to evacuate their...
  14. 4

    Mungu anaonya serikali hii , kwa vita hii mmeanzisha kamata watu ,hamtashinda

    Wakuu nawasalim katika yule alie juu ya kila kitu kila mmoja kwa imani yake .Niende kwenye mada moja kwa moja Serikali ya ccm, Naona mmeanza kutangaza vita na wananchi kwa kisingizio cha uhain, kisa watu kukataa MKATABA MBOVU WA BANDARI , mbaya sasa nao vyombo vya dola wanaendelea kutekeza...
  15. C

    Ni vita kati ya "Serikali" ya CCM na "nchi"

    Muvi ya kutisha na kuchosha. Kama igizo lakini ni kweli. Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?! Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote? Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia...
  16. Vita zina mambo mengi sana. Niger wamefunga anga lao. Mali nao wakifunga wanigeria watapata tabu sana kusafiri

    Nimeona hii habari sehemu. Jana ilikuwa mwisho wa muda ambao serikali ya Niger iliyompindua Rais ilitakiwa kuachia madaraka au ukabiliwe na kipigo kutoka ECOWAS. Mali na Burkina Faso zimesema kuwa zitasimama na utawala wa Niger. Sasa Niger wamefunga anga lao. Hakuna ndege kupita. Na ndege...
  17. Ufaransa watazidiwa stratejia katika vita vya uchumi dhidi ya Urusi?

    Niger inageuka kuwa kete muhimu ya vita vya kiuchumi katikati ya mataifa nguli na yenye misuli duniani. Viashiria ni kwamba sera za mfaransa Africa zimetikiswa ndani ya wiki hii ambapo Niger anaenda kumkataa mfaransa kama mshirika wa kihistoria kiuchumi.Jambo ambalo linaenda kutishia uchumi wa...
  18. Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

    Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
  19. Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

    Kumekuwepo na fununu za muda mrefu juu ya kuwepo kwa wapiganaji wa kikundi cha Wagner kilichohusishwa na kiongozi wa Urusi,Vladmir Putin.Hii ilikuwa ni kabla hata ya kuanza kwa vita vinavyoendelea sasa baina ya Ukraine na Urusi. Katika kipindi kifupi fununu hizo ziliongezeka baada ya kutokea...
  20. SI KWELI Yanga kucheza na As Vita Chamazi Complex, Agosti 6, 2023 siku ya Simba Day

    Yanga nao wamekuja na mechi dhidi ya As Vita siku ya Simba day jumapili hii. Wanasema ukimwaga ugali wao wanamwaga mboga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…