Mataifa ya Waarabu yasema vita vikiendelea mwakani wataacha kutoa misaada ya chakula

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Kwamba watawaacha Wapalestina aidha wajifie au walishwe na Israel, hapo sijui wanadhani wanakomoa Israel au Wapalestina, au HAMAS...................

Gulf countries, led by the United Arab Emirates and Saudi Arabia, have issued an ultimatum to Israel stating that if the war between Israel-Hamas does not end next month, there will be a reduction in humanitarian aid, N12 reported, citing Arab sources.

"If the fighting does not stop in January, then we will be forced to reduce the humanitarian aid we transfer to the Gaza Strip," N12 reported, quoting their Arab sources.
 
Wamewafuga na kuwatengeneza Hamas......hizo handaki ni pesa za Qatar na nchi kiarabu.....silaha ni Iran na nchi zingineee
 
Ndio mkuu. Huoni hizi tende (Snacks za Mudi) zinavyowavimbisha matumbo kina adriz nakuwehuka kung'aka vjiweni vibarazani eti Hamas ni freedom fighters zote hizo ni misaada ya miarabu.
sniping
 
Attachments

  • IMG_8435.jpeg
    IMG_8435.jpeg
    75.5 KB · Views: 2
Kwamba watawaacha Wapalestina aidha wajifie au walishwe na Israel, hapo sijui wanadhani wanakomoa Israel au Wapalestina, au HAMAS...................

Gulf countries, led by the United Arab Emirates and Saudi Arabia, have issued an ultimatum to Israel stating that if the war between Israel-Hamas does not end next month, there will be a reduction in humanitarian aid, N12 reported, citing Arab sources.

"If the fighting does not stop in January, then we will be forced to reduce the humanitarian aid we transfer to the Gaza Strip," N12 reported, quoting their Arab sources.
Uharo mtupu
 
Kwanini wanangoja mwakani? Waache leo hii.

Wamepewa msaada wa chakula Kenya, Somalia , Ethiopia na hawana machafuko. Au Kenya walipewa kwa kuwatumikia mabwana zao wa Kamarekani huko Somalia?
Mr uharo hiyo habari kaitoa
JERUSALEM POST propaganda za kishoga wanatafuta namna ya kutoka Gaza.
😂😂😂😂
 
Subiri majihadi ya Tanzania yasome huu ujumbe uone yatakavyokushukia Malaria 2 FaizaFoxy brazaj Bwana Utam n..k

1. Ulivyo mburula lakini hujijui ni kudhani Kila mpinga Israel ni mjihadi

2. Kama ndivyo kumbe Hata TAL ni mjihadi; Mandela na hata Nyerere nao walikuwa majihadi.

3. Kukaa kuwalazimishia watu dini isiyowahusu ni upuuzi katika maana yake halisi
 
Wewe zezeta wa kidini hadi damu iwatoke maskioni ndio mtaachana na Wayahudi

3257805170761984946-jpg-png.2843958
 
This Ushabiq lunacy is reprehensibly beyond apprehension. Just my observation.
 
Back
Top Bottom