USA wamesema watasapoti “UN resolution” kusitisha vita kwa muda usiojulikana ili kupisha misaada ya kijamii!

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,990
22,523
Habari ndo hiyo, ngoja tuone kama Netanyahu atatii.

The United States is prepared to support a new draft resolution in the U.N. Security Council that calls for an indefinite pause in the fighting to permit more humanitarian aid to flow into Gaza, U.S. Ambassador Linda Thomas-Greenfield said late Thursday. A vote on the measure is scheduled for Friday.

"We're ready to move forward," Thomas-Greenfield told reporters outside the council chamber after a fourth straight day of closed-door negotiations. "It will be a resolution - if the resolution is put forward as is - that we can support."

Netanyahu mwenyewe hajui la kufanya vita vyake havina malengo yeyote washirika wake wameishaona ngoma ngumu hii tutapata aibu wote huko Israel nako moto umewaka.

Ehud Baraka:

"Netanyahu hastahili kuendelea kutawala na anaendesha mashine ya sumu ambayo mtoto wake Yair anafanya kazi dhidi ya wapinzani wake."

Je, siku za Netanyahu zimehesabiwa?
 
Habari ndo hiyo, ngoja tuone kama Netanyahu atatii.

The United States is prepared to support a new draft resolution in the U.N. Security Council that calls for an indefinite pause in the fighting to permit more humanitarian aid to flow into Gaza, U.S. Ambassador Linda Thomas-Greenfield said late Thursday. A vote on the measure is scheduled for Friday.

"We're ready to move forward," Thomas-Greenfield told reporters outside the council chamber after a fourth straight day of closed-door negotiations. "It will be a resolution - if the resolution is put forward as is - that we can support."

Wmarekani wanafik tu hao, huku wanawapa mabomu ya tani 2 waisambaratishe Ghaza yote, huku wanajidai wanaunga mkono kusitisha mapigano.

Wote mashetani tu hao.
 
Mungu wa magaidi ameshindwa kupigana. Wanazidi kuteketea tu. Lakini ni majasiri sana, imagine miili zaidi ya 20,000 kuzikwa kwenye eneo dogo kama kigamboni ni hatari sana. Lakini pia hawa wala nguruwe wanazaliana kama panya yaani kieneo kidogo tu watu milioni tano!
 
Netanyahu baba ninyoosheee hawa wanusana mavi wakiwa msikitini shikilia hapo hapo
 
Nilichogundua Wayahudi wanajali sana kiuishi Wapaelstina hawajali kuishi.
Kwa sababu:-
1. Wapelastina wameuuliwa zaidi ya elfu ishirini, hakuna hata mpalestina anaeandamana hamasi wasitishe vita wala kuilaumu hamas. Lakini wayahudi wanaandamana vita isitishwe matekawarudishwe.
Hamasi wanajua udhaifu wa wayahudi , ndo kwanza wanazidisha kusema hakuna mateka ataachiwa , ili raia waisrael waitie presure serikali yao.
Lakini japo Netanyahu ameziba masikio, hadi ayatokomeze haya magaidi.
 
Kiongozi wenu siamezinisha kabisa muoane wanaume halafu mazabau zitatunaka nyaa maana unakata pasta nae mchicha mwiba na waumini wake wote
 
Habari ndo hiyo, ngoja tuone kama Netanyahu atatii.

The United States is prepared to support a new draft resolution in the U.N. Security Council that calls for an indefinite pause in the fighting to permit more humanitarian aid to flow into Gaza, U.S. Ambassador Linda Thomas-Greenfield said late Thursday. A vote on the measure is scheduled for Friday.

"We're ready to move forward," Thomas-Greenfield told reporters outside the council chamber after a fourth straight day of closed-door negotiations. "It will be a resolution - if the resolution is put forward as is - that we can support."

Netanyau anatumia hii Vita kama turufu yake ya kisiasa kubakia mamlakani, hivyo hatakubali imalizike kabla hajatangaza ushindi.

Uwepo wa Netanyau madarakani ni tatizo kwa Wapalestina na tatizo zaidi kwa Marekani na Israel.

Upo sahihi. Hata hii resolution bado ina utata mwingi maana hata Russia ame “abstain”

Bado kuna uongo uongo mwingi. Marekani ana wasiwasi maana asilimia kubwa ya wananchi wake wameshaanza kuwa kinyume na Netanyahu anayoyafanya kule Gaza.
 
Nilichogundua Wayahudi wanajali sana kiuishi Wapaelstina hawajali kuishi.
Kwa sababu:-
1. Wapelastina wameuuliwa zaidi ya elfu ishirini, hakuna hata mpalestina anaeandamana hamasi wasitishe vita wala kuilaumu hamas. Lakini wayahudi wanaandamana vita isitishwe matekawarudishwe.
Hamasi wanajua udhaifu wa wayahudi , ndo kwanza wanazidisha kusema hakuna mateka ataachiwa , ili raia waisrael waitie presure serikali yao.
Lakini japo Netanyahu ameziba masikio, hadi ayatokomeze haya magaidi.
Muisrael mweusi wa Malamba mawili atataka kuwapagia Wapelestina jinsi ya kuishi😅
 
Hamasi kaikataa hio kasema hakuna kusimamisha vita mpaa wakubali masharti yake.

Wanasema wanaweza kuwatoa mateka wale wale civilian lakini askari hakuna

Walipe majumba yote walio vunja

Wasimamishe vita kabisa, hi sijui ceasefire hawaitaki.

Israel safari hi ana kazi nasikia zaidi ya robo ya kikosi cha Golan wameuliwa huko Gaza hao ni Golan tu.

View: https://youtu.be/lterKTOWPuk?si=lwsTnk31CHDj4mg3

Hawa askari wa Kifaransa, Amerika, Italia na Ukraine wanapigana pamoja na Israel
 
Back
Top Bottom