vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Tusisahau vita vya Sudan, waarabu bado wanachinjana na kuwindana mji mkuu

    Jamaa hawachoki, yaani ndio kama wanaanza vile.............. Clashes involving armoured vehicles and heavy weapons continued between the Sudan Armed Forces (SAF) and Rapid Support Forces (RSF) across large parts of the Sudanese capital of Khartoum on Tuesday, especially focused on the SAF...
  2. Hii vita ni kali kuliko ya jamaa zetu tunaowafahamu!

    Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna...
  3. Mawaziri Wakuu wa zamani wa Israel wamkacha Netanyahu. Waja na hila nyingine kuendeleza vita dhidi ya wapalestina mpaka wawamalize

    Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Baraka na Ehud Olmert wameungana na Rais Isaac Hezrog kumponda sana Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa sasa kwa jinsi ambavyo amelitumbukiza taifa lao katika matatizo na vita. Katika pendekezo lake, Ehud Olmert amesema baada ya vita NATO itumike kuirudisha...
  4. SOMA: Namna BIBLIA ilivyotabiri kipigo cha GAZA na Majirani zake, na namna GAZA ilivyokuwa ikisurubiwa toka enzi za manabii

    Mimi kama muhaya, nshomile kutoka Uhayani Republic, imenibidi niingie chimbo kuleta maelezo kamili juu ya hii vita ya Israel na palestina ambayo kuna watu wanadhani Gaza inapigwa kwa bahati mbaya. Ukisoma maandiko ya agano la Kale (Old Testament) katika biblia na vitabu vya kiyahudi Torah na...
  5. Wadau washauri Hamas na Israel kusimamisha vita kupisha mechi ya Simba Vs Al Ahly Oktoba 20, 2023

    Tukio kubwa la ufunguzi la soka la kihistoria African football League ambalo ufunguzi wake utafanyika uwanja wa Mkapa Tanzania Oktoba 20, 2023. Tukio hilo kubwa la michuano mikubwa kuliko yote Africa ambalo litakua na ugeni mzito wa Rais wa FIFA, Rais wa CAF pamoja na marais wa vyama vingine...
  6. Angalia tofauti ya vita ya Ukraine na Russia na Israel na Palestina

    1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na...
  7. Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

    Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani. Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa. Kundi hilo...
  8. A

    Je, ni vita vya wanandugu? Israel v. Palestina

    Toka nikiwa mdogo katika vita ambavyo masikio yangu yamesikia kwa muda mrefu ni vita vya Israel na Palestina. Sina hakika lakini nadhani ni vita ambayo inapigana mara kwa mara. Kipindi kile hakuna mitandao ya kijamii ni radio tu na magazeti. Nilikuwa nikimsikia Samadu Hassan akiitangaza vita hii...
  9. Mwandishi aliyewahi kupinga vita vya Ukreini awekewa Sumu

    Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu. Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
  10. Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

    Kutoka mitandaoni... TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO. Na Joshua Ntagala Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu, utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu kwa maana ya kwamba limetengwa kwa ajili ya matumizi ya Mungu(ardhi yake,watu wake, wametengwa kwa...
  11. Viongozi wa Saudia na Iran wajadili vita na kusema wako pamoja na Palestina

    Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao. Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo...
  12. Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
  13. Amini usiamini VITA yeyote inaanza katika nafsi/roho ya mwanadamu hivyo tuzingatie katika hili

    Dunia =kanuni+utaratibu neno ni ibada pia ni nguvu ukitamka neno mungu ujue umefanya ibada na kwa kupitia neno (MUNGU) unaweza kujikinga na mapepo ya aina yote ila muhimu ni kuamini tu! Nashangaa mno licha ya dunia kuwepo katika misingi muhimu iliyowekwa na mungu ili kuilinda dunia na...
  14. Vita ya Palestina na Israel imekuja kuifunika suala la Urusi na Ukraine kwa makusudi

    Wazungu wanajua kucheza na akili za watu duniani, yaani wanaunda matatizo wenyewe ili kufunika matatizo mengine. Kuanzia mwaka 2019 dunia nzima kulitokea janga la Corona virus🦠😷 watu akili na masikio havikutaka kuona wala kusikia chochote tofauti na habari ya Corona na walifanikiwa kupitia...
  15. Balozi wa Palestina Nchini aomba Dunia ipaze sauti kulaani vita dhidi ya Israel

    Watanzania wameombwa kupaza sauti zao kulaani mashambulizi yanayofanywa na Taifa la Israel kwenye Ukanda wa Gaza eneo la Palestina. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina Nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya machafuko...
  16. Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
  17. Vita ya HAMAS-Israel vinatoa picha na ishara gani kwa Afrika?

    Imepita siku 4 toka vita hii ianze lakini tayari Washirika wa Umoja wa Mataifa na Walinda Usalama wa Dunia wametoa misimamo yao katika vita hii. Afrika tunajifunza nini?
  18. Wanapigana vita lakini bado kiuchumi hatuwafikii

    Palestina na Israel daily wanapigana vita lakini kwenye suala la Uchumi bado nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania 🇹🇿 hatuwafikii kiuchumi. Shida inakuwa wapi kwa Nchi kama Tanzania, na kuitwa Nchi ya Amani na kuwa na rasilimali hizo zote, lakini bado tunashindwa kuzipita Nchi kama Israel na...
  19. Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

    The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and...
  20. HAMAS waanza kuomba vita viishe ili majadiliano yafanyike

    HAMAS walihojiwa na kuomba vita viishe waingie kwenye majadiliano, ila Israel inaendelea kupelekea moto na imechukua na kukalia eneo lote la Gaza na imeamua kufanya kitu ambacho kitakua suluhu kwa hili tatizo kwa miaka 50 ijayo. =============================== The radical Palestinian movement...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…