Unashabikia vita, umejiandaa?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa sio cha kawaida. Kuanzia mwaka 2000 kumekuwa na speed kubwa ya matukio ya kutisha ulimwenguni.

Wote tumeshuhudia Vita, magonjwa, na Mambo mengi ya kutisha. Je unajua maana ya hayo yote? Kama hujui, jibu ni hili hapa.

Ukweli ni kwa tunaelekea Vita vya tatu vikubwa duniani. Macho yako yanashuhudia kidogo kidogo mataifa yanavyojiandaa kwa mapigano makali hapo mbele kidogo.

Mataifa mengi sasahivi yanamiliki nuclear, lakini kwa sasa Vita vya nuclear hawatapigana. Vita vya nuclear vitakuwepo WW111. Hii Vita haiko mbali.

Ushauri: Vita vya tatu vya dunia vitaleta athali kubwa Sana. Mabomu ya nuclear yatatumika kwenye hii Vita. Dunia haitakuwa salama tena.

Ndugu, huu ni wakati wa kujiandaa. Ni wakati wa kumtafuta YESU
 
Walokole mnapenda Sana kutembelea lift ya trends za dunia kuzihusisha na mistari yenu ya mchongo kwenye Yale makabrasha yenu meusi
 
Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa sio cha kawaida. Kuanzia mwaka 2000 kumekuwa na speed kubwa ya matukio ya kutisha ulimwenguni.

Wote tumeshuhudia Vita, magonjwa, na Mambo mengi ya kutisha. Je unajua maana ya hayo yote? Kama hujui, jibu ni hili hapa.

Ukweli ni kwa tunaelekea Vita vya tatu vikubwa duniani. Macho yako yanashuhudia kidogo kidogo mataifa yanavyojiandaa kwa mapigano makali hapo mbele kidogo.

Mataifa mengi sasahivi yanamiliki nuclear, lakini kwa sasa Vita vya nuclear hawatapigana. Vita vya nuclear vitakuwepo WW111. Hii Vita haiko mbali.

Ushauri: Vita vya tatu vya dunia vitaleta athali kubwa Sana. Mabomu ya nuclear yatatumika kwenye hii Vita. Dunia haitakuwa salama tena.

Ndugu, huu ni wakati wa kujiandaa. Ni wakati wa kumtafuta YESU
Usitutishe na unabii wako uchwara tumezaliwa tumekua tumekuta mataifa watu wanachapana vita kwa kwenda mbele pakitulia huku panachafuka kule miaka yote
 
Wenzio wanajiandaa kwa silaha na mahandaki yaliyojazwa huduma zote muhimu wewe unajiandaa kumtafuta Yesu wakati duniani hayupo utampatia wapi mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom