Hawa ndio watakaochukua nishani za juu baada ya vita vya Gaza kumalizika kwa ushindi

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,200
10,947
Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana, wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa vita vyenyewe.

Kwa mtazamo wangu nishani ya mwanzo itawaendea Hamas kwa kuchukua maamuzi magumu na ya kimkakati kupambana na jeshi kubwa na linalotumia silaha za kisasa zaidi duniani, jeshi la IDF.

Nishani ya pili itawaendea kitua cha televisheni cha Aljazeera kwa kuviripoti vita hivi kwa karibu zaidi na kwa gharama kubwa. Pongezi halisi zitaelekezwa kwenye maamuzi yao ya kuonesha matukio uwazi mkubwa kiasi kwamba kama kungekuwa na watu waliobakiwa na ubinadamu basi matukio ya kuuliwa watu namna hii kusingeachwa kukaendelea tangu siku za mwanzo za vita.

Kwenye kituo hicho ingependekezwa itolewe nishani maalumu kwa mwandishi wao anayeitwa Wael Dahdouh, ambaye alikuwa ni msimamizi mkuu wa matangazo ya kituo hicho kwa Gaza.

Mwandishi huyo aliitikia wito wa kuhamisha watu kutoka kaskazini ya Gaza kuwapeleka maeneo mengine yaliyotajwa yangekuwa salama. Siku chache familia yake yote ilipigwa kombora na kufariki hapo hapo,kuanzia mke na watoto wote.

Wael alipopata taarifa hiyo alishtuka kidogo lakini baada ya hapo akaenda kushuhudia maiti za watu wake na kwa ushujaa mkubwa yeye mwenyewe akaongoza sala ya jeneza ya mke na watoto wake huku akiwa amevaa jaketi la uandishi wa habari.

Cha kushangaza baada ya mazishi hayo ya mke na watoto wake,Wael akarudi kuripoti matukio mengine ya vita ya kuuliwa na kubomolewa majumba maeneo mengine.

Maamuzi ya kituo cha Aljazeera kumpumzisha kidogo ndio yalimuondoa Wael hewani kabla ya kurudia tena kazi yake.

Nishani ya tatu itawaendea wapiganji wa Hizbullah na Houth kwa pamoja kwa kuwaunga mkono Hamas mpaka mwisho bila kuogopa wala kurudi nyuma.

1704601833892.png

Idadi ya nishani hizo na watu zinazowaendea inaendelea mpaka 10 lakini mimi naishia hapo kwa sasa.
 
Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana,wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa vita vyenyewe.
Kwa mtazamo wangu nishani ya mwanzo itawaendea Hamas kwa kuchukua maamuzi magumu na ya kimkakati kupambana na jeshi kubwa na linalotumia silaha za kisasa zaidi duniani,jeshi la IDF.
Nishani ya pili itawaendea kitua cha televisheni cha Aljazeera kwa kuviripoti vita hivi kwa karibu zaidi na kwa gharama kubwa.Pongezi halisi zitaelekezwa kwenye maamuzi yao ya kuonesha matukio uwazi mkubwa kiasi kwamba kama kungekuwa na watu waliobakiwa na ubinadamu basi matukio ya kuuliwa watu namna hii kusingeachwa kukaendelea tangu siku za mwanzo za vita.
Kwenye kituo hicho ingependekezwa itolewe nishani maalumu kwa mwandishi wao anayeitwa Wael Abudah doh,ambaye alikuwa ni msimamizi mkuu wa matangazo ya kituo hicho kwa Gaza.Mwandishi huyo aliitikia wito wa kuhamisha watu kutoka kaskazini ya Gaza kuwapeleka maeneo mengine yaliyotajwa yangekuwa salama.Siku chache familia yake yote ilipigwa kombora na kufariki hapo hapo,kuanzia mke na watoto wote.
Wael alipopata taarifa hiyo alishtuka kidogo lakini baada ya hapo akaenda kushuhudia maiti za watu wake na kwa ushujaa mkubwa yeye mwenyewe akaongoza sala ya jeneza ya mke na watoto wake huku akiwa amevaa jaketi la uandishi wa habari.
Cha kushangaza baada ya mazishi hayo ya mke na watoto wake,Wael akarudi kuripoti matukio mengine ya vita ya kuuliwa na kubomolewa majumba maeneo mengine.Maamuzi ya kituo cha Aljazeera kumpumzisha kidogo ndio yalimuondoa Wael hewani kabla ya kurudia tena kazi yake.
Nishani ya tatu itawaendea wapiganji wa Hizbullah na Houth kwa pamoja kwa kuwaunga mkono Hamas mpaka mwisho bila kuogopa wala kurudi nyuma.
View attachment 2864212

Idadi ya nishani hizo na watu zinazowaendea inaendelea mpaka 10 lakini mimi naishia hapo kwa sasa.
Labda tu kuweka sawa uzi. Mshindi wa vita hii mpaka muda huu kapatikana na anaonekaa.
Hii vita mpaka muda huu Hamasi kashinda bila ya upendeleo.
Hasara za kijeshi kwa IDF ni kubwa mnoo kuliko Za Hamasi
 
Ushindi wa Hamas hauna mjadala.Israel hajaokoa hata mateka mmoja na Hamas wapo pale pale.
 
Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana,wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa vita vyenyewe.
Kwa mtazamo wangu nishani ya mwanzo itawaendea Hamas kwa kuchukua maamuzi magumu na ya kimkakati kupambana na jeshi kubwa na linalotumia silaha za kisasa zaidi duniani,jeshi la IDF.
Nishani ya pili itawaendea kitua cha televisheni cha Aljazeera kwa kuviripoti vita hivi kwa karibu zaidi na kwa gharama kubwa.Pongezi halisi zitaelekezwa kwenye maamuzi yao ya kuonesha matukio uwazi mkubwa kiasi kwamba kama kungekuwa na watu waliobakiwa na ubinadamu basi matukio ya kuuliwa watu namna hii kusingeachwa kukaendelea tangu siku za mwanzo za vita.
Kwenye kituo hicho ingependekezwa itolewe nishani maalumu kwa mwandishi wao anayeitwa Wael Dahdouh
,ambaye alikuwa ni msimamizi mkuu wa matangazo ya kituo hicho kwa Gaza.Mwandishi huyo aliitikia wito wa kuhamisha watu kutoka kaskazini ya Gaza kuwapeleka maeneo mengine yaliyotajwa yangekuwa salama.Siku chache familia yake yote ilipigwa kombora na kufariki hapo hapo,kuanzia mke na watoto wote.
Wael alipopata taarifa hiyo alishtuka kidogo lakini baada ya hapo akaenda kushuhudia maiti za watu wake na kwa ushujaa mkubwa yeye mwenyewe akaongoza sala ya jeneza ya mke na watoto wake huku akiwa amevaa jaketi la uandishi wa habari.
Cha kushangaza baada ya mazishi hayo ya mke na watoto wake,Wael akarudi kuripoti matukio mengine ya vita ya kuuliwa na kubomolewa majumba maeneo mengine.Maamuzi ya kituo cha Aljazeera kumpumzisha kidogo ndio yalimuondoa Wael hewani kabla ya kurudia tena kazi yake.
Nishani ya tatu itawaendea wapiganji wa Hizbullah na Houth kwa pamoja kwa kuwaunga mkono Hamas mpaka mwisho bila kuogopa wala kurudi nyuma.
View attachment 2864212

Idadi ya nishani hizo na watu zinazowaendea inaendelea mpaka 10 lakini mimi naishia hapo kwa sasa.

Nishani faida yake nini? Hivi wewe macho yako hauoni, sbb najua in terms of IQ you are brain washed, but you have eyes huoni how Gaza has gone to hell, if there is a hell on earth today, that is Gaza, wewe unaongelea nishani, that is a dead mind thinking..!!

Fikiria maisha au uhai wa watu kule Gaza, Hamas ni magaidi inafaa wauawe wote hao, Hamas caused all what you see in Gaza, alafu wewe unaongelea nishani, poorest ever human mind…!!
 
Hivi unapoandika unakuwa umevuta Bangi au kunywa gongo
 
Hivi Gaza kuna vita au ni Israel anatwanga magaidi? Kunaweza kuwa na vita kati ya Paka na Panya kweli?
 
Unasema baada ya vita kumalizika tena kwa ushindi?

🤣🤣🤣 bora nicheke tu. Halafu jitahidi uwe unaweka paragraph
Usicheke mkuu....elewa kabsa kuna sababu za msingi sana kwa nini China haitaki kusikia kitu kinaitwa Uislamu. YAANI NAOMBA UNIELEWE CHINA HATAKI KABSA
 
Nishani faida yake nini? Hivi wewe macho yako hauoni, sbb najua in terms of IQ you are brain washed, but you have eyes huoni how Gaza has gone to hell, if there is a hell on earth today, that is Gaza, wewe unaongelea nishani, that is a dead mind thinking..!!

Fikiria maisha au uhai wa watu kule Gaza, Hamas ni magaidi inafaa wauawe wote hao, Hamas caused all what you see in Gaza, alafu wewe unaongelea nishani, poorest ever human mind…!!
Taratibu ndugu! Ndo uelewe sasa taifa kama China halitaki kusikia kitu uislamu... yaani ukileta harakati zako za takbir na Allahu wakbar..unapelekwa kwenye Kambi maalumu unahifadhiwa na wenzio mkae humo kama mazombi.
 
Hapa sheikh mi nafahamu kuna dada zetu wameolewa sana na hao makafir hii wala si issue. Wengi sana wameolewa au kuzalishwa nao. Tuendelee kuwatetea wapalestine wenzetu wanapopigwa huko na mayahudi. Hali ni mbaya sana kumeharibiwa hakutengenezeki tena
Wewe ni mpalestine? Hamas wanavuna walichopanda tena wanafuraha kabsa kuwa wanaenda kufanya ngono peponi. WEWE UNALETA HABARI ZA KUWAHURUMIA NA KUWATETEA HAPA
 
Astaghafilullha..... Ritz sheikh wangu njoo usome hapa maneno ya huyu jamaa... Inabidi tumtangazie fatwah au aombe ghofilo. Sisi wahamas tupo nyuma ya wenzetu
 
Nishani faida yake nini? Hivi wewe macho yako hauoni, sbb najua in terms of IQ you are brain washed, but you have eyes huoni how Gaza has gone to hell, if there is a hell on earth today, that is Gaza, wewe unaongelea nishani, that is a dead mind thinking..!!

Fikiria maisha au uhai wa watu kule Gaza, Hamas ni magaidi inafaa wauawe wote hao, Hamas caused all what you see in Gaza, alafu wewe unaongelea nishani, poorest ever human mind…!!
Nenda kawaue wanatakiwa wauwawe nyuma ya kibod

Nawewe unatakiwa upewe nishani yako maalum ntaongea na mleta mada akutengenezee kanishani chako kadogo kadogo maana uko vizuri kwa kingereza na kibod waria uko vyedi
 
Kwanza niipe nishani team jf Kwa kutuletea taarifa na kuzidadavua Kwa kina,pia imewapa Somo muhimu wainjilisti WA mwendokasi wanachokikumbatia sio.

Pili kule tweeter NAO niwape mkono WA kheri.
 
Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana,wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa vita vyenyewe.
Kwa mtazamo wangu nishani ya mwanzo itawaendea Hamas kwa kuchukua maamuzi magumu na ya kimkakati kupambana na jeshi kubwa na linalotumia silaha za kisasa zaidi duniani,jeshi la IDF.
Nishani ya pili itawaendea kitua cha televisheni cha Aljazeera kwa kuviripoti vita hivi kwa karibu zaidi na kwa gharama kubwa.Pongezi halisi zitaelekezwa kwenye maamuzi yao ya kuonesha matukio uwazi mkubwa kiasi kwamba kama kungekuwa na watu waliobakiwa na ubinadamu basi matukio ya kuuliwa watu namna hii kusingeachwa kukaendelea tangu siku za mwanzo za vita.
Kwenye kituo hicho ingependekezwa itolewe nishani maalumu kwa mwandishi wao anayeitwa Wael Dahdouh
,ambaye alikuwa ni msimamizi mkuu wa matangazo ya kituo hicho kwa Gaza.Mwandishi huyo aliitikia wito wa kuhamisha watu kutoka kaskazini ya Gaza kuwapeleka maeneo mengine yaliyotajwa yangekuwa salama.Siku chache familia yake yote ilipigwa kombora na kufariki hapo hapo,kuanzia mke na watoto wote.
Wael alipopata taarifa hiyo alishtuka kidogo lakini baada ya hapo akaenda kushuhudia maiti za watu wake na kwa ushujaa mkubwa yeye mwenyewe akaongoza sala ya jeneza ya mke na watoto wake huku akiwa amevaa jaketi la uandishi wa habari.
Cha kushangaza baada ya mazishi hayo ya mke na watoto wake,Wael akarudi kuripoti matukio mengine ya vita ya kuuliwa na kubomolewa majumba maeneo mengine.Maamuzi ya kituo cha Aljazeera kumpumzisha kidogo ndio yalimuondoa Wael hewani kabla ya kurudia tena kazi yake.
Nishani ya tatu itawaendea wapiganji wa Hizbullah na Houth kwa pamoja kwa kuwaunga mkono Hamas mpaka mwisho bila kuogopa wala kurudi nyuma.
View attachment 2864212

Idadi ya nishani hizo na watu zinazowaendea inaendelea mpaka 10 lakini mimi naishia hapo kwa sasa.

Wavaa Kobaz wote wanastahili nishani!!!

Kuwa na akili finyu ya kurusha Grunet na hatimaye aliyerusha na familia zake kuteketea kama panya na mende. Kwa akili hizo za kipumbavu Kobaz wote mnastahi NISHANI ya UZUZU.
 
Labda tu kuweka sawa uzi. Mshindi wa vita hii mpaka muda huu kapatikana na anaonekaa.
Hii vita mpaka muda huu Hamasi kashinda bila ya upendeleo.
Hasara za kijeshi kwa IDF ni kubwa mnoo kuliko Za Hamasi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Usicheke mkuu....elewa kabsa kuna sababu za msingi sana kwa nini China haitaki kusikia kitu kinaitwa Uislamu. YAANI NAOMBA UNIELEWE CHINA HATAKI KABSA
Hata Mimi nimekuelewa! Hao ni kizazi Cha shetani
 
Back
Top Bottom