Waziri Gadi amkaba koo Netanyahu. Ataka vita visitishwe kuokoa mateka wanaoshikiliwa na Hamas

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,186
10,922
Mmoja ya mtu muhimu katika baraza la kuongoza vita baina ya Israel na Hamas amesema usalama wa mateka uwekwe mwanzo kabla maamuzi ya kuendeleza vita na Hamas,

Kiongozi huyo,Gadi Eisenkot ambaye mtoto wake mwenye miaka 25 na mjomba wake waliuliwa vitani mwezi uliopita ametishia kujitoa kwenye baraza hilo na kutaka uchaguzi uitishwe haraka ili kutoa maamuzi juu ya uongozi wa Benjamin Netanyahu.

Msimamo wa Gadi ndio msimamo wa wanachi wa Israel walio wengi ambao unakinzana na wakereketwa wa chama cha Likud kinachoongozwa na Benjamin Netanyahu ambao wanashinikiza vita viendelee mpaka ushindi dhidi ya Hamas upatikane.

Gadi Eisenkot ni general mstaafu wa IDF na aliyepata umaarufu sana katika jeshi hilo.
Miongoni mwa kauli za Gadi Eisenkot kuhusu vita vinavyoendelea ni hii

“Whoever speaks of the absolute defeat [of Hamas in Gaza] and of it no longer having the will or the capability [to harm Israel], is not speaking the truth. That is why we should not tell tall tales,” Eisenkot said.

Netanyahu trapped by clashing demands from war cabinet and hawks

{أَمْ حَسِبَ الَّذِينَ يَعْمَلُونَ السَّيِّئَاتِ أَن يَسْبِقُونَا ۚ سَاءَ مَا يَحْكُمُونَ} [العنكبوت : 4]
Au wnadhani wanaotenda maovu kwamba watatushinda? hukumu mbaya hiyo wanaohukumu. (Al anqabut 4)
Subhana Allah. Quraan haikuacha kitu.
 
Mmoja ya mtu muhimu katika baraza la kuongoza vita baina ya Israel na Hamas amesema usalama wa mateka uwekwe mwanzo kabla maamuzi ya kuendeleza vita na Hamas,

Kiongozi huyo,Gadi Eisenkot ambaye mtoto wake mwenye miaka 25 na mjomba wake waliuliwa vitani mwezi uliopita ametishia kujitoa kwenye baraza hilo na kutaka uchaguzi uitishwe haraka ili kutoa maamuzi juu ya uongozi wa Benjamin Netanyahu.

Msimamo wa Gadi ndio msimamo wa wanachi wa Israel walio wengi ambao unakinzana na wakereketwa wa chama cha Likud kinachoongozwa na Benjamin Netanyahu ambao wanashinikiza vita viendelee mpaka ushindi dhidi ya Hamas upatikane.

Gadi Eisenkot ni general mstaafu wa IDF na aliyepata umaarufu sana katika jeshi hilo.
Miongoni mwa kauli za Gadi Eisenkot kuhusu vita vinavyoendelea ni hii

“Whoever speaks of the absolute defeat [of Hamas in Gaza] and of it no longer having the will or the capability [to harm Israel], is not speaking the truth. That is why we should not tell tall tales,” Eisenkot said.

Netanyahu trapped by clashing demands from war cabinet and hawks

Waache tummnyooshe Izraili
 
Gadi atulie kidgo kwanza Hamas waendelee kuwapa darasa hawa GAY-land
 
Back
Top Bottom