vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. Cedric Kaze vipi boss mbona Yanga imepunguza kukaba kitimu na kwa nguvu?

    Cedric Kaze nakukubali sana Mwalimu unajua sana kukaba mashabiki lia lia tunajua kuwa Yanga haifungiki sasa msimu huu mbona naona kama Yanga haiko imara sana pasi si nyingi kama mwaka jana, uwezo wa timu kumiliki mpira na kupasua katikati kwenda mbele kushambulia umepungua, mabeki wanarudisha...
  2. Afrika tunaweza kufaidika vipi na vita ya Ukraine?

    Ushabiki tuache kando. Ambao kamwe hautatusaidia kupiga hatua mbele toka hapa tulipo. Tukiwa kama bara tuna mikakati gani ya kufaidika au kujifunza kutokana na huu mzozo? Tukiangalia kwenye kilimo biashara nk.
  3. Yanga haiwezi kushinda bila bahasha ya kaki, mashabiki wenzangu wa Simba vipi mmeshapata mgao?

    Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na...
  4. R

    Jamani eti "science" hii ya imani ya kimila inafanya kazi? na kama ni inafanya kazi ni vipi?

    Huu ni msimu wa maua ya miembe. Imetoa maua sana huku kwetu. Uzoefu unaonyesha kuwa maua mengi huwa yanadondoka/kupukutika na hivyo kutoshika kutoa matunda ya maembe au yakishika, viembe vidogo huwa vinapukutika chini. Sasa SCIENCE ni hii: Nimekuta mtu yuko very busy shambani kwake anagongelea...
  5. Sensa: Je, kuna ubaya kuwauliza watanzania their hopes & expectations of their government? Niko tayari kuhesabiwa, wewe je?

    Wiki ijayo ya Agosti 23 ni siku ya sensa ya watu na makazi, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa. Japo Sensa ni data collection of demographical data za kujua Tanzania tuko watu wangapi ili kuweza kujipanga vizuri kimipango mkakati, je Kuna ubaya wowote kama katika hojaji za Sensa pia tukiwauliza...
  6. Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
  7. L

    China inasaidia vipi wahitimu wa vyuo kupata ajira na kujiajiri?

    Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
  8. Hao ni vipers vipi ingekuwa RS berkane au Al masry ya misri?

    Najiuliza tu mechi ya Leo vipi ngekuwa ni caf champion league,.yanga walishapigwa tayari ,
  9. Vipi tukitumia mbinu hii kwenye mahakama zetu?

    A 16th century painting showing the skinning alive of a corrupt judge, Sisamnes, in the year 500BC. Sisamnes was a corrupt royal judge at the time of Cambyses ll in Persia. It was discovered that he took a bribe in court and passed an unfair judgement. As a consequence the king ordered that...
  10. Huduma ya online copy haipo katika website ya nida

    Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
  11. Tunakabiliana vipi na Hali ya bidhaa kupanda bei?

    Jambo hili nimeanza kuliona mwisho wa mwezi huu kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali na kwenye biashara yangu pia tayari zaidi ya 50% bidhaa nazojumua siku zote kwa sasa bei ni kubwa mno faida kiduchu mauzo nayo yamepungua Sana.
  12. Makamba acha hizo ati makandarasi wazawa wanachelesha miradi: SGR na Stigler vipi?

    Matatizo ya viongozi wetu wengi ni kujifanya wanajua masuala ya ukandarasi na ujenzi wakati kiukweli ni watupu kabisa. Taarifa ya habari saa mbili ITV waziri Makamba amewaonya makandarasi wazawa kwa kutokamilisha miradi kwa wakati. Waziri kaongea hivyo akiweka jiwe la msingi kiwanda cha...
  13. Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
  14. Vipi mshahara wa Julai umetoka? Je, kuna mabadiliko yoyote?

    Uzi huu ni mahususi kwaajili ya kujuzana kuhusu mshahara wa mwezi Julai. Je mshahara ushatoka? Vipi kuna mabadiliko? Ahsanteni sana. Baba mwenye nyumba, Kashai, Bukoba.
  15. K

    Utamjibu vipi Ex wako anayetaka mrudiane baada ya wewe kuyapatia maisha?

    Utakuta mdada ulikuwa ukimpenda sana na kumtimizia mahitaji yake kadri ya uwezo wako lakini ghafla huyo keshakugaya anakwenda kujishikiza kwa kamsela kimbaumbau kisa kanamiliki visilver vya kubadilishia mboga. Eti leo maisha yameninyookea uanze kunitumia vitext vya kuomba turudiane, nitakujibu...
  16. M

    Vipi huko ulipo, bei ya mazao ipoje?

    Huku mimi nafurahi sana ninapouza kipeto cha viazi debe sita vikiwa shambani nauza 65000, sichimbi wala siweki kibarua, japo parachichi soko kidogo lilisumbua, maziwa yanauzika ng'ombe tunataja bei tunayojisikia, nguruwe wanakuja kukuomba uwauzie, naona huu mwaka sio haba gharama za mbolea...
  17. Namsaidia vipi huyu ndugu yangu?

    Wakuu ninaomba ushauri kutoka kwenu. Ninaye ndugu yangu ambae hali yake kifedha ni dhwaiful hali yaani hana kila kitu. Majuzi aliniomba akiniambia ndugu yangu bwana Mwizukulu Mgikuru ninaomba uninunulie walau freezer mbili ili niweze kufanya biashara ya kuuza ice cream na maji baridi...
  18. Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo: EastAfricaTV Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
  19. Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  20. Vipi ikatokea Spika Tulia akija na mbinu mpya? Wamekata Rufaa, nasubiria majibu ya rufaa huku muda ukisogea mara 2025 hiyoo

    Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje? wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see britanicca
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…