vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni vipi akili bandia kama ChatGP inaweza kuathiri kazi miaka ijayo?

    'Ubunifu huu umefanya wakati wetu wa burudani kufurahisha zaidi. Lakini haijafanya wakati wetu wa kufanya kazi kuwa muhimu zaidi. Imeondoa uzoefu wa kibinadamu wa kuchoka. Lakini je, imekufanya uwe na manufaa zaidi kazini? Wataalamu fulani wa teknolojia wanasema kwamba 'huenda usiwe na akili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ya leo ingekuwa vipi kama Kambona angepewa nafasi ya mawazo yake kutekelezwa au kuwa na cheo chenye mamlaka

    Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg, Naskia alianza kuonekana mbaya ila siwezi fikia conclusion maana ni upande moja tu walimsema ni mbaya, so labda zilikuwa ni figisu...
  3. JamiiForums Tanzania Ni vipi Mungu anahusika kuwaleta duniani watu wanaozaliwa na ulemavu unaofanya maisha yao kuwa Jehanamu, Ni baraka yake kuwa hivyo ?

    Nimechoka na majibu ya mkato kwamba mambo ya Mungu tumwachie Mungu mwenyewe, hili jibu haliwezi kamwe kutosha kwa maisha magumu wanayopitia walemavu, Ufafanuzi unahitajika !! Wanasema kila kitu ni utukufu wa Mungu, watu wote wanaozaliwa wameumbwa kwa baraka yake, Kwa walemavu je ni baraka kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye akili hili tumelijua Kitambo tu, ila tunataka kusikia nyie kama MCT mmelitatua vipi

    "Changamoto tunayoiona kwenye Redio ni wamiliki wa Redio kuwaajiri watu Wenye followers wengi. Na mazingira ndiyo yametuhamisha. Kwahiyo huyu mtu mwenye 'followers' Mmiliki wa Redio anaona akichukua atamletea watu wengi" "Ambao hao watu watamletea pesa na yeye kulipa mishahara. Athari ya hili...
  5. JamiiForums Tanzania Ni vipi nyumba inakuwa na uhaba wa vijiko vya shilingi 300 ?

    Huwa nashangaa sana baadhi ya nyumba tatizo la uhaba wa vijiko linaweza kuwepo kwa muda mrefu, vijiko unakuta ni vya kusubiriana. Hivi mtu anapungukiwa kipi kununua hata vijiko vya buku viwe hata vinne ama vitano ? Tatizo huwa ni lipi hasa ?
  6. JamiiForums Tanzania Matukio yanayotokea kwa sasa nchini yanahusiana vipi na siasa?

    Kumekuwa na mtirirko wa matukio yasiyofaa kwenye jamii zetu kila kukicha. Kuna suala la mapenzi ya jinsia moja, watu kuuawa kila kukicha, watoto kuharibia kila siku. Nimekuwa nikijiuliza sana, Je haya mambo yanachagizwa na mfumo wa kisiasa? Maana ukiingia huko mjini twitter kila kona watu...
  7. JamiiForums Tanzania Swali kwa wajuzi wa Kiswahili:"executioner" inatafsiriwa vipi Kiswahili.

    Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa vipi Kiswahili? Naona tafsiri hapa;"mchinjaji","mnyongaji". Certainly ni "mchinjaji" na...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yatangaza Ijumaa ijayo kuwa Sikukuu ya Idd

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya ndani inayoongozwa na Profesa Kithure Kindiki imetangaza Ijumaa ya Aprili 21, 2023 kuwa Siku Kuu, kusherehekea Idd-ul-fitr.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa Hati Miliki za Ardhi, hali ipoje huko kwenu?

    Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa hati miliki za ardhi. Mtu anakuwa amemaliza kulipia kiwanja na kufuata hatua zote zinahitajika lakini linapofika suala la kupewa hati ni mtihani. Wapo wananchi ambao wamemaliza kulipia viwanja vyao kwa takribani miaka minne sasa, lakini hadi sasa hawajapatiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu Member wa JF Nanamucho aache dharau kama vipi anikutanishe na hayo madanga yake ajue uwezo wetu kipesa mfano mimi baharia Mkataa NDOA maarufu.

    Hello family, 👇👇👇 Natuma salamu kwa huyu member mwenye picha yenye nyashi a.k.a Nanamucho amefanye dharau eti sisi wadau humu hatuna pesa, sasa natoa ofa kwake na mabasha wake nikutane nao sehemu bill ntalipa mimi, dharau za kijinga afanye huko kijijini kwao. Mfikishieni taarifa weekend hii ya...
  11. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wazee wa Movie, John Wick 4 vipi?

    Salaam kwenu. Naulizia hiyo movie hapo juu kwa mwenye direct link au hata torrent ambayo sio CAMRip au WebCam iwe HD naomba anijuze please. Natanguliza shukran.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Nimegundua kuruka na ungo mchana, vipi serikali itanipa kibali?

    Waruka na ungo usiku mnafeli wapi? Kwanini ungo usitumike mchana na sio usiku kwanini umsiungane ukafanye sayansi yenu ikawe bora maana sayansi yenu bado ni duni means bado haina maboresho. Tunahitaji ungo uruke mchana na watu tusigeuzwe kuwa panya tubaki kuwa watu. Hapa ndipo wachawi...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

    Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

    Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha. 1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana. 2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi 3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa...
  17. JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

    Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe. Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

    Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia? Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
  19. JamiiForums Tanzania Nionavyo lengo la wiki ya usalama barabarani ni kuuza stika, anayeamini kupungua kwa ajali anieleze ni kwa vipi

    Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali. Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ulipokea vipi Msiba wa Hayati Magufuli?

    Wakati tukiwa kwenye kipindi cha Kumbu kumbu cha msiba wa hayati Dr John Pombe Magufuli Rais wa JMT awamu ya tano tuambizane wewe ndugu yangu huko uliko taarifa za musiba ulizipataje na ulipokea vipi msiba mzito wa kuondokewa na rais wa Tanzania? Ilikuwa ni habari ya kusikitisha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…