viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi waanza kumshika mkono wa pole Mfalme Charles III

    Toka Jana jioni Viongozi wa dunia wameanza kwenda kumpa pole Mfalme Charles III, pichani akiwa na Justin Trudeau, Waziri Mkuu wa Canada. Poleni waanglikana wote duniani
  2. JamiiForums Tanzania Panya Road: Matokeo ya maamuzi mabovu ya viongozi

    Wakati wa utawala wa Awamu ya Tano tulishuhudia kupungua kwa wimbi la uhalifu nchini lakini pia tuliona ongezeko la vijana kwenye sekta ya ujasiriamali na shughuli halali za kujiingizia kipato. Baada ya kuanza kwa Awamu ya Sita, kipaumbele cha kwanza kilikuwa ni kuwazuia na kuwaondoa...
  3. JamiiForums Tanzania Panya road ni hatari ila kauli za viongozi juu ya panya road ni hatari zaidi

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi sana ya uhalifu yakihusiana na makundi ya vijana jiji Dar Es Salaam . makundi ayo maarufu kwa jina la PANYA ROAD . Matukio yamezidi kuwa mengi na athari ya matukio hayo ya uhalifu yamepelekea mpaka wanajamii kupata ulemavu , kubakia na majeraha na wengine...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Bila Rushwa ya 50,000 au 100,000 kwa Viongozi wa viwanda vya Mo Dewji hupati kazi

    Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua wamekuwa na utaratibu kuchukua rushwa ya Tsh. 50,000 hadi 100,000 kwa kila anayetaka kazi. Kuna...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga Magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala mkoani Mbeya. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi. ITV ============================== Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi Mashuhuri watakaomzika Queen Elizabeth II

    1. Joe Biden - Rais wa Marekani, 2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa, 3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya, 4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda, 5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani, 6. Paul Biya - Rais wa Cameroon, 7. Patrice Talon - Rais wa Benin, 8. Mohamed Bazoum - Rais wa Niger, 9...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa TAA na Malkia Elizabeth 1953

    TAA, GAVANA EDWARD TWINING NA SERIKALI YA MALKIA ELIZABETH 1953 Baada ya kupata taarifa ya kifo cha Malkia Elizabeth nimekifungua kitabu cha Abdul Sykes (1998) kumtafuta Malkia. Nimekuta nimemtaja Malkia Elizabeth sehemu kadhaa ndani ya kitabu kama mtawala wa Tanganyika. Tuanze na pale Julius...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake ni viongozi na wasimamizi bora wa jamii na nchi

    Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
  9. JamiiForums Tanzania Mishahara wanayolipwa Viongozi Wakuu nchini Kenya iko wazi, Tanzania hali ikoje?

    Baadhi ya nchi duniani huwa na taratibu za kuweka wazi mishahara ya viongozi wakuu pamoja na wale wanaoongoza mihimili mingine ili wananchi wao waifahamu. Hii ni sehemu ya kuonesha uwazi na uwajibikaji wa Umma kwa kuwa mamlaka yao hutoka huko. Mfano, Rais wa Nchi ya Kenya hulipwa kiasi cha...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona sioni ulinzi wa kutisha kwa viongozi wakubwa wa Kenya?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa Karibu Sana, kipindi chote cha uchaguzi mkuu wa Kenya, sijaona msururu wa walinzi wa viongozi hao, wakilindwa na ulinzi wa kuwalinda viongozi hao, pamoja na uhasama mkubwa, uliokuwepo huko Kenya, Katika kipindi chote cha uchaguzi huo. Muda huu naangalia TV za Kenya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini viongozi wa Yanga SC wanapenda kusema wameonewa wakati madhaifu ni yao na ushamba wao?

    Umetuma majina 13 huku la Tuisila Kisinda likiwa la 13 TFF na unajua fika kuwa Mfumo wa TMS huchukua majina 12 tu ya kwanza ambayo ndiyo yanatakiwa kikanuni. Mnaacha kukiri Kosa kuwa ni upuuzi, ugeni na Ushamba wenu mkubwa ndiyo umewaponza na kukosea huku mnakimbilia kumtuma mpuuzi wenu mfungwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini kifanyike kwa viongozi wetu tupate timu bora ya taifa letu la Tanzania?

    Kwa jina naitwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa kitanzania nina umri wa miaka 28 kwa sasa leo ningependa nizungumzie mambo mbalimbali yanayo weza kufanyika ilimradi kuweza kufanikiwa kufika mbali katika timu yetu ya taifa. Mpira ni mchezo wenye washabiki wengi sana duniani kote na...
  13. JamiiForums Tanzania GEITA: Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana azungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi

    Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali wanakwepa kujaza fomu za mali wanazomiliki,lmimi ni nani nitaje nyumba zangu

    Salama wandugu Kuna baadhi ya viongozi wa umma na mawaziri na wabunge mpaka dakika hii bado hawajajaza fomu za Mali zao wanazomiliki unafikiri kwa nini, iweje sensa mtake kujua mwananchi anamiliki nyumba ngapi ?hapa mnatwanga maji kwenye kinu hata kama mtapata taarifa zitakuwa za uwongo ,Mimi...
  15. JamiiForums Tanzania Kodi nyingi na tozo nyingi kwa wananchi bila adhabu kubwa kwa viongozi wala kodi na tozo ni bure kabisa

    Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni Sahihi kwa Serikali kuchukua mashamba ya wananchi na kuwagawia Viongozi?

    Naomba kujua kwa wenye ufahamu wa masuala ya ardhi maana jambo hili kwa akili ya kawaida tu naona haliko sawa. Nafahamu kuwa serikali inaweza kuchukua maeneo ya wananchi kwa manufaa ya jamii nzima (for public interest) na sio kwa ajili ya kuwagawia viongozi. Naomba kupata msaada wa mawazo...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni, viongozi hawana huruma na wananchi

    Habari! Nilileta Uzi hapa kuonesha matumizi mabaya ya serikali, au niite matumizi yasiyo na msingi. Semina ya sensa wiki tatu ilikuwa haina ulazima. Siku 3 tu zingetosha. Sasa ngoja nitoe mfano mmoja tu ili mjue kuwa serikali hii haina huruma na mwananchi. Mwaka huu serikali ilikuwa na zoezi...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wanapolalamika, wanyakwa wa vijiweni wafanye nini?

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais Mwinyi imenishangaza sana. Nimejiuliza na kutafakari sana kuwa kama viongozi hawa waliopewa kila aina ya nyenzo ili ziwawezeshe kufanya kazi wanalalama je, wananchi wa kawaida wafanye nini? Wapeleke wapi kero na malalamiko yao? Kama Rais anaweza kuuona ufisadi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugai: Viongozi tujipime kabla ya kufedheheshwa

    Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

    Imekuwa kawaida kusikia watanzania wakiwaita watanzania wenzao kuwa ni waoga (cowards). Maajabu ya Mussa. Kwani hao wanaowaita wenzao kuwa cowards utaifa wao si ni huu huu au wao ni walamba asali? Uhalisia wa mambo ni kuwa wanaowaita hivyo wenzao, nia yao ni kutokuwepo mstari wa mbele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…