Wakuu.
Ukiangalia namna mambo yanavyokwenda kwenye Jamhuri yetu hii pendwa utaona wazi kabisa kuwa kuna ombwe la uongozi.
Inaction is everywhere.
Inatokea issue critical ambayo inahitaji maamuzi ya haraka , kila mtu anabakia kumtegea mwenzake.
Kiongozi badala ya kutake action naye anabakia...
Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI.
Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema kuwa, wao hawapingani na Amani bali wanapinga Dhuruma, pia wameendelea kusema hawataki Amani ya...
Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji, Madini ya kila aina, Gesi, Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato?
Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo?
Kwa...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge mkoani Tabora.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Shaka Hamdu Shaka, wilayani Sikonge mkoani...
Haisaidii kuacha kuwaambia bayana. Kwa Hakika mmejisahau mno.
Kwamba mna agenda zisizokuwa na baraka zetu? Kwamba hata mna tozo mlizo asisi nyie, tusizoziafiki?
Kwingine mbona si hivyo?
Nyie hata mnatuasa kwamba kama vipi hata Burundi nayo ni nchi?
Alisema Mwalimu: "Nchi siyo mashamba...
Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
Tanzania nchi yangu, naipenda nchi yangu TANZANIA.
Kwa sasa nchi yetu inaenda kufanya zoezi la muhimu mno la kujua idadi ya watu,maeneo wanayoishi na hali zao kwa ujumla.
Kwa umuhimu huu napenda kuwaomba watu wote waliohumu jf kuwa mawakala wa kuhakikisha kila mmoja anahesabiwa.
Natoa...
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja.
Afrika tuoneshe kujitambua.
Kama kweli ya jana yamewauma anzieni kum probe henock inonga hata kama kufanya umafia kampuni za simu ku trace mawasiliano yake
Kama wawa alivyochomesha jwaneng jana inonga kakunja pesa na mission yake tangu mwanzo ilikuwa apate red card ilivyoshindikana akaamua kujiabisha mazima
Mtamlaumu...
Alipoingia mzungu, Simba ikaanza kupya na ndipo Yanga walipotake advantage ya kuisumbua Simba!
Uchezaji wa mzungu ni ulele kwanza haoni margin uwanjani pia hakabi, chenga hajui!... Kweli viongozi wa Simba ndo mmetuletea Kocha huyu afanye maajabu na Mzungu wake!..... Matola kwanzia sasa akipangwa...
sijajua ni uzembe wa meneja wa team, team haina watu wa security au makocha wazungu ndiyo pendeleo lao ama nini lakini hili la mashabiki kuangalia mazoezi ya simba linafikirisha sana.
Ni ujeuri na ukaidi tu, wanajua kesho tukifungwa watamtuma Ahmed Ally apooze watu na tararira mbili tatu maisha...
Uwajibikaji wa viongozi ngazi ya kata ni suala ya kuzingatiwa hasa kwa watu waliopewa mamlaka ya kuongoza bila kubagua dini au itikadi ya vyama.Viongozi kutokuwajibika katika utozaji wa tozo ndogo ndogo katika kata kama vile
Ulipiaji taka hii ni mojawapo ya changamoto inayonikumba mimi binafsi...
Kila wakati tukisema viongozi wa yanga uwezo wao ni mdogo, watu wengi hamuelewi.
Mkutano uliofanyika jana ni General Assembly ya CAF. Ni mkutano unaowakutanisha viogozi wakuu wa mataifa wa mchezo wa mpira wa miguu.
Vilevile CAF au FIFA hualika wageni maalum kwenye mkitano huo. Siyo kila mtu...
Tanzania haifati meritocracy, hivyo viongozi wengi kuanzia chini mpaka Juu hawajawahi achieve chochote maishani ukiachia labda kuoa na kuanzisha familia, hilo nalo unaweza kulijadili pia kama hata kwenye Familia wamefanikiwa.
Ukingalia nchi nyingi utaona viongozi wanafika juu kwa merit, unaweza...
Neno “Utawala”pekee linaweza kutumika katika fasihi kadhaa, mfano utawala katika ngazi za taasisi (corporate governance), utawala wa kimataifa,(international governance),utawala wa kitaifa, (national governance) lakini pia utawala wa mitaa (local governance).
Utawala bora ni matumizi ya uwezo...
"Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC.
Taarifa: EFM Sports Headquarters leo.
Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
Nimesoma taarifa Leo Rwanda walimu kupata salary increase 88% .
Kwa Tanzania wachawi ni wasaidizi wa Rais. Wanampotosha Sana. Unamuongezea MTU 23.3 Kwa kima Cha chini halafu ndio inakuaje.
Ni akili ndogo kudanganya akili kubwa. Nyongeza hiyo imetokana na nini? Kama ni ugumu wa maisha...
03 August 2022
Kuna Uhitaji Mkubwa wa Huduma za ndege kubwa nyada za juu kusini
Ndege kubwa ya ATCL aina ya Airbus A220-300 yaanza safari zake uwanja wa Songwe. Viongozi wafunguka kigugumizi kilichokuwepo cha ndege kutua usiku kutokana na kukosekana taa za uwanjani, ambapo sasa tayari...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amepiga marufuku ununuzi wa mazao ya wakulima kwa kutumia vipimo visivyokuwa rasmi ikiwemo ujazo ulizidi yaani lumbesa
Alitoa agizo hilo jana alipokuwa akizindua Maonesho ya Wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika viwanja vya John Mwakangale...
Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi.
Swali: je, vijana wachapakazi lakini wenye utoto mwingi wapewe kazi au wasipewe?
Je, hawa vijana watatumia madaraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.