Tuwanyambue viongozi wetu mbalimbali na utendaji wao uliotukuka kwa taifa letu Tanzania

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,426
20,466
Naanza na Mwl. Julius kambarage Nyerere, Rais wa kwanza kwa Tanzania yetu.

* Aliupigania Uhuru wetu

* Alituunganisha watanzania kuwa kitu kimoja na kuwa na lugha moja (kiswahili).

* Alishawishi muungano wetu kati ya bara na visiwani (muungano adhimu na imara)

* Alitetea vyema ardhi YETU dhidi ya uvamizi wa nduli Idd amini.

* Alingatuka kwa hiyari.
___________________
Tunyambuwe wengine kwa faida ya wasiofahamu KAZI nyeti zilizofanywa na viongozi wetu mbalimbali.

N.B. Wengi husikia tu mf. Kolimba lakini hawafahamu mtu huyu alilifanyia nini taifa.

N.B. Kwa wenye kumbukumbu sahihi za viongozi wetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom