Enyi viongozi wa CCM acheni kumsingizia Mungu kwa matatizo yenu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,443
8,287
Mimi kama mkristu kamili.

Amri ya pili inasema "usilitaje bure jina la mungu wako".

Viongozi wa dini mko wapi kukemea jambo hili ovu.

Nimesikia mara ya tatú mhimili wa serikali inamsingizia Mungu.

1. Mgao wa umeme last year makala alisema serikali haina namna tumwombe Mungu mvua inyeshe.

2. Mgao Wa Maji makala huyo huyo Alisema hili ni suala la kimungu hatuna namna.

3. Leo mama Samia anasema tumeshuka kiuchumi Kwa sababu za kimungu.

Hizo ni lugha Za watu waliofail. We go to God for something Which is beyond human thinking capacity.

Kumsingizia mungu kila kitu maanake mmeshindwa kazi tuliyowatuma watanzania.

Chini ya Samia ufujaji wa pesa za umma ni mkubwa sana. Uzembe Makazini umezidi.

Huduma katika taasisi Za serikali unaweza lia zimekuwa mbaya sana
 
Bahati mbaya hawawezi kukusikiliza.

Muhimu tunza pesa zako chimba kisima cha maji. Pia usisahau kufunga sola nyumbani kwako.

Hao wanaojiita viongozi wanawaona wananchi wajinga kwasababu mnawapa umuhimu wasiostahili.

Hapa mtaani kwangu tunajioganizi tuweke barabara yetu vizuri, tukimaliza hilo tutahakikisha kila nyumba inapata maji.

Hao wanaojiita serikali walishafeli toka miaka 60 iliyopita. Wewe bado unawasikiliza?

Utapata tabu sana
 
Back
Top Bottom