Kumbe ndio maana viongozi wanashindwa kujiuzulu!

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Kwanini mnafanya jambo la nchi kama personal ama family issues?

Unapofail katika jukumu la kitaifa, ukionekana hutoshi mahala kama unajua hilo ni jambo la kitaifa na sio personal basi ni rahisi ukajiuzulu na kuwapa wenzio nafasi wafanye na wao.

Hii mentality ya kujibinafaiahia nchi mpaka mnajibinafsiahia na wananchi wenyewe ni tabia ya ufisadi. Eti jitu linasema , "wananchi wangu wa jimbo la ........"

Ndio huu upuuzi unafanya wasikosolewe hawa watu, kwani mtu kama anakukosoa ndani ya muktadha wa jambo la kitaifa, hajaongelea familia yako wala mme wako ama mke wako, bali kaongelea jinsi ulivyoshindwa kutimiza jukumu la kitaifa, tena hajatumia lugha chafu kabisa, hapo kuna tatizo gani?

Mnajifanya miungu watu sana ndio maana hamtaki kukosolewa, na haya mambo yanatokana na kujigeuzia utawala wa taifa hili kama falme ya familia zenu, wote mlio madarakani ama mnaconnection ama za urafiki wa kifamilia ama za damu zenu kabisa ama za mahusiano yanayofanana na hayo, nchi haiongoozwi kwa merit tena ma ndio maana mnavurunda sana mpaka wwnyewe mnachangamyikiwa.

Mnajuta hata kwann mliichukua nchi, maana inawashinda hivi hivi tunawaona live.

We nchi inaendeshwa kwa kuwaibia wananchi shilingi mia mia kwwnye bando zao, tena bando zenuewe za kimasikini; mtu anatumia buku wikinzima kifurushi sasa ww mdio utegemee kahela hako umege kwwli ili uongoze nchi? Jumba bovu limewaangikia hilo na ule mzimu utawamaliza.

Nchi ilikuwa inaongozwaje bila kuhangaisha wananchi, bila kuwasumbua wenye vijumba vyao vya kupangisha, bila kupanda bei za vyakula, bila kupanda bei za bidhaabalimnali muhimu?

Leo mnataka mtupore raia haki ya kuwakemea , siisi tumekuwa familia zenu, ebo! Hili ni taifa lenye watu wazima na wengine wengi tu tumefuta ujimga na tunayaelewa mambo.

Sasa ile nguvu mliyoiona bungeni katika mkutano huu wa 9 ulioisha kwa taarifa yenu ndio utamaduni wa taifa hili kwa kuanzia hapo, ALICHOFANYA BASHIRU ALLY NI KIWAKUMBUSHA TU.

HUTAKI KUKOSOLEWA ACHIA SERIKALI KAWAONGOZE WANAO, HATA FAMILIA NAYO NI SERIKALI UNAWEZA UKAFANYA UONGOZI WAKO NYUMBANI KWAKO.
 
Hii ya kukata tozo kwa wanyonge is a worse situation, wanyonge sasa ndo wanagharamia anasa za vigogo za magari ya kifahari na kulipia mikopo ambayo inaishia kwa walamba asali.
 
Bashiru ndio muasisi wa hizi siasa chafu za kukataa kukosolewa. Msidhani tumesahau mchango wake kwenye hizi siasa chafu. Fanya utetezi wako bila kumtaja Bashiru maana ndio chanzo cha huu upuuzi.
 
Paulo alikuwa mtukanani, mnyongaji na mfitini kwa wakristo wa kwanza. Lakini alikuja kuongoka baadae na akaizungumzia kweli ya Kristo kwa mateso na damu. Unataka Bashiru asiongee ukweli eti kwa sababu nae alikuwa kwenye hilo genge?? Nasimama na Bashiru. Ukweli ni lazima usemwe. Habari ya sijui nani anaupiga mwingi ni upumbavu na ujuha. Timiza wajibu wako na fanya kazi bila kujionyesha kwa watu ili usifiwe.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Haswaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mnafanya jambo la nchi kama personal ama family issues?

Unapofail katika jukumu la kitaifa, ukionekana hutoshi mahala kama unajua hilo ni jambo la kitaifa na sio personal basi ni rahisi ukajiuzulu na kuwapa wenzio nafasi wafanye na wao.

Hii mentality ya kujibinafaiahia nchi mpaka mnajibinafsiahia na wananchi wenyewe ni tabia ya ufisadi. Eti jitu linasema , "wananchi wangu wa jimbo la ........"

Ndio huu upuuzi unafanya wasikosolewe hawa watu, kwani mtu kama anakukosoa ndani ya muktadha wa jambo la kitaifa, hajaongelea familia yako wala mme wako ama mke wako, bali kaongelea jinsi ulivyoshindwa kutimiza jukumu la kitaifa, tena hajatumia lugha chafu kabisa, hapo kuna tatizo gani?

Mnajifanya miungu watu sana ndio maana hamtaki kukosolewa, na haya mambo yanatokana na kujigeuzia utawala wa taifa hili kama falme ya familia zenu, wote mlio madarakani ama mnaconnection ama za urafiki wa kifamilia ama za damu zenu kabisa ama za mahusiano yanayofanana na hayo, nchi haiongoozwi kwa merit tena ma ndio maana mnavurunda sana mpaka wwnyewe mnachangamyikiwa.

Mnajuta hata kwann mliichukua nchi, maana inawashinda hivi hivi tunawaona live.

We nchi inaendeshwa kwa kuwaibia wananchi shilingi mia mia kwwnye bando zao, tena bando zenuewe za kimasikini; mtu anatumia buku wikinzima kifurushi sasa ww mdio utegemee kahela hako umege kwwli ili uongoze nchi? Jumba bovu limewaangikia hilo na ule mzimu utawamaliza.

Nchi ilikuwa inaongozwaje bila kuhangaisha wananchi, bila kuwasumbua wenye vijumba vyao vya kupangisha, bila kupanda bei za vyakula, bila kupanda bei za bidhaabalimnali muhimu?

Leo mnataka mtupore raia haki ya kuwakemea , siisi tumekuwa familia zenu, ebo! Hili ni taifa lenye watu wazima na wengine wengi tu tumefuta ujimga na tunayaelewa mambo.

Sasa ile nguvu mliyoiona bungeni katika mkutano huu wa 9 ulioisha kwa taarifa yenu ndio utamaduni wa taifa hili kwa kuanzia hapo, ALICHOFANYA BASHIRU ALLY NI KIWAKUMBUSHA TU.

HUTAKI KUKOSOLEWA ACHIA SERIKALI KAWAONGOZE WANAO, HATA FAMILIA NAYO NI SERIKALI UNAWEZA UKAFANYA UONGOZI WAKO NYUMBANI KWAKO.
Utakuja kujiua bure kwa kuwajadili wanasiasa umuache shemeji alivyo mzuri vile watu wajipigie.Tafuta maisha ya familia yako kwa udi na uvumba, inshallah Allah S.W atakufanyia wepesi kwa riziki ya haki
 
Back
Top Bottom