viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Our Man in Damascus, Tunajiuliza kwanini viongozi wetu sio wazalendo?

    Wakuu, Moja ya true story ni juu Kipenyo Eli aliejipenyeza from Israel hadi kufika kwenye mamlaka za juu kabisa nchini Syria. Kipindi cha miaka ya 60s, Syria iliisumbua sana Israel sambamba na kuua raia wake. Mossad wakaingia mzigoni na kumuandaa kijana E. Cohen as Kamel Thabeet na kumpa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini

    Ninatambua mchango wenu mkubwa katika kudumisha amani na haki nchini. Hata hivyo, nawaomba muache kabisa kutoa kauli zinazobeba viashiria vya uchochezi wa kuamsha hisia za kidini. Kumbukeni ninyi ni Watanzania mnaowajibika kujisomea maandiko ya kimfumo ya nchi yetu. Jifunzeni vitabu vya mfumo...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika! Hatupaswi kuendelea kuvumilia upuuzi wa viongozi wetu

    Man, listen up! This thing is getting outta hand now! Hii nchi yetu Tanzania, nchi ya amani, nchi ya watu wastaarabu — imegeuka kuwa uwanja wa political games and dirty power struggles! Na siyo hapa tu, Afrika nzima viongozi wamekuwa slaves wa tamaa ya madaraka! Wanakula, wananywa, wanaiba, na...
  4. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasio na Hekima waliibuka kipindi cha JPM na kisha kipindi cha Samia. Hii ni aibu

    Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili. Nepotisme and Favoritisme ni LAANA Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza ! Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Viongozi wa Simba wajihadhari sana na siasa

    Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC. Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza katika mitego ya kisiasa. Ni jambo moja kuishukuru serikali kwa mchango wake wa hapa na pale katika timu...
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Je, viongozi wanawake wana moyo wa huruma na upendo zaidi ya wanaume?

    Uzoefu wako kwenye mazingira yako ya kazi na utafutaji unasemaje. Je kuna tofauti ya haiba ya uongozi na utawala kati ya wanaume na wanawake? Ni kweli kwamba viongozi wanawake ni waelewa na wana huruma zaidi hasa kwenye changamoto binafsi kama za kiafya au matatizo ya kifamilia?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga mmojawapo wa waafrika wafia dini ya ukristo ni kufungishwa ndoa na viongozi wao wasio na ndoa

    Huu ni unafiki nkubwa na ujinga uliopitiliza linapokuja swala la mkristo kufungishwa ndoa na viongozi wa dini ambao wao wamekatazwa kuoa na hawana ndoa wala uzoefu wa ndoa. Kufungishwa ndoa na kushauliwa maswala ya ndoa na padri asiye na mke ni ukichaa kwani hana uzofu kwa hiyo hapa ni kupigana...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa China ni ma injinia au tuseme Wana sayansi

    Kuendelea Kwa china kiviwanda, Kilimo na uzalishaji kuna tokana na kuwa na uongozi wa Wana sayansi. Ambao wanajua maana kamili ya uzalishaji na sio maneno maneno.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na watu wanafiki, wanaohubiri amani lakini ni vinara wa Kuua Amani

    Amani haipotei kwa siku tendo la siku moja bali ni malimbikizo ya mambo mengi kwa muda mrefu. Siku zote, wananchi wa kawaida huwa siyo wasababishi wa kupotea kwa amani. Kila mahali ambapo amani ilipotea, wasababishi wakubwa huwa ni watawala au watawala waliofarakana. Ni vigumu sana mwananchi...
  10. Stud

    JamiiForums Tanzania Elimu ya darasani haimfanyi mtu kuwa na akili nyingi kuliko wengine – Ushahidi uko wazi kwenye viongozi wetu.

    Kwa muda mrefu sana tumekuwa tukidanganywa kwamba elimu ya vyeti ndio kipimo cha akili au uwezo wa mtu kufikiri. Lakini tukitazama hali halisi ya nchi yetu, tuna viongozi wengi wenye PhD, Master's, au shahada, lakini wanashindwa kufanya maamuzi ya msingi yanayowanufaisha wananchi. Tuna walimu...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HAWA VIONGOZI WA SIASA WAJITAHIDI NA WAO KUWEMO KUNDI LA KUUMIA SIO KUJIFICHA NDAN WANAONGEA TU HIO N LAANA

    NASIKILIZA KIONGOZI MMOJA TU.EKUBALIANA M NIBAKI NDNA YA PFISI NIWAPE UPDATE NA XXXX AMEKIMBILIA SEHWMU FLAN AKITOA TAARIFA USHAURI TU TUSIWATUMIE WANANCHI VIBAYA M NATAMAN KUSIKIA KUNDI KUBWA LA WANAOLALA.IKA KUUMIA WAWE N VIONGOZI WA NRNE MPAKA SASA SIJAJSIKIA KIONGOZI ALIEKUFS WANATANGAZA...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Viongozi wa dini wametutia nguvu kuendelea na Uchaguzi Mkuu

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi huo uendelee huku, ikisisitiza kuwa haidharau maoni yanayotolewa. CCM imesisitiza kuwa haipuuzi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Dini ni kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu kimwili na kiroho, wanaosema viongozi wa dini wasihubiri siasa ni wajinga waelimishwe

    Naomba niliweke katika picha hii Dini inafundisha katika muktadha wa software na hardware! Dini ni platform ya kumuongoza mwanadamu kiroho na kimwili ili aondokane na mahangaiko na mateso kutoka kwa shetani. Huwezi kuwahubiri watu wenye njaa wakakuelewa! Huwezi kuwahubiri watu kiroho pasipo...
  14. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tuwe na sauti moja kukemea matumizi ya mabavu na vitendo viovu vinavyofanywa na dola

    Watumishi wenzangu, Nimeona kuna kongamano leo kuhusu Amani. Tumekuwa wanafiki na tumekosa sauti moja kuhusu rafu zinazochezwa na CCM ikisaidiwa na dola. Tusipepese macho—tuite mbichi ni mbichi katika majumuisho yetu. Anayeharibu tunu zetu ni CCM, si mabeberu wala wapinzani. Wizi wa kura...
  15. Tanzanized S

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Viongozi Waadilifu na Wasimamizi Wazuri wa Katiba ni Jambo Jema, Lakini Jambo Jema Zaidi ni Nchi Kuwa na Katiba Nzuri

    Katika mjadala wa maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi wa taifa lolote, hoja ya uadilifu wa viongozi huwa inajitokeza kama msingi wa mafanikio. Hata hivyo, historia ya mataifa mbalimbali imeonesha kuwa uadilifu wa viongozi hauwezi kufanikisha maendeleo ya kudumu iwapo haujawekwa ndani ya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Uchaguzi Mkuu, Viongozi wa Dini Wasiishie Kuionya Tu Serikali, Bali Wawashauri Pia Waumini Kutohatarisha Maisha Yao, Kama Hakuna Reforms.

    Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shamira: Ni jukumu la UVCCM kuwalinda viongozi wetu wa Chama

    NI JUKUMU LA UVCCM KUWALINDA VIONGOZI WETU WA CHAMA - SHAMIRA Mjumbe wa Baraza Kuu (UVCCM) Taifa Ndg Shamira Mshangama amesema vijana wa CCM wana jukumu la kulinda viongozi wanaotokana na Chama cha Mapinduzi kwa kuhakikisha wanaendelea kushika nafasi ambapo kama Mbunge au diwani alikuwa ni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka Samia akiwa anatafutwa na viongozi wa kila nchi🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️

    Sio china, India, ufaransa, US …. Sasa wameona bora Ruto ! Mama sababu za kuchuja ni siasa zake ambazo ni za uongo uongo. Aliwahi kuwapa ahadi wakina kamala na Biden 🤮, China 🤮, India🤮, 4R 🤮, chaguzi huru🤮, rushwa 🤮, mikataba ya uwazi🤮, Kauza badari🤮, Kia🤮, misitu🤮, account ya Abdul Dubai...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Serikali haitaki viongozi wa dini wamshauri Rais juu ya mambo ya uongozi, kwanini mnawaalika wakati wa kumwapisha Rais?

    Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Familia za Viongozi wa Urusi

    - Stalin's daughter - lived and died in the United States for decades. - Khrushchev's son is a US citizen. - Where are Putin's daughters? They are not seen in Russia. — Deputy Pekhtin. With my son in USA. - Minister of Transport of the Moscow region - Katsyva. With my son in USA. -...
Back
Top Bottom