viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Makonda acha tabia za kiherehere. Kugombanisha serikali na viongozi wa dini

    Wanandugu Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi. Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya maovu ya kuvunja haki za uchaguzi na nyinginezo. Ninavyojua makuhani wetu wa dini hawana mipaka kwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu CHADEMA juu ya madiliko haya kwa taifa la Marekani juu ya Afrika hata viongozi wa dini hawatasaidia zaidi ya kuweka tu

    Siasa Trump afikiria kupunguza balozi za Marekani barani Afrika Saleh Mwanamilongo Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa mwelekeo wake wa kidiplomasia barani Afrika na pia kufuta ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje zinazoshughulikia mabadiliko ya hali ya...
  3. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini. Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa...
  4. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Nani anaiharibu amani ya Tanzania ni Tundu Lissu wa CHADEMA au ni viongozi wa serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi?

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis

    Wafuatao ni Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis tarehe 26/04/2025 huko Vatican. 1. William Ruto, Kenya 2. Dkt Philipo I. Mpango (PhD), Tanzania, 3. Mstaafu na Mgombea Nafasi ya Ukurugenzi WHO. 4 Keir - Waziri Mkuu UK, 5. Kagame - Rwanda, 6. Museveni - Uganda. 7...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msimamo wa Rais Samia juu ya kurekebisha kanuni, kauli za viongozi wa dini wakati wa pasaka, zinaweza kuipeleka Tanzania kwenye mgawanyiko wa kidini

    Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni. In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya wengi na ushauri wa watu wenye hekima ni kuwa na kiburi Hili suala la kubadili kanuni za uchaguzi...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Matamko ya viongozi wa chadema kwamba wakiongoza nchi watazifuta Simba na Yanga yana busara yoyote? Kosa la vilabu hivi kwa chadema ni lipi?

    Nimefuatilia matamko kadhaa ya viongozi wa chadema wakijipiza dhidi ya vilabu hivi pendwa. Kwa nini wamedhamiria kuvidhuru ? Kosa lao nini?
  8. S

    JamiiForums Tanzania sisi tumesema no reform no election viongozi wa ccm wanatabiri vurugu mbona kila kiongozi anasitiza amani

    no reform no election sio vurugu wala nini kichatakiwa hapa ni mabadiliko
  9. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Kauli Inayotolewa na Viongozi wa Chama na Serikali ya Kuwataka Viongozi wa Dini Wasichanye Dini na Siasa ni Kauli za Kishetani.

    Viongozi wa Chama na Serikali wakiendelea na kauli hizi za kishetani tutawaka wafanye yafuatayo:- 1. Waagize kwenye ibada kusiwepo na kuwaombea viongozi wa Serikali sababu ni kuchanganya DINI na SIASA. 2. Serikali wanapofanya mikutano, vikao, sherehe wasialike viongozi wa DINI kwa ajili ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA ni kielelezo kizuri cha uzalendo

    Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka. CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi. Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa Simba tunapumbazwa na viongozi

    Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account Muuza jersey J Rutty...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Arusha: Viongozi wa dini waungana kumfanyia maombi RC Makonda

    Viongozi wa Dini kutoka madhehebu mbalimbali mkoani Arusha leo wameungana katika ibada maalum ya Ijumaa Kuu kumuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, kwa ajili ya uongozi wake na ustawi wa Mkoa wa Arusha. Ibada hiyo ya Pasaka – Ijumaa Kuu imefanyika katika viwanja vya...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Misafara ya viongozi inaleta usumbufu usio wa lazima

    Japo naheshimu usalama wa viongozi kuwa kipaumbe ilinwahakikishiwe usalama maana wanapatikana Kwa gharama na Kuna ugumu kuwapata wengine Leo nipo Mwanza Kuna foleni na usumbufu mkubwa barabara ya Buswelu kupitia Saba Saba, Magari yamesimama masaa 3 Sijui Kuna kiongozi gani yupo Mwanza? Askari...
  14. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema haidai Vita ila inadai Haki. Ni aibu Viongozi CCM kudanganya hatika hilo

    Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Kata CCM Nyalikungu wilaya ya Maswa aache tabia zake za kuwatukana viongozi wenzake wa kike.

    Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike. Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mwananchi kuchaguliwa viongozi

    Kwa CCM na tume yao ya uchaguzi na maadili ili iendelee kubaki madarakani kwao huu sio uhaini?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kupunguza nguvu ya CCM, mawakili wa CHADEMA pelekeni baadhi ya viongozi wa serikali mahakamani

    Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi. Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO. Baadhi ya viongozi wa CCM...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro awataka viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo chanzo cha migogoro

    Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Kagera, Waziri wa sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewata viongozi kuwa watatuzi wa migogoro na siyo kuwa vyanzo vya migogoro. Aidha amewataka viongozi ngazi ya mkoa hadi kijiji kutumia njia mbadala kwa ajili ya...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani Afrika walioshtakiwa kwa uhaini. Lissu, Bobi Wine wamo

    Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti yote makubwa ya dunia yalikuwa na habari ya kesi hiyo kubwa kabisa ya Lissu. Mwenyekiti wa zamani wa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Nchi Ingekuwa Ni Mifumo Bora Ya Utawala Na Sheria, Viongozi wa CCM Ndio Walitakiwa Kukamatwa kwa Uhaini

    Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi. Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
Back
Top Bottom