Uso wake umesinyaa kwa huzuni kubwa baada ya kusikia kuwa viongozi wanaadamizi kama kina Benson Kigaila, John Mrema, Salum Mwalimu, Sungu na viongozi wengine wengi wakimkimbia Lissu.
Maelfu ya wanachama wakimbilia vyama vingine huku wakimuacha Lissu na Heche wakishangaa, hawajui cha kufanya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro kimejaza kwa muda nafasi mbalimbali za uongozi kufuatia kujitoa uanachama kwa waliokuwa viongozi.
Waliojitoa unachama ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkoa, Gervas Mgonja, Katibu wa Mkoa Basil Lema, pamoja na viongozi wengine...
Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha.
Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
arusha
ccm
chadema
kununua
kutisha
mabilioni
nchi
nyie
nzito
pesa
sana
tuhuma
uchaguzi
ufisadi
umma
viongoziviongozi wa umma
viwanja
wakuu
wanasiasa
wapi
watanzania
Jana kuliripotiwa kutekwa kwa Mchunhaji mmoja jijini Arusha, .Mwl Steven Jacob na kisha kuja kupatikana baadaye kule West Kilimanjaro.
Tukio hilo likenifikirisha, na kunifanya niutengue msimao niliokuwa nao siku za nyuma kuhusu ulinzi wa viongozi wa dini kama Wachungaji, n.k.
Kabla ya hapo...
Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa!
Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar!
Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako...
https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
Habari Wakuu.
Nauliza kwa nia njema, kwa heshima na kwa kutambua ugumu wa majukumu ya uongozi,
Kwanini viongozi wengi hawajibu SMS za watu?
Sijafika kulalamika, bali nataka kuelewa. Mara kadhaa nimejaribu kutuma ujumbe kwa kiongozi fulani sio wa matusi, sio wa kutaka fadhila, bali ujumbe wa...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa umma wanaotumia madaraka yao vibaya kwa kulazimisha mahusiano ya kingono kazini, hasa kwa waandishi waendesha ofisi (makatibu mahsusi).
Dkt. Mpango alikuwa akizungumza katika mkutano wa 12 wa Chama cha Waandishi Waendesha...
Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka...
Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda.
Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha?
Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya.
Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
Hivyo ndivyo tutakuwa na amani.
Tunasikitika kuhusu mateso wanayopata raia wengi wanapogombana na Serikali.
Machawa wanataka tuisifu Serikali kama wao ambao wamepewa zawadi nyingi.
Lakini hiyo isiwe kisingizio cha kuleta kebehi.
Nimesikia kwamba kwa sasa wameanza kuvaa mask ili wasitambulike na wanafuatilia mikutano ya John Heche. Napendekeza hivi:-
1. Kila mkutano unapofanyika hakikisheni kuna kikosi maalumu cha kuwalinda viongozi.
2. Ikiwa kutakuwa na mtu/watu mnaowashtukia, hakikisheni kila walinzi wenu watano...
Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
Ukweli mchungu ni kwamba viongozi na wanachama wote wa chadema ni maskini (mafukara). Wenye fedha zao huwa wanaficha mbawa zao ccm ili biashara na ukwasi wao visibughudhiwe. Ndiyo maana hata Mbowe alikuwa anaitumia chadema kama jumba la sanaa kwa kujifanya mpinzani.
Na ndiyo maana hata baadhi...
Bruh, let me tell y’all something real. Hii nchi haipo kwenye uhuru – tuko kwenye lockdown ya kiakili, kiuchumi na hata kielimu!
Unadhani tumetoka kwenye koloni? Hell no! We’re still slaves, tumeachwa na mabeberu lakini sasa tunaongozwa na black colonialists – viongozi wa hovyo, wanaodhani...
Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote.
Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti.
Hata Dr Slaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.