viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali iruhusu maandamno ya D9 lakini yawe na viongozi, ujumbe na destination

    Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza. Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na...
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mama wa Namibia naye alituma salamu za pongezi?

    Yaani namaanisha kama mwanamke mwenzake alituma Salam za pongezi . Au ndio ile wanawake hawapendani?
  4. HesabuKali

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke

    Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke. Imarisheni ulinzi na muwe na ulinzi wa watu wenye silaha za moto.
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ni muujiza viongozi kama Gwajima na Heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauaji yanayoendelea

    Ni muujiza viongozi wakina gwajima na heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauwaji yanayoendelea sisi tutakinukisha tarehe 9/12 kwa wauwaji.
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Msajili aifute haraka CHADEMA au Mahakama iwafunge viongozi wake. Wampe chama Mbowe, Wakae wafurahie amani yao wanayoiimba

    Si mnajitoa ufahamu? Mnaangushia Jumba bovu CHADEMA. kifuteni haraka, wafungeni CHADEMA ,Mpenzi Mbowe chama Kwa lazima. Alafu sasa Mtulie mfurahie hiyo Amani ya Matumbo na familia zenu. Mnazidisha sana Hasira za Wananchi , DEC 9 mtaelewa tu mbona Ugaidi ni nini na Uhaini ni nini ...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Sijasikia polisi wakiwatafuta wauwaji, badala yake wanatafutwa waandamaji na viongozi wa upinzani

    JF Nieleweshwe, au katiba inawapa mamlaka polisi Kuua .? Hawa waliofanya haya mauaji sijasikia sehem yoyote kuwa wanatafutwa ( tena wengine hawakuwa hata na uniform za polisi ), Lakini Wambura, Mkunda, Mombo na vikosi vyao wako kimya kuhangaika na waandamaji na viongozi wa siasi. Tuna jeshi...
  9. Life2

    JamiiForums Tanzania Nlitegemea kujiuzulu kwa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa.

    Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika, Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu. Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa amri ya haya mauaji ya halaiki au aliyeshiriki? Kama huko walipo wanaamani hakika watakua wasaidizi wa...
  10. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za viongozi wa CCM na serikali yake dhidi ya wananchi waliopoteza wapendwa wao zinadhihirisha dharau dhidi yetu

    Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Mtanzania utapatikana kwa hujuma dhidi ya mafisadi siyo maandamano wala mitandao

    Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki madarakani.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo yawe ni ya viongozi wa kisiasa/uponzani na wanaharakati na familia zao

    Hakuna kiongozi wa serikali na kisiasa aliyepoteza ndugu wa familia au mtoto ktk vurugu zilizopita sasa iwe zamu yao kuandamana/kufanya vurugu wakati ujao. Za kuambiwa changanya na za kwako
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nashauri viongozi waache kusema watu walioko nje ya nchi ndio wanachochea ya ndani. Kana kwamba huku ndani mambo ni shwari

    Hamjambo! Nimemsikia viongozi kadhaa wakisema na kulaumu watu walioko nje kama kina Mange Kimambi na wengineo wao ndio wanachochea vurugu na amani ndani ya nchi. Kauli hiyo inatolewa ni kana kwamba huku ndani watu wako sawa na hakuna tatizo. Kauli kama hizo zinatufanya tukimbie ukweli na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa Usalama

    Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa usalama Ni muda tu tutajua lakini kama mimi ni kiongozi wa ulinzi na usalama Tanzania mambo si mazuri
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Si viongozi wote hupata NEEMA na KIBALI cha heshima hii

    Pamoja na matumizi ya mabavu katika kuhakikisha CCM inasalia madarakani, Nchi hii haijawahi kushuhudia uchaguzi uliosuswa na kuleta unyonge katika mioyo ya watanzania kama uchaguzi huu wa mwaka 2025. Wakati ule CHADEMA ilipokuwa na kasi mno na hata matukio ya vurugu yalikuwepo sana tu na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiacha viongozi wao, wanausalama wote hawana furaha!

    Wameenda kwenye majeshi, idara za usalama kwa uzalendo lakini sasa wakubwa wao wamekuwa mafisadi wakubwa na kuunga mkono unyanyasaji! Sasa kuna tatizo jipya kubwa Tanzania la wanajeshi kuamini nao viongozi wao ni mafisadi
  17. N

    JamiiForums Tanzania FlightRadar inaonesha ndege aina ya Boeing ikielekea kusikojulikana. Je, kuna utoroshaji wa pesa za umma au viongozi wakubwa wanakimbia nchi?

    Air Tanzania Dreamliner ime take off from JNIA masaa machache yaliyopita huku uelekeo ukionesha ni private. Unadhani kuna nini kinaendelea hapa?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  19. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi watakaohudhuria Uapisho wa Rais (Mteule), November 2025

    Ndugu zangu nawasalimu nikitokea kupiga Kura kwa Kitambulisho changu cha NIDA. Hapa nawaletea orodha ya viongozi na Watu Maarufu watakaouhudhuria Uapisho wa Rais (Mteule) hapo November 2025. 1. Dr William Ruto (PhD), 2. Yoweri Museveni, 3. Paul Kagame, 4. Paul Biya, 5. Felix Tshisekedi, 6...
Back
Top Bottom