Huu ni ushauri wangu kwa wana JF wote ambao wamekuwa wakijadili zaidi watu (viongozi wa kisiasa) zaidi kuliko mambo yanayohusu taifa.
Ukweli ni kwamba, kwa sasa taifa letu limegawanyika kiitikadi/ufuasi pengine kuliko wakati mwingine wowote.
Hii inatokana na kuwepo makundi ya wanaojadili...
Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji.
Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara...
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa stubborn, hii inaleta picha gani?
Hukuwa na raha wakati unafanya nae kazi pamoja kiasi cha kumchukia...
Nilisoma andiko jinsi Kremlin inavyoandaa viongozi wake. Ni mpango wa muda mrefu. Unaanzia vijana wakiwa mashuleni. Walimu wakuu wanapeleka majina ya wale wanaopata A na B, kwa kifupi wanafunzi wao bora.
Hawa wanaandaliwa kuanzia Chipukizi mpaka kujiunga na umoja wa vijana wa chama. Hawa...
Binadamu ni mtu anayependa kupata fursa ya kusema ili awe na amani,ndg viongozi msijisahaulishe wala kupuuzia mnapoongoza watu wapeni nafasi ya kujadili,kukosoa,na kushauri na haya yote yafanyike kwa uhuru kamili.
Mimi nimewahi kuongoza ktk taasisi ya serikali nilipokuwa natenda haya mambo...
Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Hapa ndipo tunapopata aina mbili za utawala yaani Utawala Bora na Bora Utawala. Hii Bora Utawala ni aina ya utawala isiyofuata misingi ya Sheria na ikishamiri sana kwenye taifa lolote basi huenda...
Ili kupunguza gharama za maisha nilitegemea kipindi kama hichi viongozi washauri baadhi ya watanzania kutumia gesi asilia badala ya petrol kwenye magari.
Gesi asilia (CNG) ni nishati ambayo hutumiwa kama mbadala wa petroli kwenye magari. Vilevile hutumiwa kama mbadala wa dizeli pia.
Mfano...
Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!!
Nina Funzo kubwa kwamba
USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI?
Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi
Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa...
Binafsi sijawahi kuwa na shida ni watu kama Jeneral Ulimwengu. ni mtu ambaye nimekuwa nikimowna anasimamia ile ambacho anaamini kwa nguvu kubwa tu. jambo ambalo ni zuri. Ila mwisho wa siku naye ni binadamu kama binadamu wengine kuna madhaifu anakuwa nayo. gazeti lake maarufu sana la Rai lilikuwa...
Naanza na Mwl. Julius kambarage Nyerere, Rais wa kwanza kwa Tanzania yetu.
* Aliupigania Uhuru wetu
* Alituunganisha watanzania kuwa kitu kimoja na kuwa na lugha moja (kiswahili).
* Alishawishi muungano wetu kati ya bara na visiwani (muungano adhimu na imara)
* Alitetea vyema ardhi YETU...
Siku kadhaa nyuma tuliona viongozi wakichomwa chanjo hadharani.
Hivi karibuni nilimpeleka mtu kuchomwa chanjo baada ya kampuni anakofanya kazi kuamuru hivyo. Zoezi lilikuwa likifanyika hadharani na kila mtu akichomwa kwa zamu.
Jamaa yangu alilipa pesa na zamu yake ilipofika nesi hakumchoma...
Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika.
Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya…
@ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba
@VAR...
Wakubwa kwema!
Sitasema mengi!
Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi!
Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa sababu ni uongo lakini pia inapelekea kuwa na viongozi wabaya. Amesema kwa miaka sita iliyopita...
Walimu wawili wakifundisha katika jengo moja lenye wanafunzi wa madarasa tofauti, la pili na la tatu katika Shule ya Msingi Ifua, Kitongoji cha Ifua wilayani Kilolo, mkoani Iringa
Jengo lenyewe choka mbaya, limejengwa kwa matope, hamna Cha sakafu Wala Nini! Ni Kama karne ya 17 duuh!..
Ndugu zangu imezoeleka katika dunia ya leo kila mtu kutumia uongo na unafiki kufanya siasa nchini kwake. Njia hii ya uongo na unafiki imekuwa njia nzuri na yenye mafanikio ya haraka kwa wanasiasa hao.
Mfano tumeona wanasiasa mbali mbali duniani wakitumia uongo na unafiki kuvuna wanachama...
Mada hii aliwahi kuandika... Prof.Mkumbo (kabla hajakengeuka!) kuwa tumeweka viwango vya chini mno kuwapima viongozi wetu!
Ukifuatilia mijadala inayoendelea hapa nchi kuhusu masuala nyeti kama umeme, maji, kilimo, nk utabaini jambo hili!
Mfano mdogo tu, ni lawama zinazoelekezwa kwa Januari...
Viongozi wa kitaifa wa NCCR MAGEUZI wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ambar Haji Khamis wamehudhuria mkutano ulioandaliwa na TCD ambao mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 5, 2022
Mkutano huo unajadili maridhiano ya kitaifa katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Viongozi...
"Hatuwezi kutatua matatizo kwa kuyafanya hayapo" hii ni nukuu màarufu na inayopendwa na wanaharakati wengi.
Katika nukuu hii inaonyesha kuwa ili utatue tatizo ni lazima ukubali kuwa lipo kisha utafute suluhisho lake.
Pia nukuu hii inaonyesha kuwa huwezi kutatua tatizo kwa kulificha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.