Kamanda wa Polisi Mkoani Geita, Henry Mwaibambe
Jeshi la Polisi Mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujifanya maofisa wa Serikali na kutapeli viongozi wa Serikali wakiwamo wakuu wa wilaya na wakurugenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoani Geita, Henry Mwaibambe amesema mfanyabiashara...
Viongozi wakuu wa serikali mafao yao huwa ni 80% ya mshahara wa viongozi walio madarakani.
Swali langu:
Viongozi walioshika nafasi za juu kwenye pande tofauti za muungano yaani Zanzibar na Tanzania bara wanachukua pension mara mbili.
Mfano Shein amekuwa makamu wa Rais Tanzania na Rais wa...
Mahubiri ya Askofu John Ndimbo (Kingenzu) katika Misa ya Christmas amesisitiza kuwa bila kutenda haki hakuna Amani.Amesema haki ya watu kuchagua viongozi wao,haki ya kuishi pia amesieistiza msamaha wa kweli.
Lakini amesema yeyoye anayempenda Mungu anawajali binadamu wenzake. Amesema pale mtu...
Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongozi wengine wakuu wa kitaifa hupenda kukaa siti ya nyuma kwenye magari na sio siti ya mbele? Nini huwa sababu hasa
Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
Kuuliza si ujinga je maada yoyote yenye maudhui ya kushauri au kukosoa kwa maada wazi na yenye weledi ni kosa na imezuiwa? Mods mtusaidie na kama maada za vituko vituko, usanii uchekeshaji na uongo zinapewa kipaumbele zaidi
Habari za muda huu jf.
Tuanze moja kwa moja,tutatumia bibilia as reference pindi itakapohitajika Kama msingi kwakuwa ndio kitabu nikisomacho.
Nabii Musa ni Nani?
Maisha yake yanaelezewa kwenye kitabu Cha kutoka katika bibilia Kama mtoto aliezaliwa na wazazi waebrania lakini alilelewa katika...
Sijaona kama wameliona hilo lakini kesho ndio kesho,mema yote yaliyofanywa kwa misimu mitano hayatahesabika kama simba atashindwa kufunzu final.
Kila kitu kitaharibika na kuvurugika na kwasabau sioni dalili za simba kufunzu.
Ziandaliwe propaganda mapema kwaajili ya demage control japokuwa...
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa Kesho anatarajia kukutana na kuzungumza na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Michezo Tanzania Bara, Mkutano huu utafanyika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatulia risasi Texas, Marekani, viongozi mbalimbali Duniani wameomboleza vifo hivyo wakiongozwa na Papa Francis ambaye amesema amesikitishwa na mauaji hayo.
“Nimeumizwa sana na mauaji haya katika shule ya msingi, nawaombea watoto hao na watu wazima...
Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao.
Polisi Babati wanasema hili ni kusanyiko lisilokuwa na kibali, hivyo John Pambalu (mwenyekiti wa BAVICHA) na wenzake 7 wamekamatwa kwa...
Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.
Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa...
Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii,
Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile...
Wakuu,
Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
UPDATE:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
chadema
chamwino
chuki
dodoma
furaha
ikulu
ikulu chamwino
kali
kitaifa
mbowe
picha
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
suluhu
tujifunze
viongoziviongozi wa chadema
wakutana
wasaliti
"Tozo za miamala na simu ziko palepale, ni Sheria ya bunge siwezi kuzifuta, anayeona hakuna unafuu ahamie Burundi"
Hii ni kauli yenye kukumbukwa iliyotolewa na Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba tarehe 19, julai 2021 akihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45.
Maneno makali na ya kuudhi yaliyo...
Salaam Wakuu,
Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa ngazi hiyo.
Kumekuwa na muendelezo wa tabia ya viongozi hawa kutaka pesa kidogo (rushwa) kila...
Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii.
Nawaombeni viongozi wetu tumrudishe dhidi ya Yanga ili mabeki wake wasikae na utulivu na ukizingatia Kirumba pitch yake sio smooth...
Zoezi la ugawaji wa pembejeo Kwa kiasi kikubwa linatiwa dosari na viongozi wa vyama vikuu vya ushirika.
Wengi wao wanahujumu pembejeo za wakulima Kwa kujilimbikizia viwatilifu na kuviiza.
Lakini pia waangalie Kwa umakini maafisa ushirika Kuna mchezo wanaucheza Kwa kushirikiana na makatibu wa...