viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Marekani, China waanza mazungumzo kumaliza mgogoro wao

    Wanadiplomasia wakuu kutoka Marekani na China wamekuana leo Julai 9, 2022 kwa zaidi ya saa tano katika juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya Nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken alisema uhusiano wa mataifa hayo una ‘matokeo makubwa’, akieleza kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunapokuwa wepesi kushutumu mauaji ya Viongozi wetu nasi tujiulize tunawatendea mema tunaowaongoza au tunawatesa?

    Hakuna Raia anayependa Kuua Rais / Kiongozi wake na ukiona unaviziwa Kuuwawa au Umeuwawa jua umewakera Wananchi wako katika Kiwango cha wao kushindwa Kuvumilia / Kukuvumilia.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wakati Waingereza wakiwafurusha viongozi wabovu, sisi tunashinda na kuwatukuza wa kwetu

    Waingereza wameonyesha umakini wa kulinda na kuimarisha maendeleo na ustawi wa taifa lako. Hawako tayari kukaa na kiongozi mbovu bila kujali itikadi za vyama. Tanzania tumekuwa na utamaduni wa kuwasifia na kuwatukuza viongozi wetu hata wale ambao dhahiri ni wabovu. Sina haja ya kuwataja...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

    Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje? Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania 'Viongozi hawana monopoly right ya Truth' Bashe

    "Jambo muhimu la kiongozi ni kusikiliza watu wake, viongozi hamna monopoly right ya wisdom, viongozi hawana monopoly right ya truth, viongozi hawana monopoly right ya wao wako sahihi kila siku na mheshimiwa mwenyekiti hakuna jambo muhimu katika kupanga mipango yoyote duniani kama takwimu"...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania ina amani kwanini viongozi mnatuweka foleni mpite?

    Jana nikiwa nimetoka zangu katika mihangaiko mida ya saa nane hivi kufika pale uwanja wa ndege gari zikawa foleni tumekaa hapo weee nikaona madereva wanazima magari mara konda kakaa mlangoni miguu ikiwa chini ya lami tukawa tunajiuliza kuna nini? Kama nusu saa hivi tukasikia Wioo wiooo wiooo...
  7. JamiiForums Tanzania Janga kubwa katika Tanzania ni viongozi kutaka kuwa ma-celebrities

    Ndugu zangu, Awali ya yote naomba niseme naijua kiasi fulani historia ya taifa hii. Kwa mtazamo wangu, kuna 'legacy tricks' zinazotoka toka kipindi cha ujamaa ambazo tumezishikilia, hasa systems za nchi hii, kwa kuwa kwa mtazamo wao zilifanya kazi huko nyuma kwa hiyo hawataki kuziacha. Hii...
  8. JamiiForums Tanzania Wito umetolewa kwa wanaojishughulisha na utoaji wa Elimu Jumuishi kushirikiana na Serikali

    Na WyEST, ARUSHA Wito umetolewa kwa Viongozi wa taasisi na wadau wanaojishughulisha na utoaji wa Elimu Jumuishi, kuendelea kushirikiana na Serikali katika kujenga shule kwa ajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum. Wito huo umetolewa Jijini Arusha na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa G7 washerekea miaka 50 ya USHOGA

    Pro NATO mambo yenu ya usagaji na kufirana haya
  10. JamiiForums Tanzania Putin awajibu maadui zake kuhusu yeye kupiga picha kifua wazi

    Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika Mashariki kukutana leo kujadili mzozo wa DRC, Rwanda

    Viongozi 7 wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana leo Juni 20, 2022 Jijini Nairobi, Kenya mada kuu ikiwa ni mgogoro unaoendelea kati ya DRC na Rwanda. Kumekuwa na mapigano makali yanayofufua uhasama wa miongo kadhaa kati ya mataifa hayo mawili, ambapo DRC inailaumu Rwanda...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania UVCCM mbona hawatoi Tamko kuhusu viongozi wao wanaotuhumiwa kwa mauaji Loliondo

    Wapo madiwani wa CCM 9 na mwenyekiti wa CCM wa wilaya, mbona mko kimya.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

  14. JamiiForums Tanzania Je, tatizo ni uwezo mdogo wa VIONGOZI wetu au wameamua tu kuigeuza nchi kuwa shamba la bibi?

    Habari! Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu. Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini vingozi hawaiheshimu Katiba?

    Linalonishangaza Katiba ya nchi iko wazi kuwa mbunge lazima atokane na chama. Na akifukuzwa uanachama sio mbunge tena. Ni Tanzania hiyo hiyo ina Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama lakini bado ni wabunge na mpaka leo hii wanalipwa posho na mishahara ambayo ni kodi za masikini. Hatuwezi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ngorongoro tunawapa pointi za bure Kenya za kiplomasia. Tanzania tuna wasomi na viongozi wasio na Msaada kwa Taifa

    Habari JF, Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani. Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia ni aibu, viongozi BAVICHA ni weupe kichwani, CHADEMA mna kazi sana ya kuwafundisha kujenga hoja na kufanya utafiti

    Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo. So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa kosa hili, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa tunamkosea sana

    Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya watu wao wa karibu ili mradi tu kuweka mambo sawa kwanza. Hayati JPM alikuwa mkuu wa Nchi, Amiri...
  19. JamiiForums Tanzania Utandawazi kwa viongozi wa nyumba za ibada, mchungaji wangu amenifikirisha sana

    Wadau habar za asubuhi, niwatie moyo katika shughuli zenu za ujenzi wa taifa na wale mlioko kwenye harakati za kutafuta mkate wenu wa kila siku, one day yes mtatoboa tuu, endeleeni kupambana bila kukata tamaa..Kwa waajiriwa pia, usiache kumtumikia kafiri ili upate ujira wako. Habari hii ni...
  20. JamiiForums Tanzania Meya Jackob akumbuka CCM ilivyowafadhili yeye na viongozi wa CHADEMA, akiwemo Mbowe, iliwahifadhi katika Ofisi zao wakati wa mauaji ya Akwilina

    Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM. Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi. Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…