PreGE2025 John Mrema: Viongozi wa dini wamesapoti G55 "Hakuna kuzuia uchaguzi"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,938
"Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata kidogo, na ilipofika tarehe 12 hawakwenda kusaini. Lakini vilevile tunapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini ambao wameona umuhimu wa kufanyika kwa reforms, na wote wameunga mkono msimamo wetu wa G55 na ushauri wetu kwa chama, hakuna kiongozi wa dini aliyesema kwamba tukazuie uchaguzi. "

"Wote wamehimiza waumini wao kwamba waende wakashiriki uchaguzi lakini uchaguzi uwe huru, wa haki na wa amani, kwahiyo mahubiri yote ya Pasaka yameendana na tahadhari tuliyoitoa kwa chama kwamba tunaona hatari ya kupoteza kundi muhimu kama tukiendelea na msimamo kwamba tunakwenda kuzuia uchaguzi, na viongozi wa dini wameungana na G55 kwamba wanaunga mkono mageuzi lakini wanataka watu wakashiriki uchaguzi"- Mrema.

John Mrema kwa niaba ya wafuasi wenzake wa Kundi la G55 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza na waandishi wa habari siku ya Jumanne Aprili 22, 2025 mkoani Dar es Salaam juu ya yanayoendelea kufanywa na chama hicho hasa suala zima la kutoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Screenshot 2025-04-22 130438.png
 
"Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata kidogo, na ilipofika tarehe 12 hawakwenda kusaini. Lakini vilevile tunapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini ambao wameona umuhimu wa kufanyika kwa reforms, na wote wameunga mkono msimamo wetu wa G55 na ushauri wetu kwa chama, hakuna kiongozi wa dini aliyesema kwamba tukazuie uchaguzi. "

"Wote wamehimiza waumini wao kwamba waende wakashiriki uchaguzi lakini uchaguzi uwe huru, wa haki na wa amani, kwahiyo mahubiri yote ya Pasaka yameendana na tahadhari tuliyoitoa kwa chama kwamba tunaona hatari ya kupoteza kundi muhimu kama tukiendelea na msimamo kwamba tunakwenda kuzuia uchaguzi, na viongozi wa dini wameungana na G55 kwamba wanaunga mkono mageuzi lakini wanataka watu wakashiriki uchaguzi"- Mrema.

John Mrema kwa niaba ya wafuasi wenzake wa Kundi la G55 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza na waandishi wa habari siku ya Jumanne Aprili 22, 2025 mkoani Dar es Salaam juu ya yanayoendelea kufanywa na chama hicho hasa suala zima la kutoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.View attachment 3311998
Viongozi wapi wa dini?
 
blood bastard John! Mbona mnaleta mgawanyiko?
 
Huyu mlevi naona ubongo wake una fungus siyo bure. Hatua iliyofikia wafukuzwe tu sasa wasiendelee kufanya fujo zao huku wamevaa sare za Chadema
 
"Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata kidogo, na ilipofika tarehe 12 hawakwenda kusaini. Lakini vilevile tunapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini ambao wameona umuhimu wa kufanyika kwa reforms, na wote wameunga mkono msimamo wetu wa G55 na ushauri wetu kwa chama, hakuna kiongozi wa dini aliyesema kwamba tukazuie uchaguzi. "

"Wote wamehimiza waumini wao kwamba waende wakashiriki uchaguzi lakini uchaguzi uwe huru, wa haki na wa amani, kwahiyo mahubiri yote ya Pasaka yameendana na tahadhari tuliyoitoa kwa chama kwamba tunaona hatari ya kupoteza kundi muhimu kama tukiendelea na msimamo kwamba tunakwenda kuzuia uchaguzi, na viongozi wa dini wameungana na G55 kwamba wanaunga mkono mageuzi lakini wanataka watu wakashiriki uchaguzi"- Mrema.

John Mrema kwa niaba ya wafuasi wenzake wa Kundi la G55 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza na waandishi wa habari siku ya Jumanne Aprili 22, 2025 mkoani Dar es Salaam juu ya yanayoendelea kufanywa na chama hicho hasa suala zima la kutoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.View attachment 3311998
Kumbe mtaani maisha magumu namna hii. Yohana analilia uchaguzi mpaka anapata sponsor ya kufanya press conference. MREMA nenda kagombee CCM acha kuwa kiraka wa chadema wakati chama hakikutani. CDM wajanja sana, wala hawamjibu kwa njia ya conference kwa sababu hana faida kwao
 
Nani wa kurekebisha dishi la ndugu retired channel zisome vizuri?
 
Back
Top Bottom