viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    LIVE Mwanza: Mjadala wa wazi kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025

    Mjadala wa wazi kati ya viongozi wa Dini na Wanananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 Mwanza katika ukumbi wa Nyakahoja leo Machi 26, 2026. Viongozi wa dini wanaoshiriki mjadala wa leo ni; Sheikh Hamisi Mataka - BAKWATA, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu Bishop Nelson Kisare -...
  2. M

    Askofu Shoo: Viongozi wa dini kabla na baada ya uchaguzi tulifanya jitihada kuwaleta vijana pamoja

    Akijibu hoja ya Athuman Mwachuma kuhusu baadhi viongozi wa dini kuwajengea chuki vijana katika mahubiri yao, Askofu Shoo amesema kuwa vijana wasikimbilie kuwalaumu viongozi wa dini kwa sababu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 kwani kabla na baada ya uchaguzi tulifanya jitihada kuwaleta vijana pamoja
  3. R

    Viongozi wa dini, masheikh hasa, Maaskofu, Statesmen wote wameshindwa kumwambia /kumshawishi Samia kumwachia Lissu kwa sababu hana hatia!

    Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu? Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu Makarios wa Cyrus. Nyerere akasema huyu siwezi kumkaidi. Akatoa sharti. Kuwa aondoke nchini nikimuachia...
  4. Pascal Mayalla

    Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao?.

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo. Mada ya leo ni hoja ya Makamu Rais kuwaomba viongozi wa dini kumuombea Rais Samia. Swali ni hii hoja ya rais kuombewa, je rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee kwasababu ndio huongoza sala kwa waumini wao, au anahitaji...
  5. Waufukweni

    Nchimbi awaomba viongozi wa dini kumwombea Rais Samia dhidi ya 'Watu wabaya'

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumwombea Rais Samia Suluhu dhidi ya watu wabaya ili wasipate nafasi ya kumsogelea yeye mwenyewe na Ikulu. Dkt. Nchimbi amesema hayo jana Ijumaa, Februari 6, 2026 wakati wa hafla ya Usimikaji na Uzinduzi wa...
  6. H

    M/Kiti Kamati ya Kimataifa ya Uhuru wa Dini Ameeleza Kuwa Samia Amekuwa Akiua Uhuru wa Dini, Ikiwa ni Pamoja na Kuteka na Kushambulia Viongozi wa Dini

    Mwenyekiti wa kamati ndogo ya ulinzi wa uhuru wa dini wa Bunge la Marekani, bwana Chris Smith, wakati akifungua kikao cha mwaka, ameeleza kuwa Tanzania imerudi nyuma kwenye ulinzi wa uhuru wa dini. Ameeleza kuwa mapadre kadhaa wa Kanisa Katoliki, akiwemo katibu wa TEC Fr Kitima, ama walitekwa...
  7. Mindyou

    PostGE2025 Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM Dodoma, Samuel Malecela: Kutukana viongozi wa dini sio adabu. Tunapovaa kijani tunaonekana wote tunatukana

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Samuel Malecela, amekemea vikali tabia ya kuwatukana Viongozi wa Dini, akieleza kuwa ni ukosefu mkubwa wa adabu, maadili na ustaarabu usiovumilika katika jamii. Amesisitiza kuwa hakuna sababu wala tofauti za maoni...
  8. Mafyangula

    Gachagua, viongozi wa dini wakimbia kupitia uzio baada ya polisi na wahuni kuvuruga ibada ya kanisani Othaya, Nyeri

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, viongozi wa dini wakimbia kupitia uzio baada ya polisi na wahuni kuvuruga ibada ya kanisani Othaya, Nyeri
  9. Just Pray

    UVCCM Moshi yawaonya viongozi wa dini na wastaafu wanaofanya uchochezi

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa kwa maslahi mapana ya Chama na Taifa. Onyo hilo limetolewa...
  10. M

    Nigeria: Viongozi wa dini wasema zaidi ya waumini 160 walitekwa walitekwa nyara na watu wenye silaha wakati wa ibada ya Jumapili

    Makundi yenye silaha yamewateka nyara makumi ya watu waliokuwa wakihudhuria ibada katika makanisa mawili katika jimbo la Kaduna, Nigeria, kwa mujibu wa polisi wa eneo hilo. Kiongozi mmoja mwandamizi wa kanisa alisema waumini zaidi ya 160 walitekwa nyara na watu wenye silaha wakati wa ibada ya...
  11. L

    Viongozi wa Dini Wajikite kuhubiri Neno la Mungu kama lilivyoandikwa kwenye vitabu vitakatifu Na siyo kuhubiri Hisia zao za kisiasa

    Ndugu zangu Watanzania, Watu wanakwenda kwenye nyumba za ibada kusikiliza neno la Mungu na siyo kwenda kusikiliza hisia za mtu na mtizamo wake wa kisiasa au mapenzi yake kwa chama fulani cha siasa. Watu wanakwenda kupata chakula cha kiroho na siyo kwenda kusikiliza uwanaharakati na habari za...
  12. Mafyangula

    Waziri Mkuu Mwingulu: Pamoja na Viongozi wa dini tutajenga taifa lenye haki

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 18, 2026, ameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Anglikana la Roho Mtakatifu jijini Dodoma katika ibada ya Jumapili, ambapo amesisitiza dhamira ya Serikali ya kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini katika kulijenga Taifa lenye hofu ya...
  13. U

    Inadaiwa mabilioni yatengwa kulipa mamluki ili kushiriki maridhiano. Wapo viongozi wa dini. CHADEMA ndicho kikwazo. Waghushi ridhaa ya Lissu

    https://youtu.be/81fVXxv5G_U?si=u5UbC4NXl9Prtyqt ======================= CHADEMA mpo? Act now to prevent this greedy act before it's too late Si mnakumbuka ya wale wabunge wa CIVID19 mara baada ya uchaguzi mkuu 2020? Waliapa au hawakuuapa kuwa wabunge? Historia ya matendo maovu au mazuri...
  14. K

    Joseph Ludovic: Viongozi wa dini wana haki na wajibu wa kukemea maovu lakini lugha wanayotumia si ya kiuchungaji

    Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano badala ya kugeuka kuwa wachochezi kwa kutoa kauli zenye viashirio vya uchochezi wa kuligawa taifa.
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  16. Just Pray

    Simbachawene: Serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa dini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari...
  17. S

    Utofauti huu wa umri kati ya wanandoa haukubaliki. Viongozi wa dini zingatieni maadili

    Ukisoma makala na hadithi mbalimbali kuhusu ndoa zinaonesha kuwa miaka ya nyuma viongozi wa dini ya kikristo walikuwa hawafungishi ndoa endapo wachumba wanatofautiana zaidi ya miaka 10. Walikuwa wanagoma. Hivi sasa unakuta bibi wa miaka 60 anafungishwa ndoa na kijana wa miaka 20. Au baba wa...
  18. The Burning Spear

    Masheikh huko wanasemaje kuhusu shida ya maji?

    GT Mwenye taarifa atupe hapa. Hawajatoa tamko huko?
  19. hamis77

    Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  20. ERTUGRUL BEY

    Hii ndiyo huenda ikawa sababu ya mgongano wa viongozi wa dini

    My people, Haya yanayoendelea sasa ni kiporo cha mambo ya nyuma ila bahati mbaya kiporo hiki kinapashwa na ubwabwa wa leo,ndio maana tunaona huu msuguano ambao unaendelea hivi Sasa Ukiangalia historia huko nyuma TEC imekuwa ikilaumiwa kama kizingiti cha baadhi ya mambo ya Waislamu au haki zao...
Back
Top Bottom